Zitto Kabwe, usipotoshe watu kuhusu Deni la Taifa

Makambako1,
MOSES MACHALI NAONA TANGU UKOSE UBUNGE UMEKUWA UKIWAZA KWA TUMBO BADALA YA UBONGO. POLE SANA MAANA UME CHAPIKA BALAA.... ENDELEA KUTETEA MA CCM HUENDA MAGUFURI AKAKUPA UTEUZI NA WEWE UKAULA!
 
Nimeelewa, Kwa.kazi nzuri inayofanywa na serikali hilo deni bado ni dogo sana.ukifungua hiyo link utagundua tuko vizuri sana. Hongera sana Machali Kwa kutupa facts, Mimi huwa ni muumini wa facts. na porojo za akina Zitto
Hoja inayowachanganya watu ni kuwaaminisha watu kuwa kila kitu kinachofanyika hasa miradi hiyo mikubwa kuwa ni fedha za ndani(zetu) sass hilo deni lina ongezeka vipi??? Kwani meko kila anapofungua ujenzi wa mradi anajitapa ni kwa fedha zetu!!! Kumbe wanakopa kwa siri, sasa huo si ujuha? Wakiulizwa ndio wanakimbilia ni stahimilivu?!! Kukopa sio inshu lakini kwanini iwe siri?
 
Hizi takwimu si sahihi Kwa shabaha ya mada ya kiuchumi iliyo mezani. DEBT TO GDP RATIOS OF POPULATION America si mdaiwa nambari moja Kwa kukutoa kama ulivyofanya lakini mdaiwa halisi wa Madeni ni AMERICA zaidi ya trillion 19 wakati Japan ni 9 trillion. Ukweli jenga hoja kwenye Takwimu zisizotawaliwa na Mizengwe
 
MOSES MACHALI NAONA TANGU UKOSE UBUNGE UMEKUWA UKIWAZA KWA TUMBO BADALA YA UBONGO. POLE SANA MAANA UME CHAPIKA BALAA.... ENDELEA KUTETEA MA CCM HUENDA MAGUFURI AKAKUPA UTEUZI NA WEWE UKAULA!
Apewe mala ngapi? Sasa ni DC, namtumbo
 
Zitto Anajaribu kujirudishia imani kwa Watanzania kama Naye ni Mpinzani kumbe Kilanga tu
 
Pumbavu kweli, unajilinganisha na wenzio? Unalala njaa kisha unasema hata jirani nae kalala njaa? Hivi Japan ni sawa na Tz? Kweli? Au Tz ni sawa na Canada?

Ni sawa Moses Machali akakope na Bakhresa akakope, kisha useme hata Bkahresa nae ana deni....

Kitochi Original
 
Makambako1,
Sijaona mahali popote Zitto alipo-suggest kuwa ni Tanzania pekee ndio inayokopa. Nilichokiona ni angalizo lake kuwa ukopaji wetu sio prudent, huwezi kukopa under commercial terms kujenga kitu ambacho returns zake hazitarajiwi leo au keshokutwa. Moses Machali hakuelewa kilichoandikwa.
 
Hizi takwimu si sahihi Kwa shabaha ya mada ya kiuchumi iliyo mezani. DEBT TO GDP RATIOS OF POPULATION America si mdaiwa nambari moja Kwa kukutoa kama ulivyofanya lakini mdaiwa halisi wa Madeni ni AMERICA zaidi ya trillion 19 wakati Japan ni 9 trillion. Ukweli jenga hoja kwenye Takwimu zisizotawaliwa na Mizengwe
Jamaa ni mbwa kabisa. Yani huyu eti ni mkuu wa wilaya. Akili zipo kwenye soli ya kiatu. Eti analinganisha debt to GDP ratio sijui huyu katokea choo gani leo!
 
Makambako1, Mhhhh,yaani hata kama madeni ya japan na ujerumani ni 70%ya GDP zao uwezi ukajitapa kwamba kwa vile sie deni letu hata kama lingekuwa ni 10% ya GDP yetu, basi tupo sawa.

Wao wajapan,na wajeruman,wanaweza kulipa hilo deni ukiligawanya kwa mtu mmoja mmoja,kwetu ni majanga matupu,pesa inakopwa kulipa mishahara,kununua magari,matumizi yasioleta tija kubwa,wenzetu wanakopa kujenga uchumi,ajira zinakuwa kibao.

Kama 1%tu ya Watanzania ndio wanatumia usafiri wa ndege,harafu unajiringanisha na mjapan na mjerumani,
Acha njaa,sema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unatambua ukweli kuhusu masharti na dhamana ya mikopo inayochukuliwa? Mh. Zitto anatoa tahadhari ikiwa ni wajibu wake kama kiongozi mmojawapo wa upande wa upinzani. Tatizo la kuokoteza takwimu za kiuchumi zinazotubeba ili kuhalalisha mapungufu ya serikali ni ubabaishaji mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani wewe kuna siku umeamshwa asubuhi au usiku ukagongewa kwamba ukalipe hilo deni kiasi kwmb umechoshwa nalo? Lakini miundombinu ikikamilika si utafanya mambo yako kwa urahisiana utachangia kodi bila tatizo na serikari italipa, sasa kosa liko wapi?
 
Nimeelewa, Kwa.kazi nzuri inayofanywa na serikali hilo deni bado ni dogo sana.ukifungua hiyo link utagundua tuko vizuri sana. Hongera sana Machali Kwa kutupa facts, Mimi huwa ni muumini wa facts. na porojo za akina Zitto
Facts ziko vizuri sana
Ila utendaji na matumizi ya mikopo ni kizunguzungu

Napata na vigugumizi nikiwaza pesa inayokopwa kwa kodi zetu then tunaambiwa serikali yetu si ya uwazi

Kama wanapata mikopo na kuisimamia vizuri kila jambo liko kwenye mstari mbona Zitto wananchi watamsusa kama kura za serikali ya mtaa

Ni chama na serikali wanakosea pakubwa na ndo maana kesi za kuwapa watu (uchochezi) haziishi

Upike msosi una chumvi ndi na umeungua halafu tule,ili tukupe sifa ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom