Zitto Kabwe: Serikali inachekesha sana!

Zitto Kabwe: Serikali inachekesha sana!

Erick Please wala usiende huko sio muundo wa Constitution unaounda mfumo bora wa ugawaji keki ya taifa. Kuwa Federal au Unitary haina maana yoyote ikiwa nchi zote duniani hazina mfumo mmoja na zimeweza kujenga mfumo bora wa ugawaji keki ya Taifa. Ni nchi za Kiafrika tu ndiko tunaendeshwa na ulafi kama mifisi bado tunagombania hadi mifupa.
Mkuu politics has myriad of assumption given the circumstances ambazo zina shape the national or local politics. Siasa tu za regional integration kama EU zina impact kubwa sana jinsi mataifa yanavyotunga social policy zao kikubwa ni uwezo wa budget and monitoring mechanism of the policy ambazo nchi inawezaa jiamulia itatekeleza vipi.

Mfano EU ikisema afya ni haki, huduma ya msingi na lazima iwe 'client-centred' ina maana social social policy zote za nchi wanachama lazima zilenge in terms of 'client-centred' na wawekee sheria juu ya kuhakikisha hilo linatendeka kikubwa ni directives mlizo kubaliana zitoke central.

Na siasa zote ziko hivyo central directives determine the rule of local, regional, national and international politics kwa hivyo katiba ya unitary na federal haziko sawa hivyo lazima kuwe na tofauti kubwa ya siasa za Mtwara, Tanzania na Texas, USA.

Labda nikuulize hivi kwa nini wewe una mshahara mzuri kuliko wafanyakazi wengine? na kwa nini watu wote tusiwe na mshahara mmoja,sawa ili kutokuwa na ubaguz unaozungumzia. Ipo mikoa leo watumishi wa umma kama walimu/madaktari hawajalipwa mishahara wakati mikoa mingine wamelipwa!. Kuna usawa gani hapa unaozungumzia au dicrimination unayozungumzia inatokana na Mikoa tu au?
Unaweka vitu viwili tofauti kwa pamoja kipimo cha mshahara wa mtu sehemu nyingi inategemea how easily the candidate can be replaced, time to gain necessary skills and value of the position to the organization mwishowe uwezo kima wanachoweza lipa bila kupata hasara na kile unachozalisha.

Public government sector pamoja na hayo ya juu pia wataangalia na shared value of the particular society in setting minimum wages; lakini kuchelewa kwa mishahara akuingiliani ni kima cha mishahara setted. Sababu za kuchelewa zinaweza kuwa vast; including government shortfall, payment procedures etcetera to with operation procedures (bureaucracy), budgeting issues and necessary organization known challenges.

Lakini kamwe kuchelewa kwa mishahara has nothing to do with discrimination nor intended bias especially kwa muundo wa taifa letu, kwanza sijawahi sikia ata hao wafanyakazi wakilalamikia ubaguzi huo na nimesikia malalamiko yao mengi.

Hivi mtu nikisema kuwdo a na kijakazi anayefanya kazi nzito za nyumbani kwa malipo hafifu ni UTUMWA! Inakuwa namtetea Kijakazi au nataka wenye vijakazi wapungukiwe pato lao? Sasa huyu Kijakazi achangamkie fursa zipi ikiwa humuwezeshi? Kesho akianza kukuibia unasema mwizi wakati kwake yeye hizi ndizo fursa zilizokuwepo!. Hivi nikisema Madaktari wetu wanastahili mshahara zaidi ina maana nafanya Ubaguzi ama tunatakiwa kutazama demand/supply na kazi yao kuwa kipimo cha kustahili..
Malipo yako determined na income generated as well supply of labour, ndio maana huko juu nikasema kuna social value pia zinachangia how society view rights and people needs all together na hata hilo lazima lizangitie income.

Nikisikia mengi nae anamlipa dada wa ndani helfu 50 kwa mwezi hii itakuwa sio sawa; lakini kwa uswazi ni vitu vya kawaida watu wengi sana Tanzania wanalipa madada wa ndani kutokana na uwezo wao na isitoshe kuna privileges wanazopata zenye ubora kutokana na uwezo wa mwajiri. Sielewi hoja yako hapa inasimamia nini zaidi isitoshe serikari najua ilikuwa inaanda au kuna sheria ya minimum wage ya wadada wa ndani.

