Zitto kuunguruma Kigoma kuanzia Disemba 21

Status
Not open for further replies.

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
790
1,000
Chama cha Demokrasi naMaendeleo (CHADEMA) Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanatarajia kumpokea Mbunge waJimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Desemba 21, mwaka huu.

Katibu Mwenezi wa Chamahicho, Haji Mbaga alisema Zitto atafika uwanja wa ndege uliyopo Manispaa yaKigoma/Ujiji siku hiyo asubuhi akitokea jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwamaandamano hadi Kijiji cha Mwandiga ambapo atafanya mkutano wa hadhara katikaeneo la stendi ya mabasi
 
Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,588
2,000

Source ya taarifa ni nini maana source inayoaminika ni ile ya Serena Hotel

Hata hivyo kila la kheri ila asiendelee kuvunja katiba tu
 
LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
0
Chama cha Demokrasi naMaendeleo (CHADEMA) Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanatarajia kumpokea Mbunge waJimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Desemba 21, mwaka huu.

Katibu Mwenezi wa Chamahicho, Haji Mbaga alisema Zitto atafika uwanja wa ndege uliyopo Manispaa yaKigoma/Ujiji siku hiyo asubuhi akitokea jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwamaandamano hadi Kijiji cha Mwandiga ambapo atafanya mkutano wa hadhara katikaeneo la stendi ya mabasi

Ananguruma, amekuwa simba?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,403
2,000
Chama cha Demokrasi naMaendeleo (CHADEMA) Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanatarajia kumpokea Mbunge waJimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Desemba 21, mwaka huu.

Katibu Mwenezi wa Chamahicho, Haji Mbaga alisema Zitto atafika uwanja wa ndege uliyopo Manispaa yaKigoma/Ujiji siku hiyo asubuhi akitokea jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwamaandamano hadi Kijiji cha Mwandiga ambapo atafanya mkutano wa hadhara katikaeneo la stendi ya mabasi

Bado ajiunge Bongo movie ili afanye maigizo vizuri.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,222
2,000
Chama cha Demokrasi naMaendeleo (CHADEMA) Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanatarajia kumpokea Mbunge waJimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Desemba 21, mwaka huu.

Katibu Mwenezi wa Chamahicho, Haji Mbaga alisema Zitto atafika uwanja wa ndege uliyopo Manispaa yaKigoma/Ujiji siku hiyo asubuhi akitokea jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwamaandamano hadi Kijiji cha Mwandiga ambapo atafanya mkutano wa hadhara katikaeneo la stendi ya mabasi
Hivi ni kwa nini siku hizi ziara za Zitto maziratibu nyie UVCCM?

halafu nyie mnajua mikutano yake zaidi ya makao makuu ya chama.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Yes, kwa sasa anaruhusiwa kuhubia kwenye jimbo lake tu - hata hivyo awe makini sababu yupo kwenye monitoring kabla ya hukumu yake ya usaliti ndani ya chama kutajwa tena mbele ya CC ya chama.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom