Wakuu zangu nimeingia katikati ya Mjadala... Hivi kweli hamuamini maneno aliyoyasema Zitto au mnayo tafsiri yenu?..
Ukoloni haujaisha upo na bdo unaendelea kuwepo isipokuwa kilichobadilika ni vichwa tu vya watawala toka ngozi nyeupe kuja Nyeusi. Na kiongozi yeyote anayetambua hilo mapema nadhani tunatakiwa kumpa moyo zaidi kwa sababu msisikie Ukoloni mamboleo ni mbaya kuliko ule wa Kukoloniwa...
Yes Miaka 50 ya Uhuru imetufiisha hapa na wakati wote wa Nyerere, Mkapa Mwinyi na hadi JK tumeona jinsi mkoloni alivyokuwa na mbinu za kila aina utafikri ni part of evolution...
Na tusijidanganye kabisa kwamba misaada ya hawa watu inatoka bila masharti hivyo tunawatumika wao zaidi ya sisi wenyewe na kama mnamkumbuka mwalimu alipokataa misaada ya hawa wazungu kwa kuwaambia unaponipa msaada usinambie priorities na policies zipi zitumike, wewe sii unataka kulipwa na interest juu, then tuacheni sisi tupange maendeleo yetu..Walianza kumkatia na kumwita kila jina baya duniani, leo tunawaona kina Chavez na Kagame wote hawa ni watu waliotoa matusi kama ya Zitto.
Zitto anaweza kuwa na mapungufu yake lakini on that statement nadhani hawa Waingereza wanatakiwa kuelewa wazi kwamba hawatusaidii chochote kwani kama wangekuwa wanajali haya misaada ingelkoma toka mwaka 2000 wakati kina Zitto wamepeleka malalamiko kibao kwa Tonny Blair na chombo chake cha kuzuia rushwa lakini hawakumsikia ndio kwanza wakam appoint Mkapa kuwa mjumbe wa kamati hiyo...Kwa hiyo tuwe makini sana na tuweke uzalendo mbele ya kusujudia misaada ambayo ina malengo zaidi ya kulinda maslahi ya nchi hizo ktk makoloni haya..
Inategemea na wewe umemwelewa vipi dadangu..Tatizo ni pale mbakaji anapokuja na Chewing gum mara kwa mara kuitumia kama ndio kioo cha kumvuta dada atoe tena mchezo, safari hii iwe kwa hiyari yake..Unajua wakati wa Nyerere na Ujamaa Chewinggum ilikuwa deal, hivyo wewe ulozaliwa leo huwezi kabisa kuelewa ushawishi wa Bazooka enzi zile!Wewe mtu aliyembaka dadiyo, halafu akampa vishilingi vya kununua chewing gum, dada yako akasema usijisikie umenipa sana, hapa umenilipa ulivyonibaka tu". Utamuona huyo dada yako ana akili kweli?
Inategemea na wewe umemwelewa vipi dadangu..Tatizo ni pale mbakaji anapokuja na Chewing gum mara kwa mara kuitumia kama ndio kioo cha kumvuta dada atoe tena mchezo, safari hii iwe kwa hiyari yake..Unajua wakati wa Nyerere na Ujamaa Chewinggum ilikuwa deal, hivyo wewe ulozaliwa leo huwezi kabisa kuelewa ushawishi wa Bazooka enzi zile!
Dada yangu aliisha msamehe mbakaji sii kwa sababu ya Chewing gum bali ni ile aibu ya fedheha ya kitendo cha kubakwa na ndicho kinachotumaliza nchi za kiafrika. Tuliisha wasamehe siku nyingi sana wakoloni lakini tatizo ni pale wanapoitumia hiyo misaada (chewing gum) kutuonyesha kwamba pasipo misaada hatuwezi kutoa mchezo - that was then..Mkuu walitubaka hawa jamaa na chewing gum waliitumia kutulaghai kusogea karibu nao kabla ya kubakwa..
Kwa mkuongezea tu hawa jamaa washenzi sana toka Mkapa wanatupamba tuu kwa masifa ya uongo, ati tanzania inaongoza Afrika kwa kupiga hatua ya uzalishaji kila tunapowafungulia milango wakati nchi inaporomoka!