Kifupi mkuu wangu nchi za magharibi walichotushinda sisi ni kuweza kuweka mfumo bora wa ugawaji keki ya Taifa na kila mahala panapokuwa na mfumo bora basi wananchi wake huwa na maisha bora zaidi na tumeona kote nhci za magharibi bila kujali wana muundo gani wa seirkali wamefanikiwa kugawama keki hii kwa kuweka fursa zaidi za uzalishaji sehemu zilizokuwa na maliasili.
Mkuu hili swala ni pana na refu kwa sie tusiopenda kuandika sana kwakukwepa kutoa maelezo marefu ndio maana pia atuji pia kwenye lile jukwaa lenu. Hila siasa za magharibi iwe mfumo wowote ni value principles na moral za jamii hiyo zilipofikia ndio msukumo at any point wa sera(ukitaka kujua ni zipi angalia what sectoral pressure groups are advocating na kuchanganua economically given the national resources and spending priorities of policy area), muundo wake taifa lenyewe na sera ni kati ya income distribution and creating opportunities ambazo nyingi sasa zipo central right or central kutokana na uelewa wa jamii kwenye maamuzi ya siasa ambazo zime evolve over time (somo refu subiri kitabu changu inshallah kwa maelezo zaidi).

Na hata wao wanajua umuhimu wa social cohesion na universal policies ndio maana nikasema katiba na politics zingine pia zinachagia jinsi local, national and regional policies are devised. Na atuwezi sisi fanya kama wao kwa sababu kwanza challenge zetu bado kubwa sana kufikiria anything less of national levels policies for unit purposes (again somo lingine refu)

Ngoja nikuguse nyumbani...Jiulize hivi unafikiri kuwepo Uwanja wa Ndege Kilimanjaro haikusaidia zaidi uwekezaji katika Utalii na makuzi ya mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro!. was it a good Idea or bad? ikiwa mikoa mingine ilikuw ahaina hata kiwanja cha ndege ndogo..Kwa nini ilihitajika ku invest katika kiwanja kile. Je kama serikali isingejenga Uwanja ule unadhani hali ingekuwaje..
Ndio maana nikakwambia kuwe na supporting industry sasa asilimia kubwa ya watalii wanaenda kilimanjaro na arusha ukajenge uwanja mtwara hao watalii utawaingiza vipi huko kunako husika. Isitoshe ata huo uwanja wa ndege ulijengwa strategically ku-serve both regions kutokana na uwezo wa serikari na vipaumbele vya muda huo maamuzi ya ku-invest ayafanyiki kwa mapenzi but returns and importance of particular investment.

Sasa hii hoja yako inahusiana vipi na gas ya Mtwara kuachiwa mapato kwani Arusha apart from spending activities za watalii wanapewa hela za visa? Ndio maana bomba la gesi pia si limeanzia mtwara na huyo Dongate kwa nini asijenge kiwanja bukoba ajenge Mtwara; mkuu vitu vingine ni just commonsense tu.

Sasa iweje Mtwara wawe na gas lakini bandari ya kusafirisha gas hiyo ijengwe Dar! makao makuu ya shirika la gas hiyo liwe Dar, Account zake ziwe Dar, mzunguko wa fedha zote za mauzo ya Gas ya Mtwara yanafanyika Dar badala ya Mtwara. Na kosa kubwa mnalofanya vyama vya siasa Ni kuzungumzia jarida (heading) pasipo kutazama ndani kuna nini. Kuna jamaa mmoja jana kanambia hili ya kwamba sisi hamwe hatuzungumzii Content wala Context siku zote tunabishania Process na huishia. Hii ni kweli kabisa na naanza kuelewa ama kuwasoma vizuri zaidi Wadanganyika.
Business decisions have to consider a varietyof reason mimi sikukubaliana hata wale wasauzi walioamua kufunga virago kisa kulazimishwa kutumia bidhaa zinazolimwa hapa it does not make business na uwezi kuangalia strategy za watu people bear cost and profit margins si kingine kwa mbinu zao.

Sasa gesi kuwa Tanzania aina maana hao wazungu watataka kuishi Mtwara under the current investment you only deal with the immediate facts sio vitu ambavyo havipo, kuna swala la local human resource capability, investment kujenga kiwanja kipya na cost of infrastructure (value chain analysis or other forms of investment appraisals) ni hivi kuna vitu vingi sana watu wanazingatia zaidi ya mapenzi ya watu au sehemu kwenye kufanya maamuzi ya kiuchumi au kibiashara. Unless you can apply the cost of everything kwenye argument zako kwa sasa sanasana una-promote uchochezi kama huyo Zitto bila ya kuwa na economic arguments.

