Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

Zito kasema ukweli kwa mfano huyu mwenyekiti wa wazazi wa CCM taifa amekuwa anatoa matamshi ya hatari sana jukwaani kuhusu CDM kuwa ni chama cha kikabila na cha kidini, mimi binafsi kama mwana CCM sikubaliani na viongozi wa hulka za hatari kama hawa kwani ndizo zinazoleta chuki na kujenga matabaka ndani ya nchi yetu. Nawasihi viongozi wa kisiasa waache tabia na kauli zinazochochea chuki kwa watanzania bila sababu. Na tuwakatae viongozi wa sampuli hii.

Mungu akubari na akupe hekima na busara uendele kuwaelimisha watanzania wenzetu waofikiri watoboa JAHAZI tulopanda wote WAO HAWATOZAMA kwa tamaa ya mali na madaraka
 
Hili ringi lenye Yesu limependeza hapa kama huyu mtoa maoni.Sijui huyu ni mlokole.sasa mlokole kama unataka Redio Imani ifungiwe maisha jee Zike zenu za msalaba akina Tumaini ziendelee maisha.
Hatua ilikuwa ni kuifungia radio iman kifungo cha milele na sio miezi kadhaa tu, dhambi yao haivumiliki lakini kwa uislamu wa zitto hawezi kutamka hilo
 
Serikali ijayo watu wenye sifa kama za Lowassa ndio anaweza kuimudu.....
 
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali

Mimi sijui kwanini Watanzania tunapenda sana kusifia hata yale yaliyosemwa jana na hayakufanyiwa kazi halafu yakarudiwa na mtu mwingine kwa mafumbo na sisi tunasema huyu mtu ana busara. Vichocheo na vyanzo vya udini nchini vimetolewa na watu wengi tena wengine supplementing their remarks with concrete data lakini waliokuwa wanapaswa kufanyia kazi hayo waliziba masikio yao. Hawa ni serikali na chama tawala-CCM. Ndio wenye dhamana na walikasimiwa madaraka na wananchi wote kwa kipindi chote wawapo madarakani kuahakikisha umoja na mshikamno unadumishwa na kila dalili za kuvunja umoja huo zinazibwa. Kwa mfano kwanini serikali isitoe tamko kupitia magazetini kama wafanyavyo wanapokuwa wanataka umma uelewe jambo kuhusu MOU ya Makanisa na Serikali katika nyanja za afya na elimu? Watoe ukweli ulivyo ili Waislamu waelewe na wasione kama wanaonewa au wanabaguliwa. Hili la MOU limekuwa ni chanzo cha malalamiko na makanisa yameiomba serikali ilipatie maelezo lakini kimya. ZZK alipaswa ili alieleze kama analijua au akalifanyie kazi.

Kuwatuhumu wanasiasa kwa ujumla haisaidii bila kutaja mifano na mahali wanapochochea udini. Ni afadhali mwandishi anayejitambulisha kama MSOMAJI WA RAIA MWEMA. Michango yake imekuwa ni documentary reviews kwa wanaofanya utafiti pamoja na Joseph Mihangwa. Ukiacha udhaifu wao kama binadamu wamekuwa wanatoa takwimu zilizofanyiwa utafiti chokonozi.

ZZK angekuwa ame emulate any of the above angestahili kupewa pongezi lakini his remarks leave much questions
 
Hata nukuu mnaiba za biblia! Hivi kitabu chenu kina shida gani hata hamkitumii? Ndio maana watoto wenu wanawapa watoto wetu wakikojolee, sababu ni kwamba mmekalia kutumia biblia kukashifu ukristu kisha hapa unataka kunukuu kutafuta amani! Huyo Nivea wala mi simjui, ninamjua Yesu aliyenikomboa na kunifanya nisiwe mnafiki. Nimemsema Zitto kwa sababu ni muislamu na awaambie waislamu wenzake. Mkosamali akiwasema si mtampiga mawe. Makafiri wakubwa nyie!