This is what I don't like...why unafiiri kisha nichota.. Of cause dichotomy happened when we got our independence. Na ndio maana wao wanatusema SISI kama waombaji na wao watoa misaada. Unajua mkuu wangu tatizo ni kwamba sisi bado tuna machungu ya kubakwa na tulisha wasamehe, lakini wanapokuja na hizo Chewing gum wakisema come on You loved it..(meaning kubakwa) Sasa wewe usiposema wazi kwamba ilotuponza ni chewing gum huyo mzungu ataendelea kutumendea kutufukuzia..It's about time tuwaambie ukweli..Zitto mchemfu, kulinganisha misaada na reparation noma. Kuna watu wanadai reparation kikweli wakisikia kuna mtu muafrika anasema hivi watakuwa disappointed kweli.
Wewe unamchukulia Zitto kama defiant, mie namchukulia kama buffoon asiyeweza kuji-control Twitter.
Naona kashakuchota na hiyo dichotomy ya "Wao vs. Sisi".
Mkuu Mkandara,Kiranga,
UTU mzima darasa nitakwambia kitu kimoja hasa kuhusu unafiki wa Watanzania. Nimekutana na watu hunambia don't trust Mbowe, wengine don't trust Dr.Slaa wengine don't trust Mnyika, Lissu, JK, Ndugu zako, and list goes on and on. Sasa hawa walonambia don't trust someone nilipowaamini wao ndio wao walikuja niingiza mjini..
Sasa Utu uzima dawa, nikaja gundua kwamba Tanzania ukitembea na Tapeli watu hawatakushtua hadi siku umeliwa ndio watajitokeza na kusema Aaaah! sisi tulikuona tu ukimwamini jamaa, lakini tulijua atakuingiza mjini... Unabki unajiuliza, sasa kwa nini hawakusema kabla?... kumbe ndio hulka yetu sisi unafiki.. tunafurahi sana mtu anaposhindwa ni sawa na kaa ndani ya kapu. Hivyo maadam hakuna mtu wa kuaminika bora tumia akili zako mwenyewe kufikia maamuzi yoyote - You're all by yourself, na ndicho nachoamini mimi..
Nina hakika kabisa wabaya matapeli na opportunist hawasemwi isipokuwa wale wenye nafasi ya kutoka kweli kama kina Zitto...Ki hulka tunatamani sana watu kama Zitto, Mbowe na Dr.Slaa warudi chini, wasifanikiwe.. na hata kama kuna kweli? kuna tatizo gani kuwaweka ktk mtihani tuone kama kweli wanaweza ama hawawezi!..
sababu na misingi ni UNAFIKI wa Mwafrika!... tunauzana wenyewe kwa kupewa Unyapala.. viongozi wetu wote ni manyapala na ukielewa hilo sidhani kama utaona taabu kuelewa kwa nini sisi maskini.. How can we have Gold yetu ndani ya ardhi yetu waje watu wachimbe watuachie ruzuku ya 3% na tunadai hii inatosha tena kubwa sana ukilinganisha na....Hivi Amerika miaka ya 1700 walipogundua dhahabu waliwaita kina nani kwenda kuichimba?Ukweli usemwe nani sababu za msingi ya kurudi kwetu nyuma ni miaka 50 kila mmoja analalamika isipokuwa wachache.
Sii kweli vitu karibu vyote vilijengwa na Mjarumani, Muingereza kavikuta vipo tayari vinaelea..Halafu kama wasingekuja kwetu Afrika, hiyo Uingereza isingekuwepo ilivyo leo!.Mkuu Mkandara,
Waingereza wakati wa ukoloni, wameipatia Tanganyika faida kuliko wasingekuwapo.
Tatizo ni wao kutoruhusu watanganyika kushiriki siasa.
Hapo ndipo tulipofaidika,Sii kweli vitu karibu vyote vilijengwa na Mjarumani, Muingereza kavikuta vipo tayari vinaelea..
Kiranga,
UTU mzima darasa nitakwambia kitu kimoja hasa kuhusu unafiki wa Watanzania. Nimekutana na watu hunambia don't trust Mbowe, wengine don't trust Dr.Slaa wengine don't trust Mnyika, Lissu, JK, Ndugu zako, and list goes on and on. Sasa hawa walonambia don't trust someone nilipowaamini wao ndio wao walikuja niingiza mjini..