Hizo banki account ndio zingewawezesha wananchi wa Mtwara kuchukua mikopo wakafungua biashara, au hata wewe kuhamia Mtwara. Government expenditure, upatikanaji wa mitaji, matumizi na gharama za uzalishaji na huduma zinavyoongezeka ndivyo maendeleo ya wananchi yanavyozidi kupanda.
kwasababu kwa sasa Mtwara hakuna benki za mikopo au vipi mbona sielewi hoja yako, unataka serikari iwekeze vipi Mtwara kwa sasa unajuaje as things develop in the future kutokana na uwezo wa serikari aitawekeza Mtwara zaidi; leo serikari aina uwezo wa kufanya offshore exploration wewe unataka wawekeze Mtwara aisee.

Mkuu Mkandara wacha nikuache binafsi sipendi mijadala hii kwa sababu ina involve alot of righting something which I despise at times.
 
Eric Cartman,

Tunachozungumzia hapa ni swala la mafuta na Policies za chama cha CCM kuhusiana mgao wa keki, hizi habari nyingine tuachane nazo kwanza.Maswala ya EU yanapanua tu wigo la utekelezaji ikiwa wataamua AFYA ni haki. Hii haiondoi ukweli kwamba sheria ni moja. Kama Uingereza imeamua pekee watatunga policies zao wao na ikikubaliwa EU kinachobadilika hapo ni upana wa mipaka tu (wigo) kwa sheira hiyo kutumika. Kama vile tukikubali ndoa ya Mashoga (Lol) katika Bunge la JMT basi inalazimika sheria hiyo itumike na Zanzibar. na zipo sheria zinazoweza tumika Bara zisitumike Zanzibar au kinyume, vivyo hivyo EU na nchi zenye muungano.

Swala la Ubaguzi ujmelileta wewe, na sidhani kama hii ni Policy mahala popote kwa saabu nchi za magharibi wanatumia mtindo wa kunufaisha majimbo yenye maliasili hivyo kwa maneno yako ya mwanzo unadai hiyo ni dicrimination kwa sababu sisi ni Unitary Country. ndio maana nikakukatalia hoja yako kuwa Unitary haifanyi Policies ziwe mgawane sawa kwa sawa. Na ndio maana nikaweka mfano wa mishahara mbona haiko sawa!

Sikusema Mtwara wajengewe Uwanja wa ndege ila nachosema ili Mtwara wafaidike na kuwepo mafuta, serikali inaweza jenga bandari kama ilivyojengwa uwanja wa ndege Kili italeta ajira. Serikali yao ya halmashauri pia waweze kukidhi mahitaji yao katika kuboresha wazingira yao kiuchumi. Kwa nini swala la maendeleo ya Mtwara wapangwe IKULU? Hizi Halmashauri zina kazi gani? kukusanya ushuru na kufagia mabarabara ya vumbi! na kwa nini Halmashauri zisiwe na mfuko wake katika kujiendeleza haswa wakiwa na vitu kama mafuta wasubiri mgao usiokuwa wa haki kutoka serikali kuu. Haya ndio ya Shinyanga wana Dhahabu lakini badrabara zote mbovu, mkoa hauna maji, umeme wa kukamatia halafu unategema kutakuwepo na uzalishaji wa ajira!..

Sisi wengine chale hutucheza tunapoona mizengwe ya serikali hii. Wee fikiria Mtwara yenye Gas na Mafuta, leo wamekuja mpa Contract tajiri mkubwa Afrika ambaye Utajiri wake umetokana na vitalu vya mafuta na gas.. Halafu tajiri huyu anapewa contract ya kujenga bandari yake binafsi. Mkuu 2+2 kamwe haiwezi kuwa 22, mwerevu atang'amua. Madudu kama haya ndio yanatakiwa kufanyiwa kazi kwa makini zaidi na kuhakikisha wananchi wanafaidika na maliasili hizi.

Kama huelewi kwa nini mzungunguko wa fedha ama pato unaweza kujenga uwekezaji basi itakuwa kazi mpya kuzungumzia hili kwa sababu mkuu wangu hiyo fedha uloiweka benki kama akiba haikai katika sanduku bali hukopeshwa watu wengine wakaifanya mtaji wao. mzunguko huo ndio unaoendeleza watu na mikoa. Kama pato la Gas linakwenda banki za nje utanategemea wana Mtwara wataweza vipi kupata mikopo.
 