Msomaji yeyote anaesoma ulichokiandika anajua nani kafiri kati yangu na ww.Matusi na kashfa ndio kimbilio la mkosa hoja na mtu asiyejijua hata yy mwenyewe.Chuki yako haikupi nafasi ya kufikiri japo kigogo.Ukristu wangu unaniambia nn ktk suala kama hili.Kwani mfuasi wa Belzebul ana muda wa kumpendeza Mungu?Ungekua unaijua Biblia yako na kuiheshimu usingethubutu kunitukana.Bahati mbaya sana kwako,sikio la kufa halisijii dawa.
 
Last edited by a moderator:
Hatua ilikuwa ni kuifungia radio iman kifungo cha milele na sio miezi kadhaa tu, dhambi yao haivumiliki lakini kwa uislamu wa zitto hawezi kutamka hilo

Ile radio imeichafua jamii yetu kupita kawaida.
 
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali

mwisho wa siku utakuja kukubali kua Lema pia ni KAMANDA.............By da way ushakubali kua CHADEMA ni moto wa kuotea mbali,,,,, usimwone ivo KABWE...kalelewa vema na Chadema.
 
zito kasema ukweli kwa mfano huyu mwenyekiti wa wazazi wa ccm taifa amekuwa anatoa matamshi ya hatari sana jukwaani kuhusu cdm kuwa ni chama cha kikabila na cha kidini, mimi binafsi kama mwana ccm sikubaliani na viongozi wa hulka za hatari kama hawa kwani ndizo zinazoleta chuki na kujenga matabaka ndani ya nchi yetu. Nawasihi viongozi wa kisiasa waache tabia na kauli zinazochochea chuki kwa watanzania bila sababu. Na tuwakatae viongozi wa sampuli hii.

karibu chadema kwa watu wanaofahamu wanachokifanya.................
 
Hata nukuu mnaiba za biblia! Hivi kitabu chenu kina shida gani hata hamkitumii? Ndio maana watoto wenu wanawapa watoto wetu wakikojolee, sababu ni kwamba mmekalia kutumia biblia kukashifu ukristu kisha hapa unataka kunukuu kutafuta amani! Huyo Nivea wala mi simjui, ninamjua Yesu aliyenikomboa na kunifanya nisiwe mnafiki. Nimemsema Zitto kwa sababu ni muislamu na awaambie waislamu wenzake. Mkosamali akiwasema si mtampiga mawe. Makafiri wakubwa nyie!

u need to come down son.... usije chafua hali ya hewa humu ndani
 
Alichoongea Zito la maana jana kama ulisikiliza kwa makini na kutafakari ni kwamba hizi lawama kila mmoja anastahi kwani wakati CUF inaitwa ya waislamu hakuna chama kilichokemea na hata Chadema wanavyoambiwa kuwa cha kikristo hakuna chama kinakemea hilo. Alipotoka hapo akaanzwa ongozwa na hisia za udini bila mizania akitetea upande wake angalia alivyoelezea tukio la Mwembe chai askari kuingia na viatu msikitini na mengineyo na hakuishia hapo aliilaumu serikali kuanzisha chombo cha Bakwata kwa manufaa yake kwa lugha ingine alirudi kusema serikali inawakandamiza waislamu na kutetea wakristo kwani alitoa mfano wakristo wanachombo chao walichoanzisha bila kuingiliwa na serikali.Ukifuatili na kuchambua aliosema utaona nae mdini tena sana kwa kutetea upande 1 ambao ni wake sema alitumia lugha ya kistaarabu wenye uvivu wa kufikiri au wadini wenzake watamsifia.
 
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali
Hata muongee matusi gani masisiem lazima mng'ooke,kwa taarifa yenu tunataka kamanda jasiri kama Mh.Lema na sio kilaza kama lukuvi na kampani yake....
 
Akiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.

Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.

Kweli hili ni la kweli kabisa.

lisemwalo ni nini na wewe waja na nini. Huo ni ulemavu wa akili,
 
Lakini mimi nashindwa kuelewa serekali ya ccm kwa nini hawatumii akili zao kwani kazi imekuwa kuwahadaa rai tu. Sheria ya usajili ya vyama vya siasa inasema: ili chama cha siasa kisakiliwe nilazima
1. Kisiwe cha ukabila au kanda
2. Kisiwe cha udini/dini.

Sasa swali langu kwa jk na ccm, kama wamegundua na ushahidi wanao mbona serekali isivifutie usajili CUF na CDM??? Wakati sheria zipo wazi na mamlaka zipo pia?