Sasa Utu uzima dawa, nikaja gundua kwamba Tanzania ukitembea na Tapeli watu hawatakushtua hadi siku umeliwa ndio watajitokeza
na kusema Aaaah! sisi tulikuona tu ukimwamini jamaa, lakini tulijua atakuingiza mjini... Unabki unajiuliza, sasa kwa nini hawakusema kabla?... kumbe ndio hulka yetu sisi unafiki.. tunafurahi sana mtu anaposhindwa ni sawa na kaa ndani ya kapu. Hivyo maadam hakuna mtu wa kuaminika bora tuia akili zako mwenyewe kufikia maamuzi yoyote - You all by yourself na ndicho nachoamini mimi..
Nina hakika kabisa wabaya matapeli na opportunist hawasemwi
isipokuwa wale wenye nafasi ya kutoka kweli kama kina Zitto...
Ki hulka tunatamani sana watu kama Zitto,
Mbowe na Dr.Slaa warutudi chini wasifanikiwe na hata kama kweli kuna tatizo gani kuwaweka ktk mtihani tuone kweli wanaweza hao hawawezi!..
Kwa sababu wakoloni walijua faida ya kila kitu kilichopo chini ya ardhi ya hawa watawaliwa kwa mahitaji yao huko Ulaya (Demand and Supply) Hongokong ilikuwa maarufu kwa Opium na ndio utajiri ulipoanzia, wakati wachina na Ujamaa wao walifikiria hawana kitu wanakihitaji kutoka nje isipokuwa tahadhali kubwa ilikuwa kutokoloniwa tena maana athari zake wameisha ziona..Hapo ndipo tulipofaidika,
Kwa sababu tulikuwa protectorate, kazi yao ilkuwa kututayarisha tujitawale na tulikuwa chini ya UN.
Kwa hiyo waingereza walikuwa wanaripoti UN.
Pili jiulize kwanini Hongkong na Macau zilikuwa na maisha bora na uchumi bora kuliko China au Korea ambao walipata uhuru miaka mingi mno kabla yao?
Au South Africa.
All said ukweli utabakia kwamba hii misaada wanayoitoa ni aibu yao wenyewe kama reparation...Can't fool me! huwezi nambia Muingereza ana huruma saaana kutusaidia sisi wakati anatumia - When we were rulers they were better off! Hizi ndio story nazisikia sana kuhusu Oman na Zanzibar ati Zanzibar ilikuwa imeendelea sana chini ya Sultan na wajinga wanaamini wanataka kuvunja muungano bora warudi kwa Sultan. Hii misaada yote anayoahidi ni aibu ya kukoloni watu ati huruma!.I could have told you that son. First thing first, don't trust anyone.
Watu wako wa karibu wanaweza kukuangalia mkeo anakuchezea hata wasikwambie, na hili si Tanzania tu to be fair to our country.
I could have told you that, in fact I told you that even before reading this part.
The trouble with your boy is that he is not even "by himself". he is shooting himself in the foot like Plaxico. Anybody serious who was taking him seriously just a few years ago is bound to see right through the facade, the pretension, the usurpation, the caricaturing of such a grave issue!
Unapowasema opportunists usimsahau na huyo Zitto anayetumia habari za reparation kushinia some brownie points for cheap politics.
Na nitajie hao matapeli na opportunists ambao hawasemwi ni kina nani hapa tu deal na specifics na kuacha ku generalize mambo.
Tatizo si nani ana nafasi ya kutoka, tatizo wote wenye nafasi ya kutoka wameoza, kwa sababu system ilivyokuwa designed huwezi kupata nafasi ya kutoka bila ku compromise integrity. And that is a truism.
Labda wewe, mie siwezi kutamani mtu asiye na discipline ya kujua nini cha kusema Twitter na nini cha kuacha.
Hii habari ya "RussianRoulette" leadership ni kichaa tu anaweza kui entertain.
Eti, ngoja niweke bunduki against kichwa na nipige risasi kwa kutegemea chamber ya risasi itakuwa haina risasi?
Hebu tuwape tu kwa sababu tunawajaribu tu, hatujui chochote? Ndicho kinachowashinda wabongo hicho, wanaona "bora zimwi likujualo, tusije ku Chilubwa bure".
Na ingawa siwapendi CCM, this is hardly about a party.
Mimi naongozwa na msimamo wa wazi kabisa kwamba 'right or wrong my country first' na hivyo siwezi kuruhusu mtu, tena mzungu anayejiita mwekezaji kuitukana nchi nchi yangu kwa sababu tu wamerushana na wafanyabiashara wenzake.