Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Zitto Kabwe hapa ndio au utajisafisha na kuonekana kuwa kweli wewe ni kijana machachari mzalendo unayetaka kuwa amiri jeshi mkuu au utajionyesha kuwa wewe ni sehemu ya mafisadi kazi kwako, play your party!
Itaandaliwa ripoti hapo mara usikie ziliandaliwa mbili, iliyowasilishwa siyo. Ahhhh upuuzi mtupu! Mtu mwenyewe Werema anayeunda tume. Huyu ni mtu ambaye sijawahi kusikia akitoa hata kauli moja ya busara! Nadhani kama inaundwa na Werema Zitto asihangaike kuifanyia kazi. Ripoti aliyotoa inawatosha waende wakafanye kazi wenyewe huo ni wajibu wao. Kama kweli wanataka waunde tume huru yenye wajumbe kutoka vyama vya upinzani peke yake.
Zitto Kabwe hapa ndio au utajisafisha na kuonekana kuwa kweli wewe ni kijana machachari mzalendo unayetaka kuwa amiri jeshi mkuu au utajionyesha kuwa wewe ni sehemu ya mafisadi kazi kwako, play your part!

Nani ampe ushauri mpe wewe. Maji aliyavulia Nguo hivyo Hana budi kuyaoga
Hapo kuna kitu sielewi. Sioni ni kwa namna gani Mh Zitto anaingia kwenye 'pressure' kwa sababu hicho ni kikosi kazi cha SERIKALI. Sio Tume ya Rais au Bunge. Sioni ni kwa namna gani utendaji wao utamhusu Zitto kwani hata findings zao sio rahisi ziwekwe wazi zikikamilika.
Wao waendelee kivyao na Zitto na wengine kivyetu kisha tuje kulinganisha findings zetu. Tusishangae sana hii ikiwa funika kombe nyingine.
Itaandaliwa ripoti hapo mara usikie ziliandaliwa mbili, iliyowasilishwa siyo. Ahhhh upuuzi mtupu! Mtu mwenyewe Werema anayeunda tume. Huyu ni mtu ambaye sijawahi kusikia akitoa hata kauli moja ya busara! Nadhani kama inaundwa na Werema Zitto asihangaike kuifanyia kazi. Ripoti aliyotoa inawatosha waende wakafanye kazi wenyewe huo ni wajibu wao. Kama kweli wanataka waunde tume huru yenye wajumbe kutoka vyama vya upinzani peke yake.
werema ni kilaza kabisa, kama kayasema hayaaaaa, zitto katoa hoja bungeni, huwezi mmjumusha katika tume ya serikali tena! .........wataalamu wa mambi tusaidieni