Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

NEC wametoa taarifa mida hii.

Wanasema hakuna tatizo lolote ambalo limejitokeza hadi sasa.

Wanasema taarifa za mitandaoni zipuuzwe.



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.

Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki.

Chanzo: Millard Ayo
 
Dadaadeki, kumbe hawakuwa na mapumziko, walikuwa wanapiga kura! 😂 😂 😂

Yaani wanajifinya na kujitekenya, kwamba wanatafuta kukubalika kwa asilimia 90. Shubamiitiii!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Viroba vya kura!
4321890.jpg
 
Yaani hizo ndio kura feki nyingi??

Wapinzani acheni mambo ya kihuni.
 
Back
Top Bottom