Zitto Kabwe: Who wanted to kill Tundu Lissu

Zitto Kabwe: Who wanted to kill Tundu Lissu

Nani wa kumuhoji? Jaji mkuu jana kasema" hakuna chombo cha nje chenye uwezo wa kufanya uchunguzi tukio la Lisu "

Hiyo kauli kwa watu wenye akili zao wameelewa alimaanisha nini

Alinishangaza sana huyu Mzee

Kila mtu alishangaa
 
THAT DUDE ALWAYS HITS WHERE IT HURTS THE MOST...and the killer isssssssssssssssssssssssssss....THE MAN HIM SELFFFFFFFFF..NONE OTHER THAN THE HEAVY WEIGHT COUNTRY MAN....ladies and gentlemen make a grand applaud to JOHNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNNN PAMBANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MAMUKULIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Hah hahahah hahah stop kidding dude
 
Zzk, kweli siasa imemshinda sasa naye arukiarukia mada yoyote inayokuja mbele zake.

Mara , nyumba imeungua moto, mara nitaenda nikipenda sasa tena lisu.

Afrika kazi bado ni pevu.
 
HIVI KITILA MKUMBO YUKO WAPI? HATA POLE KWA LISSU TU HATAKI? HIVI KWELI PROF UMENYAMAZA KIASI HICHO KWA HAYA YALIYOMPATA MTANZANIA MWENZAKO NA ZAIDI SANA MWANA SINGIDA MWENZAKO! KISA TU TOFAUTI ZA KISIASA! KWELI PROF? TUKUELEWEJE PROF. KITILA?

Siyo Pro-fedha Mkumbo tu kuna yule dada yao kapewa RC Kilimanjaro Bi ANNA MGHWIRA naye kimyaaaaaaaaaaaaa!!!
Fedha kitu kibaya sana yaani wote hawa KITILA na ANNA ni wana Singida lakini leo wamekuwa YUDA ISKARIOTE yaani wanamsaliti mwenzao mchana kweupe...!!! Hii ni aibu sya karne na siku Lissu atakapotua hapa nchini akiwa fit toka kwenye matibabu watatamani ardhi ipasuke......!!!!
 
Zzk, kweli siasa imemshinda sasa naye arukiarukia mada yoyote inayokuja mbele zake.

Mara , nyumba imeungua moto, mara nitaenda nikipenda sasa tena lisu.

Afrika kazi bado ni pevu.

Hapana usiangalie siasa tu. Angalia uhai na maisha ya binadam, huo ndio msingi wa "shift" ya Mh. Zitto.

Zitto ni mtu ambaye mara nyingi nimetofautiana naye lakini kwa mambo ya msingi na utu mara nyingi tunakuwa ukurasa mmoja.

Lakini ungejikita kwenye hoja na kusoma katikati ya mistari sidhani kama ungeandika vyepesi hivyo Poise.
 
Nani wa kumuhoji? Jaji mkuu jana kasema" hakuna chombo cha nje chenye uwezo wa kufanya uchunguzi tukio la Lisu "

Hiyo kauli kwa watu wenye akili zao wameelewa alimaanisha nini

Alinishangaza sana huyu Mzee
Alimaanisha kwamba sheria Bado inamlinda. So ni kama wanatwanga maji kwenye kinu
 
Hapana usiangalie siasa tu. Angalia uhai na maisha ya binadam, huo ndio msingi wa "shift" ya Mh. Zitto.

Zitto ni mtu ambaye mara nyingi nimetofautiana naye lakini kwa mambo ya msingi na utu mara nyingi tunakuwa ukurasa mmoja.

Lakini ungejikita kwenye hoja na kusoma katikati ya mistari sidhani kama ungeandika vyepesi hivyo Poise.

Kila siku, vyama vya siasa vinasema mahakama ifanye kazi yake, sasa angalia, sasa hivi vyombo vya serikali vinatafuta wahalifu kisha wapelekwe mahakamani ila Zzk, anasema serikali ndiyo mhusika 1.

Kwa nini asisubirie wakati wa kesi kwa watu watakaokamatwa ili apeleke huo ushahidi kuwa serikali imefanya hicho kitu juu ya lisu!?

Lakini ,zzk kwa sasa anatumia tukio la lisu to gain a cheap political popularity.

