Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,045
Tundu lisu hana uwezo wa kuongelea mambo ya kitaalam kama hayo! Tundu Lisu ni mropokwaji tu. Kwa hiyo utasubiri sana.
Huyo ana utaalamu gani. Asiutumie miaka yote yupo bungeni. Mnachekesha sana.
Tundu lisu hana uwezo wa kuongelea mambo ya kitaalam kama hayo! Tundu Lisu ni mropokwaji tu. Kwa hiyo utasubiri sana.
kwani uliachaga kale katabia kako ka kishoga au bado unaendelea nako?!Mnafiki @work
Na wewe ni kibaraka wa mhalifu
Ww ndio kibaraka wa mbowe unaekariri
Mie huwa napata tabu ninaposoma post za washabiki wa cdm. Kwani hukuti mtu angalau anayeandika au kujibu hoja. Mpaka mnatia huruma. Zitto kisha wachanganya na mkizubaa atawasambaratisha. Anapenyeza sera zenye akili kwa wananchi. ACT-Wazalendo ni chama kinachoongozwa na wasomi wana siasa sio kama cdm inaongozwa na masera. Ebu uchunguze uongozi kisha uone uwezo wao wa kufanya siasa.
Yuda ashatuona sie wajinga

Njaa zitawaua ninyi jiangalieni. Acheni kutumika
Kibaraka wa mihemko at work
Tundu lisu hana uwezo wa kuongelea mambo ya kitaalam kama hayo! Tundu Lisu ni mropokwaji tu. Kwa hiyo utasubiri sana.
Mnafiki @work
Njaa zitawaua ninyi jiangalieni. Acheni kutumika
Una njaa dogo, acha mahaba nenda kamanage business zakoMm sina njaaa kijana na wala sitegemei siasa za majungu i manage my own business ambayo ww huwez kunusa kwangu, sijaajiriwa mm sio mtumwa n at last sijawahi kuonana hata na zitto lkn admire the guy ktk politics na siwez kuona mtu anaonewa bila sababu wakat hastahili kufanyiwa hivyo. Shame on u
Una njaa dogo, acha mahaba nenda kamanage business zako
Haya mkuu business njemaMind ur own business achana na mm
Haka kajamaa tumekafujuza kameanzisha chama chake bado kanatusumbua tu. Dawa ni kumzomea kwenye mikutano yake ili asisikilizwe maana ukikasikiliza tu, ubavicha unakutoka.
Mi nasubiri tamko la Tundu Lisu huyu Zitto ni serekali hiyohiyo