Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Sijawahi kumuamini zitto asilani sitomuamini kiyama
Nafsi inamkubali...sema msimamo wa chama ndio tatizo.
Tundu lisu hana uwezo wa kuongelea mambo ya kitaalam kama hayo! Tundu Lisu ni mropokwaji tu. Kwa hiyo utasubiri sana.
Sijawahi kumuamini zitto asilani sitomuamini kiyama
Kama wamtaka kafulila kwani zitto yuko ukawa mbn unakuwa nazi ww hvi shule umeenda kufanya nn sera ya uchumi(distribution of resources) na sheria wapi kwa wapi.kama humtaki zitto ni ww wapo wanaomtaka ndio maana wananchi wa mtwaravleo wamemkubali.
Unapotunnga sera lazima uzijue sheria ambazo hiyo sera inaweza kukingamana nazo hapohapo lazima kufikiria sheria ya kuiwezesha sera kufanya kazi .hivyo sera kama ya habari ikibadilika na sheria inabadilika lakini sera isibadilike ikakiuka katiba ambayo ni sheria mama. Ndio maana humwelewi Tundu Lisu.Hutamwelewa kabisa.Mi nafuatilia hoja sio mtu wa kuambiwa zitto anaakili kuliko mtu yeyote hayo waambie watoto wa sekondari na huko fb
Nafsi inamkubali...sema msimamo wa chama ndio tatizo.
Naona umeamua ubishi lkn ktk sector hyo zzk is another level sisi tunaskiliza hoja na kuelewa km andiko la ztto linavolijieleza sio makelele ya lissu wenu
mtu huyu alifikiri watanzania ni wajinga nadhani ameonaSijawahi kumuamini zitto asilani sitomuamini kiyama