Zitto kabwe jitokeze hadharani upinge hoja Tundu Lissu dhidi ya Bandari zetu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Popote ulipo zitto kabwe na wengine wooote kutoka Act Wazarendo jitokezeni kumjibu Tundu Lissu dhidi ya ugawaji wa bandari zetu kama ndugu au Mwani kutoka zanzibari.

Ukimnya wenu ni kabuli lenu.
 
Popote ulipo zitto kabwe na wengine wooote kutoka Act Wazarendo jitokezeni kumjihu Tundu Lissu dhidi ya ugawaji wa bandari zetu kama njugu au Mwani kutoka zanzibari.

Ukimnya wenu ni kabuli lenu.
Zito siku zote yupo kwaajili ya maslahi binafsi, siyo ya nchi wala umma.

Kwenye utawala huu, maslahi yake binafsi yamenawiri, hawezi kupanua mdomo dhidi ya utawala.
 
Popote ulipo zitto kabwe na wengine wooote kutoka Act Wazarendo jitokezeni kumjibu Tundu Lissu dhidi ya ugawaji wa bandari zetu kama ndugu au Mwani kutoka zanzibari.

Ukimnya wenu ni kabuli lenu.
 
Soma historia ya ukoloni Tanganyika na struggles zake! Waha (Ha) walikuwa ni puppets ( mamluki)!
Zitto hawezi kuwa tofauti kwani macho yake yako on the part of bread which is buttered!
Kwenye issue ya Bandari zitto ameonyesha rangi zake ambazo alizificha kwa wengi wetu! Umdhaniae ndiye kumbe siye!
 
Popote ulipo zitto kabwe na wengine wooote kutoka Act Wazarendo jitokezeni kumjibu Tundu Lissu dhidi ya ugawaji wa bandari zetu kama ndugu au Mwani kutoka zanzibari.

Ukimnya wenu ni kabuli lenu.
Kwanini ACT WAZALENDO IIJIBU CHADEMA NA SIO CCM? IKIFANYA HIVYO ITAKUWA IMEJIPAKA MAVI USONI
 
Back
Top Bottom