Kama ilivyotafsiriwa hatua ya Mr Lazaro Nyarandu kutoka kwa m/kiti wa cdm kuwa mr Lazaro anatumia issue ya lisu kujipatia umaarufu wa kisiasa.
 
Pale Bavicha Wanapomsifia Zitto tena

Mimi sio BAVICHA. Lakini kwenye siasa kuna mambo ya msingi ambayo binadam wenye akili timamu huwa hawafungwi na kuta za itikadi. Katika hili la Lissu nadhani Zitto anafanya kama raia mwema yeyote angefanya kwenye nafasi yake.
 
Samahani Nilijua Wewe ni Kijana Wa Chadema.

IMG_20170922_172704_504.JPG
 
Its time to stop meandering around. We shout talk straight because we know who the killer are. And we shoud stop them because we now live in a country wonderful who will be the next to be shot 28/32 bullets.
 
Kila siku, vyama vya siasa vinasema mahakama ifanye kazi yake, sasa angalia, sasa hivi vyombo vya serikali vinatafuta wahalifu kisha wapelekwe mahakamani ila Zzk, anasema serikali ndiyo mhusika 1.

Kwa nini asisubirie wakati wa kesi kwa watu watakaokamatwa ili apeleke huo ushahidi kuwa serikali imefanya hicho kitu juu ya lisu!?

Lakini ,zzk kwa sasa anatumia tukio la lisu to gain a cheap political popularity.

Kama ilivyotafsiriwa hatua ya Mr Lazaro Nyarandu kutoka kwa m/kiti wa cdm kuwa mr Lazaro anatumia issue ya lisu kujipatia umaarufu wa kisiasa.

Poise, Serikali ni nini? Serikali ni nani? Vyombo vya dola ni nani na nini?

Hakuna mtu nje ya wahusika wa tukio na walio ratibu anayewajua kwa ku pin-point. Sasa kuishuku Serikali ni njia ya hisia na wao (Serikali) wana wajibu wa kutenda na kuonesha kuwa hawahusiki. Mifano 2 aliyotoa Zitto wa twitter ya Rais Magufuli na ule wa Rais Putin ni mifano sahihi na yenye mashiko kwa tukio la Lissu.

Katika hili suala la jaribio la kumuua Lissu Serikali vyombo vyake ndio watuhumiwa wakuu. Kuondoa shaka wakaribishe Scotaland Yard au FBI kufanya uchunguzi huru.

Usisahau Kwenye Bunge la 10 (lililopita) KUB waliomba mara nyingi Bunge liunde Tume ya Kimahakama kuchunguza mauaji yote tata, mateso na uhalifu kwa wananchi ambao unaendlea kwa kasi kwa miaka 8 sasa lakini unajua kilichotokea, Spika na walio wengi walikataa. Katika muktadha mzima huwezi kuwaamini watu ambao hisia na viashiria vinawalenga eti watatenda haki na kufanya uchunguzi makini, haiwezekani.

Tunaonywa na Albert Einstein " Kurudia kutenda jambo lile lile huku ukitegemea matokeo tofauti ni upumbavu".
 
Samahani Nilijua Wewe ni Kijana Wa Chadema.

View attachment 593540
1) Mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala umri wangu hauniruhusu kuwa BAVICHA.

2) Mimi ni mpinzani wa CCM toka mwaka 1982, sijui wewe ulikuwa wapi mwaka huo, lakini mimi na vijana wenzangu wachache wa vyuo na kada nyingine tulipinga sera za ujamaa na uongozi wa kiimla toka utawala wa awamu ya kwanza.

3) Sijawa active politician kwa sababu mbalimbali nzuri tu, lakini mchango wa mawazo naendelea kutoa na kushiriki kwa hali na mali katika kuijenga nchi yangu.......huku nikibaki mpinzani wa CCM.

Baada ya kusema hayo (ambayo ungyaupata kama ungemalizia kusoma hiyo snapshot uliyonukuu hapo juu) turudi kwenye hoja iliyo mezani. Je ni nani aliyetaka (waliotaka) kumuua Tundu Lissu?
 
Okay sawa
Ushahidi Mwingine wa Kudhoofika kwa CCM
 
You underline my position, am anti-CCM. Thank you.

Try hard maybe you'll succeed friend.

Back to the subject, Who attempted to assassinate Tundu Lissu, MP?
May be his party because he is a thorn to Chairman's Position
 
Back
Top Bottom