Mkuu elewa kwamba hapa hatuzungumzii Escrow,tunazungumzia Usaliti na mustakabali wake kisiasa.usichanganye mada.kwenye Escrow tulikuwa wakweli na tulimuunga mkono na kwenye mapungufu tulisema.Sasa Escrow haiwezi ku-offset Usaliti wa Zitto.Hata ivo issue ya Escrow haikuwa ni private(kama Zitto anavyowaamisha),ni kazi ya CAG na PAC ikachambua na finally bunge likaazimia,labda uniambie kama PAC ilishabinafsishwa
Intelejensia inaonyesha watamtangaza rasmi tarehe 8 mkuu tena sio kumchagua ni kumtangaza tu
Walishamchagua akiwa CDM ndio wakamweka yule kibaraka ashikilie nafasi kwa muda
jembe ulaya limezaliwa Afrika! Acha ushamba wa kushabikia viti vya ulaya wewe!Zitto ni jembe ulaya.hongera zake kuachana na CHADEMA.
msifieni tu lakini mjue mnamuangamiza.mwanzoni mlimpa kichwa na kudai CHADEMA haina ubavu WA kumfukuza na yeye akajiona kwamba sasa yamemkuta.Ndo kitu kinachoshangaza. Wamemfukuza wao na bado hawaishi kumuwaza. Tukiwaambia ndo mwanasiasa bora 2005-2015 wanakua wabishi ila vitendo vyao vinadhihilisha kukubaliana na ukweli huo.
act k itakuwa kama UDP na TLP,mbunge mmoja ambaye ndiye mwenyekiti WA chama.Ngoja Tuone. October si mbali.
Nyie regam weye fikra finyu mnashindwa hata kufikiri mtu angekua kibaraka wa kuangusha serkali kama mara tatu na hao ambao so vibaraka wanapayuka hawana hoja za kuinyumbisha serikali. Ache wivu nyie mnatafuta chokochoko ili mfifize karama yake, Mungu yuko naye Zuberi Kabwe.
Kamanda achana nao hao wabaguzi chama chote wamejaa wao kwa wao tu
Zitto ni jembe ulaya.hongera zake kuachana na CHADEMA.
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana.
Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT-Tanzania, Mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
===========================
Chanzo: Mwananchi
Urejee na hii comment baada ya October.Zitto atasababisha Chadema isipate mbunge hata mmoja October
Zitto ni jembe ulaya.hongera zake kuachana na CHADEMA.
sijui ataacha kuvaa magwanda maana si siri yalikuwa yanampendeza sana na aliyapenda japo sasa tumekuja kuona kumbe hakuwa anayatendea haki