Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???

If so, why weweseka? He is a grown up person and well educated person. Anajiamini, kwa hivyo usimfunge mdomo kwa kumtishia. Usichokijua ni kuwa maendeleo ya nchi huletwa kwa kukosoana kwa kuleta tija. Acha tumsikilize na yeye
, ndio tuupembue mchele.
 
Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???

Mkuu data za zitto ziunapatika TRA, BOT na NBS zipo wazi kabisa ni uwezo tu wa kizisoma na kuchambua.
 
Simuamini tena zitto baada ya kushikilia na kuapia kwa miungu yake yote kwamba tutapata njaa ya karne.
Zitto aliwahi kusema ana list ya walioficha mabilioni uswisi hakuitoa mpaka leo.
ukiona kiongozi anafukuzwa mpaka na chadema huyo,hafai popote
 
Wote tungekuwa na akili kama zako, hata India wasingekuja kununua mbaazi zetu.

Ni akili za ovyo sana.
Wanachama wengi wa ACT wazalendo wamehama chama hana watu wa kuwahutubia ndio maana anawaita waandishi wa habari awahutubie ili a steam out frustration zake za kukosa hadhira ya kuhutubia
 
Kaaribu nini?

Fikra zako za mgando!!?
Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
 
hatuna muda wa kufuatilia press ya mtu anayekimbiwa na kila mtu.
 
Pato la Taifa la Tanzania lilisinyaa kati ya April na June 2017 tofauti na Taarifa ya Serikali. Fuatilia Press Conference Mbunge Zitto Kabwe kuanzia saa sita kamili mchana.

Livestream Act Wazalendo na Zitto Kabwe pages.

Pia mwananchi online, azamtv online, JamiiForums online na wengine wengi.
======UPDATES
Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya utangazaji wameshafika Makao Makuu ya ACT Wazalendo. Sayansi - Kijitonyama

Sawa msemaji wa ACT, jitahidi utachukua mikoba ya Mwigamba au Mughirwa.
 
If so, why weweseka? He is a grown up person and well educated person. Anajiamini, kwa hivyo usimfunge mdomo kwa kumtishia.
MTU msomi wanachama wake potential waweza acha chama kienyeji tu?Hajui Ku wa handle wasihame.Kama kasoma kasomea ujinga he doesn't know how to get along or to live with potential people in his party. Getting along with potential people is one of major characteristic of a learned person.Zito kabwe is zero
 
tunasubiri kwa hamu takwimu sahihi zilichambuliwa kisomi na mchumi mbobezi Zito kabwe,

siyo za yule msomi feki wa maganda ya korosho
 
Hizi ZITO ni lini atajua kuwa alishachuja.MECHI ya SIMBA na YANGA leo ni afadhali nikaingie uwanjani mapema na kula karanga na icecream kuliko kupoteza muda wangu kumsikiliza mtu ambaye hata chama chake kimemshinda.AZIMIO LA TABORA!! LIPO WAPI.Muulizeni BANYAMULENGE
 
MTU msomi wanachama wake potential waweza acha chama kienyeji tu?Hajui Ku wa handle wasihame.Kama kasoma kasomea ujinga he doesn't know how to get along or to live with potential people in his party. Getting along with potential people is one of major characteristic of a learned person.Zito kabwe is zero
well said bro! Siasa zake ni za kizandiki tu. Upstairs hana kitu.Ubishi tu kama banyamulenge
 
MTU msomi wanachama wake potential waweza acha chama kienyeji tu?Hajui Ku wa handle wasihame.Kama kasoma kasomea ujinga he doesn't know how to get along or to live with potential people in his party. Getting along with potential people is one of major characteristic of a learned person.Zito kabwe is zero

Umepata cheo au bado unasugua benchi?
 
MTU msomi wanachama wake potential waweza acha chama kienyeji tu?Hajui Ku wa handle wasihame.Kama kasoma kasomea ujinga he doesn't know how to get along or to live with potential people in his party. Getting along with potential people is one of major characteristic of a learned person.Zito kabwe is zero
Africa akuna usomi unaoweza kumshawishi mtu abaki kuwa mfuasi wako zaidi ya pesa ndugu hata mzungu akija africa utanguliza fungu mbele likiisha kama mambo yake bado anaongeza akipata anatembea mbele wanaotoka vyama pinzani na kwenda chama tawala ukwel utabaki kua pale pale wakikosa hela pamoja na kujilipua kote utafuta njia sahihi ya kuongea ukwel na kutumia akili na usomi wake bila hela ccm amna kitu
 
Siasa kitu cha ajabu sana..Zitto inawezekana anajazwa UJINGA na mtu aliye ndani ya SYSTEM AMBAYE ANAMWAMINI KABSA ili hali kumbe wanamchezea mchezo asioujua yeye....Zama zimebadilika mzee funga mdomo wako usijifanye unajua kila kitu..UJUAJI WAKO UONYESHE KWENYE KUIFANYA ACT tishio...UTAUMBUKA KAKA YANGU unajazwa data za uwongo na huyo anaekupa..WATAKUUMBUA WENZIO...Kuwa na akiba ya maneno na kuwa makini sana utamkalo...Maana kuna kesho pia UNGEPENDA ZAIDI watu waendelee kukuamini...sasa ukiharibu leo nani atakuamini kesho???
Hizi ni zama za bunduki, siyo?
 
Zitto Kabwe : Oktoba 20, 2017, Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo ilifanya kikao Dar kujadili hali ya kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
 
Back
Top Bottom