Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Mkuu Kilatha asante sana kwa ilmu hii.
P
 
Mimi nadhani tumwamini meja jenerali Kingu ..... kumradhi, tumwamini mheshimiwa rais kuwa walisaini MoU isiyo na maslahi kwa nchi tena bila kuomba ushauri ofisi ya AG na wizara ya fedha.
sheria ni sheria lazima sote tuzitii (isipokua kwa bashite na nduguze)
 
Kuna watu hudhani kila analofanya Rais, basi ni kwa mapenzi yake au anapenda kufanya hivyo. Siamini kama hao watu wanafahamu jinsi serikali zinavyofanya kazi. Kinachofanywa na Serikali/dola, sio lazima kiwafurahishe wananchi na viongozi au wananchi wenyewe au viongozi. Kinachofanywa na Serikali, sio lazima kilete maana kwa wananchi au viongozi. Kwa kimombo; What is done by States/ governments is not necessary to be logical and make sense to anyone. The governments do whatever make sense for the existence of the State, government and national sovereignty. Ndio maana kiongozi akiingia madarakani, sio lazima afuatikie mguu kwa mguu ilani ya chama chake. Anakutana na vitu ambavyo visingeleta maana kwenye kampeni lakn vina maana kwa government and state. Rejea 50M kwa kila Kijiji na Miradi kibao ambayo haikuwepo kwenye ilani. In most cases govts do illogical things.
 
What is done by States/ governments is not necessary to be logical and make sense to anyone. The governments do whatever make sense for the existence of the State, government and national sovereignty
Your English, please check it!
 
Jamani Rais alichosema siyo MOU ilisainiwa wapi? bali process nzima haikufuata utaratibu, negotiations zilikuwa zinafanyika nje, na wajumbe kulipwa 800$per day, also PST hana taarifa wala wizara yake. hapo ndio palipoleta Mashaka na hata huo mkataba hauna maslahi bali tulikuwa tupigwe tena.nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…