Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Naomba kuuliza swali dogo tu kwa wadau. Kama kweli serikali inakua inadanganya, huwa inafanya hivyo kwa manufaa ya nani?
kisiasa. ili wasionekane wamefail.
Naomba kuuliza swali dogo tu kwa wadau. Kama kweli serikali inakua inadanganya, huwa inafanya hivyo kwa manufaa ya nani?
Tushangilie mimi na nani?...ili mushangilie
....wadangayika wote wanaowaaminiTushangilie mimi na nani?
Lakini hujajibu swali la msingi?....wadangayika wote wanaowaamini
Hata nzes huwa anasema SUKAR ilikua 5000/- naye alipewa data na nani?Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
Hujui elimu ya zitto?Kwani Zitto ni mchumi?? kama sio mchumi atakua anatudanganya tu namshauri akae akijenge chama chake kinaporomoka kwa kasi asije akabaki mwenyewe
Hujui eneo la zitto za ubobezi kitaaluma? Hujui kama yule mwingine ni maganda ya korosho?Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
Mkoa mzima wa kigoma more than 80 % hautegemei money economy wanaishi kwa subsistence economy .Hawana hela wala akaunti wala tigopesa ,mpesa au Airtel money serikali data kama hizo hawana uwezo wa kuzi capture sababu haziko kwenye formal economy. Ukoo au familia au vijiji kibbao waweza ishi heathly mwaka mzima bila kwenda sokoni wala hospital sababu wala mitishamba Na wanavyilima.Zitto kabwe kakariri vitabu vya uchumi vya wazungu vya money economy Africa is not a money economy it is almost 80% a subsistence economy hovyo kufanya argument zake za theories of money and demand and supply which depend on price ,demand for money in determination of GDP to be not only useless but hopeless.Amekariri vitabu vya wazungu vya waandishi wachumi wazungu lakini akili hanaKama umefuatilia vizuri, ameonesha mdororo wa hicho kipindi ila serikali haikuonesha mdororo halisi.
Kwa nini serikali inachapisha hizo taarifa?Mkoa mzima wa kigoma more than 80 % hautegemei money economy wanaishi kwa subsistence economy .Hawana hela wala akaunti wala tigopesa ,mpesa au Airtel money serikali data kama hizo hawana uwezo wa kuzi capture sababu haziko kwenye formal economy. Ukoo au familia au vijiji kibbao waweza ishi heathly mwaka mzima bila kwenda sokoni wala hospital sababu wala mitishamba Na wanavyilima.Zitto kabwe kakariri vitabu vya uchumi vya wazungu vya money economy Africa is not a money economy it is almost 80% a subsistence economy hovyo kufanya argument zake za theories of money and demand and supply which depend on price ,demand for money in determination of GDP to be not only useless but hopeless.Amekariri vitabu vya wazungu vya waandishi wachumi wazungu lakini akili hana
Zito kachambua takwimu ambazo ni za serikali yenyewe, hajatengeneza takwimu zake mpya...Naiomba serikali imshitaki zitto kupitia ile sheria ya takwimu yani akayhibitishe haya aliyoyasema mahakamani.
Zitto hana lolote naishauri serikali isimuache imshitaki tena imuongezee na ile aliyosema kwamba jengo bweni udsm eti halijajengwa kwa thamani ya pesa aliyotaja mkuu ili tukamuumbue.
Pia alisema biashara ya nje imeshuka,kilimo kimeshuka yani anasemasema tu halafu hajibiwi hata mkijibu mnamshambulia yeye binafsi.
Nasubiri hilo
Shida yako ninini, adui WA adui yako Ni rafiki yako!naona bavicha mmehamia kwa zito,,, mnavyomfagilia saiv si kawaida... si msaliti tena.. heko zzk
Hata ikichapisha kuzichambua kunataka uwe Na akili wao wanachapisha official information walizopata kwenye masoko official kwenye masoko yanayotegemea demand and supply Na ambako price ndio determinant huwezi zibeba kichwa kichwa ukasema serikali waongo wakati unajua 80 % per cent ya watu wa kigoma wanaishi kwa subsistence economy hawategemei upuuzi koko wa money supply pesa ziwepo zisiwepo wanazaa Na kutukuu bila shida.Zito hajielewi kakariri vitabu vya uchumi vya wazungu ambao kwao uchumi wao ni money economy hivyo zitto anadhani aweZa copy Na kupaste aca localize Na kujenga hoja ya kuponda takwimu za serikali nyoooooKwa nini serikali inachapisha hizo taarifa?
Kusinyaa kwa ukuaji wa uchumi kutokana na sera mbaya za Serikali,
Insu ni alichokiongea, yeye hajaongelea mambo ya ccm wala vyama vingine, ameongelea uchumi kwa kutoa takwimu.
Ww ulipaswa impinge kuhusu ukuaji Wa uchumi kwa takwimu, au ukubaliane nae" hayo unayoyaongea ungeanzisha thread yake ungeeleweka. Mbayuwayu!
...Unaweza kukuta huyu naye anajiita msomi, so sad.Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
kama unajua unajua uchumi toka awali hata kabla ya zitto tulikuwa tunasema takwimu za TRA si za kweli maana zilikuwa haziendani na hali halisi ya maisha.Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???