marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,317
Zitto naye keshaona mahala pa kupandia chati. Mwenyewe alshasema usimwamini mwanasiasa lakini sasa anataka aaminiwe, aisee.Acheni mambo hizo mnazingua mbona chadema wanasema wanawajua.
Ni kwa sababu ametumia lugha ngeni, ndio maana unaona misukule inashangilia bila ya kujua anamaanisha nini!Natafuta kipya alichoongea zitto sijakiona!!
If he has credible evidence as to who the culprit is why does he perambulate? He should just produce the name/s of those who are behind the shooting; otherwise he is just seeking to harvest political approbation out of others' calamities.I have read and understood the Article. Let us wait and hear from the PEIC.
Huwezi kuelewa,TWAWEZA mbona walishatoa majibu ya utafiti kuwa waliopo huko wengi ni mazwazwaNatafuta kipya alichoongea zitto sijakiona!!
We know the killer...Nyapara moja sasa linawaza kujenga kuta kutufungia wote ndani, yan jitu lina akili akili za Bwana jela tu hivi
Nani wa kumuhoji? Jaji mkuu jana kasema" hakuna chombo cha nje chenye uwezo wa kufanya uchunguzi tukio la Lisu "Nadhani magufuli ahojiwe baadhi ya kauli zake zina utata.