Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

Kweli awamu hii kiboko haswaaaaaa

Huku kuwashwa washwa si kwa kawaida.. ile albadili imebaki nao pia wanaanza kuhaha kidunchudunchu

Magufuli oyeeeee
 
Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
Na huyo mtu ndio alimpa na zile data za bomba dear??watu wakaruka na kukanyaganya??hahahaa lazima takwimu sawa sio zile tunazorishwa mala hatukopi,hostel zimetumia bilioni kumi kwenye ujenzi!!
 
MTU msomi wanachama wake potential waweza acha chama kienyeji tu?Hajui Ku wa handle wasihame.Kama kasoma kasomea ujinga he doesn't know how to get along or to live with potential people in his party. Getting along with potential people is one of major characteristic of a learned person.Zito kabwe is zero
Zitto hana mamlaka ya kuteua mkuu wa mkoa wala katibu mkuu wa wizara! Hebu mwacheni awashughulikie washamba tafadhali!
 
Zitto Kabwe yuko live anapondea ununuzi wa Bombadier!
Sasa anataka tusafiri kwa kutumia ungo?
Basi aje atufundishe kuruka kwa ungo ili hizo Bombadier tuziruidishe tulipozitoa.
Zitto pia yuko analaumu ujenzi wa reli, deep inside ni kwa kuwa reli inaenda Mwanza na sio Kigoma.
Je Zitto, kwa upendeleo anaouonesha kwa mkoa anaotoka, bado anastahili kuwa kiongozi wa taifa? Tukimpa urais si kila kitu atapeleka 'jimboni' mwake?
Kweli Zitto ameanza kuzeeka na kuishiwa hoja!
Tena analaumu kupelekea pesa nje kwamba eti ndani pesa inaadimika, hajui hiyo ni economic advantage?
Serikali inapoondoa pesa nchini na kuzipeleka nje ya nchi, hiyo inacreate 'vacuum' kwa serikali kuprint pesa mpya bila kuongeza mfumuko wa bei ihali ile pesa iliyopelekwa nje pia inanunua bidhaa za thamani.
Kwenye uchumi, Zitto amescore F! Kwa hii hotuba ya leo.
 
Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
Msiogope kusikiliza mitazamo tofauti. Kushindana kwa hoja ndio kutawezesha maendeleo ya kweli katika nchi hii. Huyo anaejifanya eti anajua vyote anatishwa nini na mitizamo tofauti?
 
Zitto Kabwe:"Shaka iliyokuwapo juu ya kupikwa kwa takwimu za ukuaji wa GDP ni halali, ni ya kweli na sasa tuna ushahidi". -
 
Zitto Kabwe yuko live anapondea ununuzi wa Bombadier!
Sasa anataka tusafiri kwa kutumia ungo?
Basi aje atufundishe kuruka kwa ungo ili hizo Bombadier tuziruidishe tulipozitoa.
Zitto pia yuko analaumu ujenzi wa reli, deep inside ni kwa kuwa reli inaenda Mwanza na sio Kigoma.
Je Zitto, kwa upendeleo anaouonesha kwa mkoa anaotoka, bado anastahili kuwa kiongozi wa taifa? Tukimpa urais si kila kitu atapeleka 'jimboni' mwake?
Kweli Zitto ameanza kuzeeka na kuishiwa hoja!
Tena analaumu kupelekea pesa nje kwamba eti ndani pesa inaadimika, hajui hiyo ni economic advantage?
Serikali inapoondoa pesa nchini na kuzipeleka nje ya nchi, hiyo inacreate 'vacuum' kwa serikali kuprint pesa mpya bila kuongeza mfumuko wa bei ihali ile pesa iliyopelekwa nje pia inanunua bidhaa za thamani.
Kwenye uchumi, Zitto amescore F! Kwa hii hotuba ya leo.
Halafu Mheshimiwa huyo huyo anaiomba serikali ipunguze bei ya nauli ya ndege hizo kwenye safari zake za kigoma.
 
Zitto Kabwe: Taarifa ya mwisho ya Mapato ya Serikali iliyotolewa na TRA ni ya kupikwa haina uhalisia.
 
Kwani Zitto ni mchumi?? kama sio mchumi atakua anatudanganya tu namshauri akae akijenge chama chake kinaporomoka kwa kasi asije akabaki mwenyewe
Hiyo Mikutano na waandishi was habari ndio njia pekee iliyobaki kwa wapinzani kusikika na hiyo ndiyo njia ilyobakia kwa wapinzani kujenga vyama vyao kwa sababu njia nyengine za kuwafikia watu kitaifa zimezibwa kwa wapinzani ambapo kwa ccm ni ruhusa Leo hii asubuhi niliwaona vijana wa ccm wakiandamana mjini Zanzibar lakini ingalikuwa vijana wa upinzani ingelikuwa hali nyengine hapo ndipo Tanzania yetu ilipofikishwa kwa hivyo njia anayotumia zitto ndiyo njia sahihi kwa wapinzani kuonesha mapungufu ya serikali.
 
Zitto Kabwe "Nafahamu uchumi una lugha isiyo rafiki kwa walio wengi lakini nitajitahidi kutumia maneno rahisi ili wote tuelewane."-
 
  • Zito Kabwe:pato la Taifa (GDP) ni jumla ya mapato ya watu wote waliopo katika nchi au taifa husika katika kipindi maalumu,hususani mwaka 1.
 
Back
Top Bottom