Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

Shehe Ilunga alishakamatwa??
Maana na makadinali - huyu si mwanasiasa
yeye ndio alkua anasisitiza kuwaua mapadre
Wislam tuache unafki na tuache kutumika na manufaa ya
tusiowajua na wala hatutojua wanatafuta nini tanzania hadi hapo watakapofanikiwa - Hawatupendi kihivyo jamaniiiiii wanatutumia tuu
 
Kumbe unajua nafundishwa kuwapenda adui zangu, mbona basi we unafundisha kuwauwa adui zako (wakristu)???? Bila haya mnaambizana misikitini kuwa adui yenu ni mgalatia. Makafiri wakubwa!

Kuvumilia akili kama hizi ipo siku wenye kumiliki jukwaa hili watajikuta matatizoni.
 
Hatua ilikuwa ni kuifungia radio iman kifungo cha milele na sio miezi kadhaa tu, dhambi yao haivumiliki lakini kwa uislamu wa zitto hawezi kutamka hilo

mfumo kristo umekula ubongo wako
 
Kumbe unajua nafundishwa kuwapenda adui zangu, mbona basi we unafundisha kuwauwa adui zako (wakristu)???? Bila haya mnaambizana misikitini kuwa adui yenu ni mgalatia. Makafiri wakubwa!

maneno ya kwenye vijewe vya gahawa unaleta hapa
 
Shehe Ilunga alishakamatwa??
Maana na makadinali - huyu si mwanasiasa
yeye ndio alkua anasisitiza kuwaua mapadre
Wislam tuache unafki na tuache kutumika na manufaa ya
tusiowajua na wala hatutojua wanatafuta nini tanzania hadi hapo watakapofanikiwa - Hawatupendi kihivyo jamaniiiiii wanatutumia tuu

peleka ushaidi police hata. bungeni wamesisiza mwenzio mbunge selasin amekabidhi cd ya uchozi bungeni
 
Hata nukuu mnaiba za biblia! Hivi kitabu chenu kina shida gani hata hamkitumii? Ndio maana watoto wenu wanawapa watoto wetu wakikojolee, sababu ni kwamba mmekalia kutumia biblia kukashifu ukristu kisha hapa unataka kunukuu kutafuta amani! Huyo Nivea wala mi simjui, ninamjua Yesu aliyenikomboa na kunifanya nisiwe mnafiki. Nimemsema Zitto kwa sababu ni muislamu na awaambie waislamu wenzake. Mkosamali akiwasema si mtampiga mawe. Makafiri wakubwa nyie!

wewe sio mkristo bana tafuta walevi wenzio ndo ubishane nao
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuna mhadhara wa kidini unaendelea pale kawe leo siku ya 3 kuanzaia jioni mpaka saa 4usiku na serikali haichukui hatua? waislamu wanaichambua biblia kama dini yao, je waksristu wanaweza kuchukua msahafu na kuanza kuuchambua? seriakli dhaifu haiwezi kuchukua hatua.
 
Akiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.

Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.

Kweli hili ni la kweli kabisa.

Mh zitto ameongea jambo la maana sana tatizo ni kwamba hili tatizo la udini lina shughulikiwa na watu ambao wamekuwa ni chanzo au sababu ya kushamiri kwa hili tatizo. ccm wamekuwa wakitumia hili jambo kama mtaji wa kisiasa na kumbuka kwenye mkutano wao huko temeke walitumia vijana wao wakina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kueneneza hizi propaganda na huku wakishangiliwa leo waanaanza kulia na kutafuta mchawi. Mh zitto hao jamaa hawasikii wakigeuka utasikia wakisema kile chama ni cha waislam, kile chama cha wakristo.
 
Last edited by a moderator:
ZZK anamaakili sana
Tusipende kunyoosheana vidole bali tutafakari Tz ya sasa inapoelekea ili tujihadhari mapema
Aliyoyatabiri BABA WA TAIFA ndiyo yanatimia
 
peleka ushaidi police hata. bungeni wamesisiza mwenzio mbunge selasin amekabidhi cd ya uchozi bungeni

Ushaidi wa Shehe Ilunga hata wewe unaweza kuupeleka
Usiwe mnafki
 
Najua sku zote watu hawapendi kuambiwa ukweli haswa kwa kitu ambacho si cha kweli,ikiwa wameaminishwa kuwa kweli. Kitu chenyewe ni hiki (Dini) ki ukweli ulio wazi, jambo hili nataka haswa wasomi wajiulize kwa nini? Sote ni watz lakin wengine wana majina ya kizungu, wengine kiarabu. Hitimisho dini sio zetu tumeacha dini zetu tumefuata za kigeni.
 
Akiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.

Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.

Kweli hili ni la kweli kabisa.

AIBU

ZZK yeye mwenyewe alielezea udini kwenye uchaguzi wake. Ulikuwa hisia.

Udini wa JK na Zito uliletwa hapa jamvini na waraka fulani murua wa Pasco wa JF
 
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali

Ipi tofauti ya kauli ya Lema na Zitto?
 
Kwa hiyo mmeona mnapiga kelele na hakuna anayewasikiliza upuuzi wenu so mmeamua kuua mapadri, kuchoma makanisa na kumwinda balozi wa papa! du! Uislamu na ugaidi ni chanda na pete

Jibu hoja mngese wewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata Yesu aliitwa mlevi......najisikia fakhari ku-share same insults alizosukumiwa Jesus!

Ewe kijukuu cha lusifa mtoto wa ibilisi kaka yake shetani, acha kuchonganisha binaadamu na kujidai wewe ni mkristo! Waislam na wakristo wakipigana utapata faida gani? Jaribu kuacha chuki
 
Na kunisilimisha huwezi, na kulisilimisha taifa hamuwezi. Mtakaa kurusha viguruneti mnavyopewa na wasomali na vikiisha mtakuja kuomba kutibiwa kwenye hospitali za kanisa, hata elimu mtakuja kubembeleza, sasa hata mikopo mmeanza kuomba kwenye benki zetu, makafiri wakubwa!

karaga bao na fikra mgando. Hicho ndo kinacho waponza kujiona mko mbele
 
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali

i guess your head is between your legs, alichosema zitto na alichosema lema havina toafauti yoyote, wote wanasema serikali ndio mlezi wa udini ikishirikiana na ccm.
 
Back
Top Bottom