Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji