Zitto kuhamia CUF na kugombea ubunge huko Mtwara

Zitto kuhamia CUF na kugombea ubunge huko Mtwara

Hizo zitakuwa mbinu za zitto kutaka kung'ang'ania urais,, anataka kutumia huu upenyo wa UKAWA kugombea urais na bado ataleta vurugu ndani ya UKAWA kwa tamaa na mbinu zake chafu kila siku.....

Mnamuota sana!

Kwa nini chungu tamu jamani
 
Mambo mengine yana sikitisha sana na kushindwa kuamin humu ndani likiandikwa jina la Zitto comment nyingi mara hiv kuna vitu vingi vy kujadili humu nan asiye mjua zitto ni mtu wa media anachezea akili zenu, nguvu y mtu mnapima kweny media kama ananguvu atuambie tuna Madiwan wangap jimbo lake jaman kaz y mtu mnaipimaje? Jiulizeni zito huyu alipita kwa asilimia ngp uchaguz uliopita na kupata upinanzan mkal wa ccm bila hisani ya jk angekua wp leo? Na kauli zake za uoga ntagombea kinondon cjui wp naemjua zito toka mwanzo hakua mpiganaji. Aje atueleze pesa za Uswisi zpo wap tuache ushabik wa kitoto. Aje aseme alikua naibu katibu mkuu ni mtu mkubw chamani tulimpeleka operations za Tanga,Mtwara cost zone yote alipiga compain atuambie tulipata kura ngap? Hakuna asiyejua kama zitto ni mpenda madaraka na kujikweza.. me nashauri tuu aende popote akafanye siasa atafanikiwa naona tatizo ni huo uwenyekiti bila Freeman akuna chadema kw sasa labda badae atokee muadilifu zaidi wa kutoa chama hapa kwend mbele zaid y hapa lakin cyo type ya zito.. nawasilisha

Zitto anafuata upepo wa udini na hatafanikiwa kamwe katika siasa
 
Na kesho utasikia hamad rashid anahamia chadema. Ukawa safar hii wanalo.
 
Back
Top Bottom