Ushazimua tayari?! Nasikia wameshusha bei.kila kukicha nyie vijana wa bawacha mnamuota zito
Ushazimua tayari?! Nasikia wameshusha bei.kila kukicha nyie vijana wa bawacha mnamuota zito
Mambo mengine yana sikitisha sana na kushindwa kuamin humu ndani likiandikwa jina la Zitto comment nyingi mara hiv kuna vitu vingi vy kujadili humu nan asiye mjua zitto ni mtu wa media anachezea akili zenu, nguvu y mtu mnapima kweny media kama ananguvu atuambie tuna Madiwan wangap jimbo lake jaman kaz y mtu mnaipimaje? Jiulizeni zito huyu alipita kwa asilimia ngp uchaguz uliopita na kupata upinanzan mkal wa ccm bila hisani ya jk angekua wp leo? Na kauli zake za uoga ntagombea kinondon cjui wp naemjua zito toka mwanzo hakua mpiganaji. Aje atueleze pesa za Uswisi zpo wap tuache ushabik wa kitoto. Aje aseme alikua naibu katibu mkuu ni mtu mkubw chamani tulimpeleka operations za Tanga,Mtwara cost zone yote alipiga compain atuambie tulipata kura ngap? Hakuna asiyejua kama zitto ni mpenda madaraka na kujikweza.. me nashauri tuu aende popote akafanye siasa atafanikiwa naona tatizo ni huo uwenyekiti bila Freeman akuna chadema kw sasa labda badae atokee muadilifu zaidi wa kutoa chama hapa kwend mbele zaid y hapa lakin cyo type ya zito.. nawasilisha
Taarifa zilizopo hapo makao makuu ya cuf maeneo ya buguruni na kuthibitishwa na baadhi ya watu walio karibu na uongozi wa juu wa cuf ni kuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chadema bw. zitto kabwe anajiandaa kuhamia cuf na kugombea ubunge wa moja ya majimbo ya mkoa wa mtwara.
Taarifa hizi zinakuja kipindi am,bacho jitihada za zitto mwenyewe na wapambe wake walioko nje na ndani ya chadema kutaka kumpatanisha zitto na mbowe zikiwa zimegonga mwamba hasa baada ya zitto kujikoroga kwa kutoa masharti ya yeye kurudishwa chadema.
Hatua hii ya zitto inachangiwa na kile kinachoitwa kushindwa kwa harakati za chama cha act kujipenyeza katika siasa za mkoa wa kigoma hasa jimbo la kigoma kaskazini ambalo zitto alipanga kugombea ubunge kupitia tiketi ya act.matokeo mazuri ya act katika uchaguzi wa serikali za mitaa ndicho kiliwekwa kama kigezo cha zitto kuhamia act na kugombea ubunge wa kigoma kaskazini.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, kwa kuzingatia kuwa cuf ni sehemu ya ukawa, prof. lipumba tayari alishawasiliana na mwenyekiti wa chadema mh. mbowe na kumweleza jambo hilo ambapo mh. mbowe japo alionyesha awali kutoliunga mkono kwa kuzingatia uzito wa hujuma na tuhuma dhidi ya zitto lakini prof.lipumba alimuhakikishia kuwa anammudu zitto na kuwa jambo hilo lisingeharibu wala kuyumbisha mipango ya ukawa kuelekea 2015.Mkutano wa hivi majuzi uliohutubiwa na lipumba na zitto huko mtwara ni mwanzo tuu wa mpango kamambe wa kumuandalia zitto makao huko mtwara.
NAWASILISHA.
Tumruhusu Zitto anakotaka kwenda
Hizo zitakuwa mbinu za zitto kutaka kung'ang'ania urais,, anataka kutumia huu upenyo wa UKAWA kugombea urais na bado ataleta vurugu ndani ya UKAWA kwa tamaa na mbinu zake chafu kila siku.....
Wewe ni nani unayeamuru watu waruhusu mwanasiasa kwenda wanakotaka?
Taarifa zilizopo hapo makao makuu ya cuf maeneo ya buguruni na kuthibitishwa na baadhi ya watu walio karibu na uongozi wa juu wa cuf ni kuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chadema bw. zitto kabwe anajiandaa kuhamia cuf na kugombea ubunge wa moja ya majimbo ya mkoa wa mtwara.
Taarifa hizi zinakuja kipindi am,bacho jitihada za zitto mwenyewe na wapambe wake walioko nje na ndani ya chadema kutaka kumpatanisha zitto na mbowe zikiwa zimegonga mwamba hasa baada ya zitto kujikoroga kwa kutoa masharti ya yeye kurudishwa chadema.
Hatua hii ya zitto inachangiwa na kile kinachoitwa kushindwa kwa harakati za chama cha act kujipenyeza katika siasa za mkoa wa kigoma hasa jimbo la kigoma kaskazini ambalo zitto alipanga kugombea ubunge kupitia tiketi ya act.matokeo mazuri ya act katika uchaguzi wa serikali za mitaa ndicho kiliwekwa kama kigezo cha zitto kuhamia act na kugombea ubunge wa kigoma kaskazini.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, kwa kuzingatia kuwa cuf ni sehemu ya ukawa, prof. lipumba tayari alishawasiliana na mwenyekiti wa chadema mh. mbowe na kumweleza jambo hilo ambapo mh. mbowe japo alionyesha awali kutoliunga mkono kwa kuzingatia uzito wa hujuma na tuhuma dhidi ya zitto lakini prof.lipumba alimuhakikishia kuwa anammudu zitto na kuwa jambo hilo lisingeharibu wala kuyumbisha mipango ya ukawa kuelekea 2015.Mkutano wa hivi majuzi uliohutubiwa na lipumba na zitto huko mtwara ni mwanzo tuu wa mpango kamambe wa "kumuandalia zitto makao" huko mtwara.
NAWASILISHA.
kila kukicha nyie vijana wa bawacha mnamuota zito
akiingia CUF, hoja za udini katika vyama hazitakaa ziishe Tanzania hii
Mitaro na maji machafu!Zitto ni waziri wa nini?
Hizo zitakuwa mbinu za zitto kutaka kung'ang'ania urais,, anataka kutumia huu upenyo wa UKAWA kugombea urais na bado ataleta vurugu ndani ya UKAWA kwa tamaa na mbinu zake chafu kila siku.....