hii thread haina kichwa wala miguu, isingeruhusiwa kutoka. c tatizo kabwe kuongea na yeyote awe wa ccm ama cdm. tena unaweza ongea na wasio wana cdm kuwaelezea ya cdm ili nao wajiunge cause sidhani cdm inabagua. so that man is correct na aendelee zaidi
jamani naomba kujulishwa huyu zito matendo anayofanya mpaka picha tumeona anahutubia wanachama wa ccm kwa nini viongozi wa chama chake hawayatolei matamko?nawakilisha
No evidence keep quite sio lazima uongeee na wewe kwa kukurupuka ili ionekane umeongea jaribu kuongea na ushahidi bila evidence funga domo hapa haijawa kijiwe cha majungu piga cool
Nona ukiondoka wewe ndio itakuwa swafi unachuki za kisiasa nani kakutuma? mwache zitto awe zitto anachofanya bungeni kinakubalika kuliko kumkosa hoja kazi yako ni kumkera zitto kila ukichangia
kwa taarifa yako kila mtanzania ni fisadi jua hilo kuanzia mfagiaji hadi raisi bisha basi kwenye dini zetu huko napo kuna ufisadi. chukua chako mapema Zitto humuwezi maji marefu yale.
Oohh ahsante sana kwa kunielimisha, kumbe mlipata asilimia 1.34% zaidi ya robo! Hongereni sana, siku mkizidisha hiyo hesabu ikafikia ushindi, JMK atakuwa kisha staafu zamani. Mungu ampe umri mrefu.
Kwa sasa bado uguzeni majeraha.