Mwigulu ametamka wazi wazi, jk ametamka, Nape na yeye, hata Zemarkopolo na sumu.

Serekali inasubiri nini tena kuvifuta hivi vyama?

Au kwanini sasa CUF/CDM wasiwafungulie mashtaka??
 
Akiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.

Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.

Kweli hili ni la kweli kabisa.

Huu udini wanao sema uko kwa wanasiasa pekee, huku mtaani wala hatuna udini, kristo kwa muislam wanashirikiana vizuri tu, kwa kusema sema hii topic ya udini kwa maono yangu naona ndo uchochezi kwa raia, maana kila kukicha udini, nawasihi wanasiasa wafunge hii topic ya kuongelea mambo ya dini, kwangu mimi naona ndo wanazidi kuchochea
 
Ndoa ya BAKWATA NA SERIKALI IVUNJWE ILI WAISLAM TUUNDE CHOMBO CHETU HURU AMBACHO KITAKUWA NA BARAKA KUTOKA KWA WAISLAM WOTE KULIKO HII BAKWATA AMBAYO NI KAMA TAASISI YA CCM. Kwahl nampongeza Zitto.

Mkuu ndoa wafunge Bakwata na Serikali lakini wanaomia na kuuawa ni wakristo kuna nini hapo?
 
Achana na wakristu! sisi tuna njia zetu za kupashana habari na sio kufuata ushauri wa kafiri kama wewe. Wasemeni waislamu wenzenu waachane na ugaidi. Acheni kuogopana. Kama unaogopa kuchapwa bakora na muislamu mwenzako kisa kumwambia ukweli hapa duniani, subiri bakora za moto kafiri mkubwa we!

Ikiwa mm ni kafiri basi neno kafiri halina maana kabisa.Unajivua nguo,unajiaibisha.Endelea kugaagaa na upwa wa JF.Ustaarabu ni asili,na katu haupati mtwana.Hii ndiyo asili yenu.Kujiona "nyie" tu ndo wa peponi.Si unafundishwa kuwapenda adui zako.Unafuata mafundisho ya nani kuniita mm kafiri?Yesu(amani iwe juu yake) hakumwita yeyote kafiri.Mbona waniita kafiri unamfuata nani?Kwa hiyo huna haki ya kujiita mkristu maana humfuati Yesu(amani iwe juu yake)Nakuombea Mwenyezi Akupe hekima na busara usimame ktk ule Uzima wa milele ambao ndio lengo la wacha Mungu wote.
 
Achana na wakristu! sisi tuna njia zetu za kupashana habari na sio kufuata ushauri wa kafiri kama wewe. Wasemeni waislamu wenzenu waachane na ugaidi. Acheni kuogopana. Kama unaogopa kuchapwa bakora na muislamu mwenzako kisa kumwambia ukweli hapa duniani, subiri bakora za moto kafiri mkubwa we!

Msomaji yeyote anaesoma ulichokiandika anajua nani kafiri kati yangu na ww.Matusi na kashfa ndio kimbilio la mkosa hoja na mtu asiyejijua hata yy mwenyewe.Chuki yako haikupi nafasi ya kufikiri japo kigogo.Ukristu wangu unaniambia nn ktk suala kama hili.Kwani mfuasi wa Belzebul ana muda wa kumpendeza Mungu?Ungekua unaijua Biblia yako na kuiheshimu usingethubutu kunitukana.Bahati mbaya sana kwako,sikio la kufa halisijii dawa.

Wakuu mnazidi kupoteza uelekeo wa hii thread. acheni basi.
 
Wakuu mnazidi kupoteza uelekeo wa hii thread. acheni basi.
Pamoja mkuu.Naheshimu ushauri wako mkuu.Mwenyezi Atujaalie tupendane,Atuepushie kila shari,Atuongeza ktk kweli yote,Atuondolee chuki,ubinafsi na hasira ili tuwe kweli wana wa Mungu wa Kweli na wa pekee.Kwa Wakristu,tumsifu Yesu Kristu na kwa Waislam assalam alaykum.Hii iwe salamu yetu, tuondoe hii kansa changa inayolinyemelea taifa letu.
 
[

That is exactly how wise man is.
Pamoja sana mkuu.
 
Back
Top Bottom