Ikitotanzira
Member
- Feb 12, 2019
- 24
- 151
TumekuchokaSomo kidogo:
Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415️.
Watanzania mjue Haya ni matokeo ya Mambo 2 makubwa.
- Moja, maamuzi ya hovyo Kuhusu Zao la Korosho ambalo ni zao kiongozi katika kuleta fedha za kigeni
- Mbili ni ubinywaji wa Demokrasia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kuwabambikia kesi wanasiasa wa upinzani ikiwemo kupigwa risasi Tundu Lissu na Kutungwa kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hivyo kupelekea wafadhili kutoleta fedha za kigeni nchini.
Nini matokeo ya Hali hii? Serikali itashindwa kulipa wakandarasi wa miradi yake mikubwa au kama ikiwalipa basi ita default malipo ya madeni yaliyowiva au kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma.
Serikali itafanya nini? Nionavyo, Kwa kuwa Serikali hii ni kiburi itaamua kukopa kutoka benki za nje kwa fedha za kigeni ili kuficha aibu kwa Wananchi na hivyo kuingiza nchi kwenye madhara makubwa zaidi. Ushauri wangu?
Serikali ikubali uchunguzi huru wa shambulio la Lissu na kuachia vyama vya Siasa Kuwa huru kufanya siasa ikiwemo kufuta kesi zote za kisiasa dhidi ya wapinzani.
Muhimu zaidi Rais kama Mkuu wa Nchi aombe kikao na Maalim Seif kupata suluhisho la haki ya Wazanzibari kupata Serikali waliyoichagua Oktoba 25, 2015. Ikishafanya Hivi Serikali iwaombe baadhi ya wanasiasa kwenda kwa Donors kuomba waachie misaada.
Pili Serikali iache kubana Sekta binafsi ili uwekezaji uje nchini na kuongeza inflows za fedha za kigeni. Mabadiliko makubwa yafanyike Wizara ya Fedha na Benki Kuu ili kuweza kutekeleza sera bora za Uchumi na Rais amwombe Prof. Ndulu kuwa Mshauri Mkuu wa Uchumi kwa angalau mwaka mmoja.
Najua Rais magufuli hatafanya Haya licha ya yeye mwenyewe kujua hali ni mbaya sana kiuchumi. Akiendelea na sera zake, mtaniambia dola imefika ngapi tarehe kama hii mwezi machi.
Hizo hela za Barrick hawezi zipata na Acacia wameshasema hawajui hayo makubaliano ya Serikali na Barrick.
Kwa hiyo hakuna FOREX INFLOWS!
Kumbe nchi yetu masikini?.......Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.
Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.
Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.
Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo mambo mazuri tu, yako super na hakuna tatizo lolote.Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.
Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.
Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.
Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe mnaaza kukubali hali ni mbayaserikali iongeze juhudi kuutangaza utalii ili tupate pesa za kigeni
Unaelewa Financial Market zinavofanya kazi?Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.
Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.
Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.
Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.
Angalia hata shilling ya Kenya, Uganda kwa dola jinsi ambavyo imeshuka. Kwa hiyo na nchi hizo zina uza korosho?
Hii nchi ina vituko vya wanasiasa!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe hujui kitu huna tofauti na jiweHuyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.
Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.
Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.
Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.
Angalia hata shilling ya Kenya, Uganda kwa dola jinsi ambavyo imeshuka. Kwa hiyo na nchi hizo zina uza korosho?
Hii nchi ina vituko vya wanasiasa!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunahitaji sana uzoefu wako.Somo kidogo:
Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415.
Watanzania mjue Haya ni matokeo ya Mambo 2 makubwa.
- Moja, maamuzi ya hovyo Kuhusu Zao la Korosho ambalo ni zao kiongozi katika kuleta fedha za kigeni
- Mbili ni ubinywaji wa Demokrasia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kuwabambikia kesi wanasiasa wa upinzani ikiwemo kupigwa risasi Tundu Lissu na Kutungwa kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hivyo kupelekea wafadhili kutoleta fedha za kigeni nchini.
Nini matokeo ya Hali hii? Serikali itashindwa kulipa wakandarasi wa miradi yake mikubwa au kama ikiwalipa basi ita default malipo ya madeni yaliyowiva au kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma.
Serikali itafanya nini? Nionavyo, Kwa kuwa Serikali hii ni kiburi itaamua kukopa kutoka benki za nje kwa fedha za kigeni ili kuficha aibu kwa Wananchi na hivyo kuingiza nchi kwenye madhara makubwa zaidi. Ushauri wangu?
Serikali ikubali uchunguzi huru wa shambulio la Lissu na kuachia vyama vya Siasa Kuwa huru kufanya siasa ikiwemo kufuta kesi zote za kisiasa dhidi ya wapinzani.
Muhimu zaidi Rais kama Mkuu wa Nchi aombe kikao na Maalim Seif kupata suluhisho la haki ya Wazanzibari kupata Serikali waliyoichagua Oktoba 25, 2015. Ikishafanya Hivi Serikali iwaombe baadhi ya wanasiasa kwenda kwa Donors kuomba waachie misaada.
Pili Serikali iache kubana Sekta binafsi ili uwekezaji uje nchini na kuongeza inflows za fedha za kigeni. Mabadiliko makubwa yafanyike Wizara ya Fedha na Benki Kuu ili kuweza kutekeleza sera bora za Uchumi na Rais amwombe Prof. Ndulu kuwa Mshauri Mkuu wa Uchumi kwa angalau mwaka mmoja.
Najua Rais magufuli hatafanya Haya licha ya yeye mwenyewe kujua hali ni mbaya sana kiuchumi. Akiendelea na sera zake, mtaniambia dola imefika ngapi tarehe kama hii mwezi machi.
Hizo hela za Barrick hawezi zipata na Acacia wameshasema hawajui hayo makubaliano ya Serikali na Barrick.
Kwa hiyo hakuna FOREX INFLOWS!
Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.