Tunachozungumzia hapa ni swala la mafuta na Policies za chama cha CCM kuhusiana mgao wa keki, hizi habari nyingine tuachane nazo kwanza.Maswala ya EU yanapanua tu wigo la utekelezaji ikiwa wataamua AFYA ni haki. Hii haiondoi ukweli kwamba sheria ni moja. Kama Uingereza imeamua pekee watatunga policies zao wao na ikikubaliwa EU kinachobadilika hapo ni upana wa mipaka tu (wigo) kwa sheira hiyo kutumika. Kama vile tukikubali ndoa ya Mashoga (Lol) katika Bunge la JMT basi inalazimika sheria hiyo itumike na Zanzibar. na zipo sheria zinazoweza tumika Bara zisitumike Zanzibar au kinyume, vivyo hivyo EU na nchi zenye muungano.
Mkuu sasa unavyosema social democratic values na mgao wa keki ya taifa unadhani ni nini? Sera bora ya afya inachukua hela chungumzima matter of fact kwa nchi kama uingereza 30% of annual budget inaishia huko na chanzo kikubwa cha government income ni taxes, ukienda kushoto zaidi kama Scandinavia kwenye better health policies much is allocated in the sector (at least wao wana utajiri wa mafuta na gesi). Kwa hivyo kugawana keki sio lazima uone barabara tu. All social policies cost money sasa inategemea vipaembele vya serikari ni sehemu gani na huko pia ndio namna ku share keki ya taifa na ndio mantiki ya social democratic universal income distribution policies.

Halafu bado unachanganya tofauti ya federal na unitary; complication za federal states ni kwamba kuna devolved matters ambazo nchi nyingi zimeingia kwenye haya mataifa yakiwa na value zake na misimamo yake na kukubali yale ambayo wako tayari kupewa central directives kwa hivyo EU au federal laws zikipita lazima kila state zi-abide to it including ushoga thats how the cookies crumbles ata kama those values are not popular in some states. On a serious note hivi vitu wao awafanyi kwa makusudi ispokuwa their societies have past those tolerate levels for majority due to perception and understanding (educations plays a role) na kuna hoja luluki za ethical issues and rights sasa sijui kwanini wa afrika mko obssesed na mambo ya ushoga for some reasons (besides this has never been the subject of my interest through malezi yangu kwa hivyo ntakuwachia wewe); lakini ethical issues ni nyingi kama the right to kill your self etc.

Sasa kama umekubaliana na regional policies kwenye directives za EU au federal state ikisema hiki ni sheria lazima ui implement. Zanzibar navyojua mimi imekubaliana na bara kwenye 15 devolved matters, utamaduni wa kujiamulia na kutunza uzanzibari aupo kisheria za muungano kwa hivyo si kila kinachtungwa bara kinaweza kuwa sheria ZnZ.

Swala la Ubaguzi ujmelileta wewe, na sidhani kama hii ni Policy mahala popote kwa saabu nchi za magharibi wanatumia mtindo wa kunufaisha majimbo yenye maliasili hivyo kwa maneno yako ya mwanzo unadai hiyo ni dicrimination kwa sababu sisi ni Unitary Country. ndio maana nikakukatalia hoja yako kuwa Unitary haifanyi Policies ziwe mgawane sawa kwa sawa. Na ndio maana nikaweka mfano wa mishahara mbona haiko sawa!
Uwe na kumbukumbu na unacho andika sio mimi niliesema upendeleo wa malipo za sehemu ni wewe ndio uliolileta, Isitoshe ebu nitajie nchi yoyote ya magharibi ambapo mineral resources policy inayonufaisha jimbo na ipo kwenye unitary constitution au sehemu yeyote ya federal constitution ambapo resources zimeelezwa ni mali ya federal state halafu kukawa na special regional favours kwa sababu tu ya kuwa na resources? Hapa si itaji kujua ukweli wa hoja yako kujua ni impossible especially on unitary states.

Sikusema Mtwara wajengewe Uwanja wa ndege ila nachosema ili Mtwara wafaidike na kuwepo mafuta, serikali inaweza jenga bandari kama ilivyojengwa uwanja wa ndege Kili italeta ajira. Serikali yao ya halmashauri pia waweze kukidhi mahitaji yao katika kuboresha wazingira yao kiuchumi. Kwa nini swala la maendeleo ya Mtwara wapangwe IKULU? Hizi Halmashauri zina kazi gani? kukusanya ushuru na kufagia mabarabara ya vumbi! na kwa nini Halmashauri zisiwe na mfuko wake katika kujiendeleza haswa wakiwa na vitu kama mafuta wasubiri mgao usiokuwa wa haki kutoka serikali kuu. Haya ndio ya Shinyanga wana Dhahabu lakini badrabara zote mbovu, mkoa hauna maji, umeme wa kukamatia halafu unategema kutakuwepo na uzalishaji wa ajira!..
Navyojua Mtwara kuna feasibility study ya bandari kuhusu kuunganisha nchi za kusini sasa ata kama unataka kufanya kitu na auna hela unategemea abracadabra ndio maana nilikuuliza unajuwa mipango yote ya maendeleo ya Mtwara ya muda mrefu.

