Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

NEC wametoa taarifa mida hii.

Wanasema hakuna tatizo lolote ambalo limejitokeza hadi sasa.

Wanasema taarifa za mitandaoni zipuuzwe.


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.

Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki.

Chanzo: Millard Ayo

Haya ni mashetani yanayo onekana
 
Hivi kweli kwa akili za kawaida unaweza kuwatoa MATAGA kwa sanduku la kura ?

Mifumo imeoza kila sehemu
 
Wamempiga Wakala wetu hadi kazirai na sisi tunasubiri wamtangaze Kanyasu ili kupiga kiberiti jengo la Halmashauri
Tuma picha tu acheni kua ma keyboard warrior kwa sasa.......tunahitaji tuone yale yote mliyoahidi
 
Chadema jiandaeni kisaikolojia, kile mnachokitarajia hamtakipata asilani. Watanzania tunajua tunacho kitaka. Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom