Zitto Kabwe: Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na Barrick Gold lililenga kupoza bei ya Dola, lakini soko limegoma...

Ikitotanzira

Member
Feb 12, 2019
24
151
Somo kidogo:

Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415 ⬆️.

Watanzania mjue Haya ni matokeo ya Mambo 2 makubwa.

- Moja, maamuzi ya hovyo Kuhusu Zao la Korosho ambalo ni zao kiongozi katika kuleta fedha za kigeni
- Mbili ni ubinywaji wa Demokrasia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kuwabambikia kesi wanasiasa wa upinzani ikiwemo kupigwa risasi Tundu Lissu na Kutungwa kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hivyo kupelekea wafadhili kutoleta fedha za kigeni nchini.

Nini matokeo ya Hali hii? Serikali itashindwa kulipa wakandarasi wa miradi yake mikubwa au kama ikiwalipa basi ita default malipo ya madeni yaliyowiva au kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma.

Serikali itafanya nini? Nionavyo, Kwa kuwa Serikali hii ni kiburi itaamua kukopa kutoka benki za nje kwa fedha za kigeni ili kuficha aibu kwa Wananchi na hivyo kuingiza nchi kwenye madhara makubwa zaidi. Ushauri wangu?

Serikali ikubali uchunguzi huru wa shambulio la Lissu na kuachia vyama vya Siasa Kuwa huru kufanya siasa ikiwemo kufuta kesi zote za kisiasa dhidi ya wapinzani.

Muhimu zaidi Rais kama Mkuu wa Nchi aombe kikao na Maalim Seif kupata suluhisho la haki ya Wazanzibari kupata Serikali waliyoichagua Oktoba 25, 2015. Ikishafanya Hivi Serikali iwaombe baadhi ya wanasiasa kwenda kwa Donors kuomba waachie misaada.

Pili Serikali iache kubana Sekta binafsi ili uwekezaji uje nchini na kuongeza inflows za fedha za kigeni. Mabadiliko makubwa yafanyike Wizara ya Fedha na Benki Kuu ili kuweza kutekeleza sera bora za Uchumi na Rais amwombe Prof. Ndulu kuwa Mshauri Mkuu wa Uchumi kwa angalau mwaka mmoja.

Najua Rais magufuli hatafanya Haya licha ya yeye mwenyewe kujua hali ni mbaya sana kiuchumi. Akiendelea na sera zake, mtaniambia dola imefika ngapi tarehe kama hii mwezi machi.

Hizo hela za Barrick hawezi zipata na Acacia wameshasema hawajui hayo makubaliano ya Serikali na Barrick.

Kwa hiyo hakuna FOREX INFLOWS!
 
Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.

Kwa hiyo kwa akili za Zitto huyo CEO wa Barrick alikuja kupoza bei ya shilingi kwenye dola? Hii ni zaidi ya fikra za ki-comedy.

Kwani tamko la mwanzo la Mwenyekiti Mtendaji, Thomton kuhusu makubaliano lilipoza shilingi ya Tanzania?

Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania na kampuni ya Barrick libadilishe exchange rate ya dola! Huu ni uchumi wa Mwandiga, Kigoma au kimataifa?

Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate kutokana na ukubwa na thamani ya uwekezaji wao nchini. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.

Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza na pia Euro inashuka ukilinganisha na Dola.

Kiuchumi kupanda au kushuka kwa dola ukilinganisha na pesa ya nchi kuna faida na hasara zake.

Hii ni faida kwa wanaouza bidhaa nchi za nje lakini ni hasara kwa wanaonunua bidhaa kutoka nje.

Hoja ya msingi, je bei za bidhaa nchini zinapanda? Kama bei hazijapanda/hazipandi basi hili ni tatizo la muda mfupi katika uchumi.

Halafu kuhusu hoja ya korosho pia ni fyongo kwa sababu korosho ni zao la msimu na kwa maana hiyo Zitto anatuambia baada mauzo ya korosho pesa ya Tanzania huwa na thamani mpaka kipindi kingine cha mauzo ya korosho! Mbavu zangu zinauma kwa kicheko!

Kwa hoja fyongo kama hizi ndio maana baaadhi ya watu wameanza kupatwa na wasiwasi kuhusu uwezo wa wanasiasa waliopata shahada ya UDSM!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Somo kidogo:

Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415 ️.

Watanzania mjue Haya ni matokeo ya Mambo 2 makubwa.

- Moja, maamuzi ya hovyo Kuhusu Zao la Korosho ambalo ni zao kiongozi katika kuleta fedha za kigeni
- Mbili ni ubinywaji wa Demokrasia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kuwabambikia kesi wanasiasa wa upinzani ikiwemo kupigwa risasi Tundu Lissu na Kutungwa kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hivyo kupelekea wafadhili kutoleta fedha za kigeni nchini.

Nini matokeo ya Hali hii? Serikali itashindwa kulipa wakandarasi wa miradi yake mikubwa au kama ikiwalipa basi ita default malipo ya madeni yaliyowiva au kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma.

Serikali itafanya nini? Nionavyo, Kwa kuwa Serikali hii ni kiburi itaamua kukopa kutoka benki za nje kwa fedha za kigeni ili kuficha aibu kwa Wananchi na hivyo kuingiza nchi kwenye madhara makubwa zaidi. Ushauri wangu?

Serikali ikubali uchunguzi huru wa shambulio la Lissu na kuachia vyama vya Siasa Kuwa huru kufanya siasa ikiwemo kufuta kesi zote za kisiasa dhidi ya wapinzani.

Muhimu zaidi Rais kama Mkuu wa Nchi aombe kikao na Maalim Seif kupata suluhisho la haki ya Wazanzibari kupata Serikali waliyoichagua Oktoba 25, 2015. Ikishafanya Hivi Serikali iwaombe baadhi ya wanasiasa kwenda kwa Donors kuomba waachie misaada.

Pili Serikali iache kubana Sekta binafsi ili uwekezaji uje nchini na kuongeza inflows za fedha za kigeni. Mabadiliko makubwa yafanyike Wizara ya Fedha na Benki Kuu ili kuweza kutekeleza sera bora za Uchumi na Rais amwombe Prof. Ndulu kuwa Mshauri Mkuu wa Uchumi kwa angalau mwaka mmoja.

Najua Rais magufuli hatafanya Haya licha ya yeye mwenyewe kujua hali ni mbaya sana kiuchumi. Akiendelea na sera zake, mtaniambia dola imefika ngapi tarehe kama hii mwezi machi.

Hizo hela za Barrick hawezi zipata na Acacia wameshasema hawajui hayo makubaliano ya Serikali na Barrick.

Kwa hiyo hakuna FOREX INFLOWS!
Tumekuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.

Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.

Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.

Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe nchi yetu masikini?.......
 
Kwahiyo mambo mazuri tu, yako super na hakuna tatizo lolote.

Hivyo tusimwamini Zitto wakala wa mabeberu, tuwaamini magenious CCM waendelee kupaisha uchumi ????
 
Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.

Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.

Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.

Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.

Angalia hata shilling ya Kenya, Uganda kwa dola jinsi ambavyo imeshuka. Kwa hiyo na nchi hizo zina uza korosho?

Hii nchi ina vituko vya wanasiasa!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaelewa Financial Market zinavofanya kazi?
 
Wewe hujui kitu huna tofauti na jiwe
 
Somo kidogo:

Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415 .

Watanzania mjue Haya ni matokeo ya Mambo 2 makubwa.

- Moja, maamuzi ya hovyo Kuhusu Zao la Korosho ambalo ni zao kiongozi katika kuleta fedha za kigeni
- Mbili ni ubinywaji wa Demokrasia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, kuwabambikia kesi wanasiasa wa upinzani ikiwemo kupigwa risasi Tundu Lissu na Kutungwa kwa sheria mpya ya vyama vya siasa hivyo kupelekea wafadhili kutoleta fedha za kigeni nchini.

Nini matokeo ya Hali hii? Serikali itashindwa kulipa wakandarasi wa miradi yake mikubwa au kama ikiwalipa basi ita default malipo ya madeni yaliyowiva au kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma.

Serikali itafanya nini? Nionavyo, Kwa kuwa Serikali hii ni kiburi itaamua kukopa kutoka benki za nje kwa fedha za kigeni ili kuficha aibu kwa Wananchi na hivyo kuingiza nchi kwenye madhara makubwa zaidi. Ushauri wangu?

Serikali ikubali uchunguzi huru wa shambulio la Lissu na kuachia vyama vya Siasa Kuwa huru kufanya siasa ikiwemo kufuta kesi zote za kisiasa dhidi ya wapinzani.

Muhimu zaidi Rais kama Mkuu wa Nchi aombe kikao na Maalim Seif kupata suluhisho la haki ya Wazanzibari kupata Serikali waliyoichagua Oktoba 25, 2015. Ikishafanya Hivi Serikali iwaombe baadhi ya wanasiasa kwenda kwa Donors kuomba waachie misaada.

Pili Serikali iache kubana Sekta binafsi ili uwekezaji uje nchini na kuongeza inflows za fedha za kigeni. Mabadiliko makubwa yafanyike Wizara ya Fedha na Benki Kuu ili kuweza kutekeleza sera bora za Uchumi na Rais amwombe Prof. Ndulu kuwa Mshauri Mkuu wa Uchumi kwa angalau mwaka mmoja.

Najua Rais magufuli hatafanya Haya licha ya yeye mwenyewe kujua hali ni mbaya sana kiuchumi. Akiendelea na sera zake, mtaniambia dola imefika ngapi tarehe kama hii mwezi machi.

Hizo hela za Barrick hawezi zipata na Acacia wameshasema hawajui hayo makubaliano ya Serikali na Barrick.

Kwa hiyo hakuna FOREX INFLOWS!
Tunahitaji sana uzoefu wako.
Tuelimishe tena na tena maana wengine hatukuelewa kilichoendelea pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Zitto naye ni walewale wachumi wa makaratasi ya kisiasa.

Yaani tamko la Rais wa nchi masikini kama Tanzania libadilishe exchange rate ya dola.

Tamko hilo linahusu share za Barrick na sio exchange rate. Ndio maana baada ya tamko hilo share za Barrick zimepanda thamani yake.

Ukiangalia utagundua trend za kimataifa zinaonyesha dola inapanda thamani yake kulinganisha na thamani ya pesa nyingine. Hili sio suala la Tanzania pekee. Hata thamani ya Pound ya Uingereza inashuka ukilinganisha na Dola. Vivyo hivyo Euro.

Angalia hata shilling ya Kenya, Uganda kwa dola jinsi ambavyo imeshuka. Kwa hiyo na nchi hizo zina uza korosho?

Hii nchi ina vituko vya wanasiasa!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Lakini Mh Zitto ametolea mifano kwa upande wa Nchi yetu ,hizo Nchi nyingine nazo zinazo Sababu zake kwa kupanda au kushuka kwa thamani ya Pesa yao.
 
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom