Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
When you look at the previous contender for the presidence from CDM you would KNOW THAT 'Zitto Kabwe' doesn't come close....nimekumbuka bado 'HAJAKUA'
 

Lakini tafadhali akishindwa asikubali National Unity Government with whatever Won the Election or Loose the Election
 
Yeah Kwa Sasa ajaribu kujisafisha watu wengi yaani wananchi hawana imani nae sababu ya kuwa kama Camelion he change faces and color; huku US tulikuwa na Mkutano kwenye Mji Mmoja watu wote walipempenda sana Zitto walisema akisimama kama Chadema angepata kura za hata Neutral People ambao Wameegemea CCM; lakini recently kila mtu amebadilisha Mantiki yao hawana imani nae nadhani bado ana tittle tu kwasababu bado yuko Chadema; kama akienda kama NCCR au CCM then that's the END of him politically... kwasababu ni kijana then aje huku awe college prof.
 
Hii ngonjera yenu kutoka CCM kwa akina Edward Lowasa na na Rostam Aziz kuwapangeni humu INAPENDEZA KWELI; hebu ongezeni juhudi kidogo kwenye hili jukumu jipya la MAFISADI kujaribu upatu wao nako huku CDM.

Endeleeni kidogo katika hili sie wengine tunawaazimeni masikio kwa kampeni hii mpya iliyoshindwa kabla haijaanza!!
 
CHADEMA wala hawako kwenye kutafuta MGOMBEA URAIS maana wako kibao mno na wenye sifa kemkem na wala hatuna muda na Political Turn-Coats au Kinyonga kama huyo na majaribu ya Rostam Aziz na Lowasa kujitafutia hifadhi kwake huku CDM mara baada ya wao kukiua CCM kwa ufisadi wao.

Nasema mjadala wetu hivi sasa ni kuhusu Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi na wala si haya mambo sijui eti Kabwe mara nani ...
 

Mikakati yenu tunaijua imekula kwenu
 
Kama katiba itakuwa hii ya sasa mtajisumbua kujadili vitu ambavyo havipo. Sina hakika kama takuwa amefikisha miaka 40 iliyopo kwenye katiba labda 2020

Umri utamzuia kwa vile Katiba inatamka ni lazima awe na miaka 40 au zaidi. Ajiandae kwa 2020.
 
Umri utamzuia kwa vile Katiba inatamka ni lazima awe na miaka 40 au zaidi. Ajiandae kwa 2020.

Mkuu
Ikifika miaka hiyo kijana atakuwa na kibarua kigumu kuliko maelezo. Nyota zaitakuwa nyingi zaidi
 
Ashkum si matusi ila wale wote mnaomuunga mkono zitto akili zenu zina matatizo kidogo huyu jamaa hana hata chembe ya uzalendo ni mtu anayetafuta tu nafasi ya kufanya ufisadi,NI MWIZI NA MSALITI WA TAIFA TU HANA TOFAUTI NA ROSTAM NA LOWASA.
 
mawasiliano ya zitto na usalama wa taifa na rostam aziz yabainika..mwanahalisi
 
Zitto hawezi kuwa mgombea Urais wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015 kwa sababu hizi zifuatazo:

1. Zitto amezaliwa September 24, 1976. Hivyo, mwaka 2015 atakuwa ametimiza miaka 39 Inshallah. Katiba inasema mgombea Urais Tanzania awe na si chini ya miaka 40.

2. Zitto amechafuka ndani ya CHADEMA kama Lowassa alivyochafuka ndani ya CCM. Wakati CCM wanaweza kumchagua Lowassa kuwa mgombea wao wa Urais 2015 kutokana na upumbavu wao, CHADEMA si wapumbavu.

3. Bado Watanzania wanamhitaji na kumwamini DK. WILLIBROD SLAA. Pamoja na kuwa DK. SLAA mwenyewe hana mpango wa kugombea 2015, wito wa Watanzania utakuwa ni mkubwa sana na nadhani ataitikia wito huo.

4. Hata yeye Zitto anajua kuwa hana nafasi ya kuwa mgombea Urais wa CHADEMA, hata kama DK. SLAA akiamua hagombei. Amejiharibia mwenyewe kwa uhusiano wake wa kifisadi na Rostam Aziz na watawala wa serikalini.

5. Zitto akiwa mgombea Urais wa CHADEMA, Watanzania wengi wataamua kutopiga kura au kumpigia kura mgombea Urais wa CCM.
 


Zitto hatatoka CHADEMA HATA ANGEFANYAJE, KWANZA NI KIRUSI NDANI YA CHADEMA KWA KUWA ANAENDELEZA VURUGU TU. HUKO BAVICHA NAKO TUTAMCHOMOA PAMOJA NA KUJIPANGA KWAKE.
AJIBU KWANZA USWAHIBA WAKE NA USALAMA WA TAIFA, ROSTAM AZIZ, NA MAFISADI WENGINE. HAWEZI KUSAMBARATISHA CDM HATA AKIFANYAJE. ATACHEMKA VIBAYA SANA. TUSUBIRINI.
 
Wakuu! Kuna tetesi ZITTO ameanza kujipanga [network and financial] ndani na nje ya CDM, kugombea uraisi 2015.

tetesi za kijinga zitto alipo sasa anaparaganyika hajui aende wapi mafisadi wamemponza
 
ZITTO ZUBEIR KABWE 1.umri utakuwa haujafika 2.akili zake hazijakaa sawa(dish limecheza)n.k.lakini zaidi ya yote nasema kama baba wa Tz alivyosema kwa mkwere,ZITTO HAJAKOMAA!Sio 2015 tu miaka yote ijayo Zitto hafai kuwa rais wa tz,
 
Wakuu! Kuna tetesi ZITTO ameanza kujipanga [network and financial] ndani na nje ya CDM, kugombea uraisi 2015.
kama kweli zitto atasimama nafikiri ccm itapata wakati mgumu sana 2015,na mimi kama kijana nitamuunga mkono kwa ailimia 100 coz cdm kinafahamika kuwa ni chama cha vijana so nitashangaa sana CDM watakapoweka wazee tena kugombea uraisi au yule kasisi wao ambaye atakuwa anakimbilia miaka 70 kipindi hicho,ni vizuri zitto akaanza kujipanga mapema na ombi langu wan cdm wasimuekee zengwe kwani itafanya wanachama kuanza kukosa imani na chama
 


Mkuu Post Yako ilikuwa inatosha kabisa Kufunga Huu Mjadala na Mods kuiweka kapuni hii topic maana hili suala limeshazungumziwa mara Nyingi ila nadhani ni Mkakati wa CCM kumuweka Zitto katika nafasi ya Kunyukwa ili ionekane hapendwi na CHADEMA

Mods Funga huu Umbeya
 

Kashaga mumchukue tu mkamtumie kwa namna itakavyowapendeza. Hatuna matumizi nae. Watanzania hawamhitaji. Anaweza kufaa mkimtumia kwa nafasi ya Domokaya (atakuwa amechoka by then), au chili ngapi. Huko hatakuwa bugudha kwa waTz.

Asanteni kwa kuona talenti.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…