Unamwongelea na kumsifu Zito kulingana na chema alichoongea ama unataka tu kuprovoke watu? Suala la Presidency nadhani hulifahamu na ndio hata anayetawala hafahamu maana ya presidency. Prensident kwangu ni katiba na sheria, na taratibu zilizopo. Kusema ni kusema tu hakumaanishi kwamba huyu atafaa ama hafai. Sisi si tulikunywa mpaka kusherehekea ushindi wa JMk, wangapi bado wako nae? Hisia zangu ni kuwa Mh. zito anatukana na ninyi wenyewe mnaoanza kumsifu na tena kuanza kumdharau. Ukiangalia ni kwa nini usitoe hoja ya kumsifu tu lakini unajilinda kwamba yatarajiwe matusi inamaana ni wewe mwenyewe umeyaandaa. Urais si mtu ni taasisi, ndilo alilowaambia Maximo kwenye mpira kuwa mpira wenu hautafika kwa kuwa mmekazania majina, ameondoka maximo mko wapi?. Nyinyi mmekalia majina, majina na majina.