Isitoshe bandari ya bagamoyo aijajengwa tu kwa kujifurahisha tu kuna strategic reasoning ya kuweza kupunguza business ya bandari ya Dar Which is not busyness friendly location wise and its capability to handling the volume it receives; kwa hivyo bandari ya bagamoyo aims to reduce the strain of dar as well the opportunity to shipping of gas resources on the naked observation.

Sasa unless wewe uje na better cost effective strategy and appraisal to accomplish both challenges sidhani kama una hoja ya msingi given the current government income position, nilikwambia awali hivi vitu avifanywi kwa kukurupuka tu they need evidence of the alternative.

Sisi wengine chale hutucheza tunapoona mizengwe ya serikali hii. Wee fikiria Mtwara yenye Gas na Mafuta, leo wamekuja mpa Contract tajiri mkubwa Afrika ambaye Utajiri wake umetokana na vitalu vya mafuta na gas.. Halafu tajiri huyu anapewa contract ya kujenga bandari yake binafsi. Mkuu 2+2 kamwe haiwezi kuwa 22, mwerevu atang'amua. Madudu kama haya ndio yanatakiwa kufanyiwa kazi kwa makini zaidi na kuhakikisha wananchi wanafaidika na maliasili hizi.
Soma kwanza sheria ya gas na mafuta iliyopitishwa kama anaweza fanya chochote cha siri na anaweza kwepa thoughted contract models au kuna mtu anaweza fanya favour tena za kuipa serikari hasara za kishamba, again tuache kufikiri vitu ambavyo havipo kiuhalisia bali tu deal na facts zilizopo ndio siasa zenyewe hizo na jinsi maamuzi yanavyofikiriwa.

Kama huelewi kwa nini mzungunguko wa fedha ama pato unaweza kujenga uwekezaji basi itakuwa kazi mpya kuzungumzia hili kwa sababu mkuu wangu hiyo fedha uloiweka benki kama akiba haikai katika sanduku bali hukopeshwa watu wengine wakaifanya mtaji wao. mzunguko huo ndio unaoendeleza watu na mikoa. Kama pato la Gas linakwenda banki za nje utanategemea wana Mtwara wataweza vipi kupata mikopo.
Pato la gesi lina baki hapahapa depending on the size of the well lakini serikari ni mnufaika wa kuanzia 50%-80% in additional to profit made taxes, terms and condition are to be reviewed once the investor has recouped his investment costs.

Kuhusu uwepo wa hela aina maana inagaiwa ovyo especially form banks evidence suggests asilimia kubwa ya vikundi vya vikoba vinavyoanzishwa na hela ya serikari ufa kutokana na poor management and business skills to pay loans. Kwa maana hiyo investment ya elimu ni muhimu kuliko chochote kwa sasa and that is a universal concern sio Mtwara that is kama unaielewa social democratic concept ya ujamaa.
 
@Eric Cartman,

Mkuu sielewi unapokwenda kwa sababu tunachozungumzia ni maelezo ya Zitto kuhusu mapungufu ya muswada wa MAPATO ya gas na Mafuta. Swala kubwa hapa ni jinsi gani sera za CCM zimechekesha inapofikia swala la MAPATO ambayo ndio msingi wa maendeleo ya nchi yetu wala sio kodi pekee hadi mapato hayo yanavyoweza ku trickle down kwa wananchi. Kumbuka maliasili hizi zinaweza kuwa curse kuwa nazo badala ya kuwanufaisha waanchi ikatokea kuwa ndio kaburi lao.

Mahala popote penye better Health care kunatokana na matumizi bora za fedha za Umma, na lazima igharimu zaidi, kinachopishana ni aidha gharama hizo zichukuliwe na serikali ama na wananchi wenyewe na siri kubwa iliyopo ni uwezo wa kugharamia aidha wananchi maskini huwezi kutegemea wataweza kukabiri gharama kwa sababu Utajiri wa nchi sio lazima uwafikie wananchi walio wengi. Nigeria ni tajiri pengine nchi tajiri kuliko zote Afrika lakini standard ya maisha ya watu wake inaweza kuwa chini ya nchi kama Mauritius ambao hawana mafuta. Kwa hiyo siuo tu swala la health kuwa right au privilege inategemea na uwezo wa watu na mazingira yake kiuchumi.

Maswala ya Ushoga nimekujibu tu hoja yako unaotaka kuzungumzia swala la sheria za Federal na Unitary katika hoja hii mapato ya Gas na Mafuta ambapo nimekwambia hata nchi za Unitary hutunga sheria kwa kutazama maslahi ya wananchi wake na mara zote sehemu zilizojaaliwa mafuta au gas hunufaika na uwekezaji huo. haijalishi ukubwa wa nchi wala mipaka sheira inawekwa kwa lengo la kuhakikisha pato la gas na mafuta linawanufaisha mwananchi na ili kuondoa mizozo na kero za mafuta sheria hujieleza wazi sehemu zenye utajiri wa aina yoyote hupewa ruzuku mabli kabisa na kodi za Kitaifa.

Ukienda Libya, Norway, Amerika au Canada swala la Mafuta na Gas hutungiwa sheria na Federal Government haijalishi kuwa serikali hiyo ni Unitary au Federal kwa sababu tofauti baina yao ni mgawanyo wa majukumu (power) katika majimbo na utekelezaji wa shughuli wa serikali hizo. Kwa hiyo sheria ya mapato ya gas na mafuta inaweza kuwa sawa katika aina serikali yoyote. Kwa hiyo Federal Government inapotunga sheria ya mapato inahusu nchi nzima, Leo Alberta wana mafuta, kesho yakivumbuliwa Quebec au Nova Scotia sheria itakayo tumika ni ile ile inayotumika Alberta.

Swala la Muungano wetu kusema kweli tuliache kama lilivyo maana ni jadala mwingine mimi nilikupa tu mfano wa mgawanyo wa mamlaka ya kiutawala kutokana na kulinda kile walichonacho iwe serikali ya Unitary au Federal. Binafsi sikubaliani na muundo tulokuwa nao sasa hivi wala sikubaliani na Muundo ulopendekezwa ktk rasimu ya Warioba, kwa hiyo tuachane nayo maana ni mjadala mwingine mrefu sana.

Swala la Ubaguzi, Mkuu sio wewe ulozungumzia haya post yako ya #114 nami nikakujibu? kumbukumbu gani nilisoma miye mwanzo kabkla ya post yako hiyo. Nimekusoma vizuri na ulichoashiria ni kwamba Zitto analeta siasa za Ubaguzi na ukaandika haya:- Unitary states do not discriminate all they do is foster regional advantages gesi inakuja wananchi wa sehemu hizo automatic wana fursa za kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazo compliment uzalishaji wa gesi na huduma zake.

Ulichoshindwa kuelewa ni kwamba kuwezeshwa wananchi wa Mtwara haina maana pato lote la Gas na mafuta litapewa Mtwara isipokuwa Mtwara kama mkoa unapewa (ruzuku) juu ya pato la kodi katika matumizi ya serikali na halmashauri zake wakati huo huo Kitaifa mikoa yote ikifaidika Corporate tax za shirika hilo, kodi na ushuru wa jumla katika matumizi ya shrika hilo, mishahara nakadhalika. hakuna mtu alosema fedha hizi zote wapewe Mtwara isipokuwa (kwa maoni yangu) Mkoa wa Mtwara lazima unufaike na Royalties ambazo viongozi wetu wamezifanya ni mchango wa Pato la taifa huku wakichukua 10% kufikia mikataba mibovu.

Serikali yetu bado inatumia mfumo wa chama kimoja ambao bado serikali kuu inangangania mamlaka yote ili wao ndio wawe na jukumu la kusimamia maendeleo ya nchi nzima. Nsdio maana tuna mawaziri na manaibu, majimbo yanazidi kukatwa kinachoongezeka ni hesabu kubwa ya wafanyakazi (serikali Kubwa) badala ya serikali hiyo kugawa baadhi ya mamlaka hayo kwenye mikoa ili utekelezaji wake uwe rahisi na pasipo gharama kubwa za kuhamisha viongozi na wafanyakazi.

Kupatikana na kwa gas Mtwara kunawasaidia wananchi wote kuchangamkie fursa hizo, unaweza kwenda ajiriwa huko kutokana na ujuzi na elimu yako, hakuna Mpaka unaokuzuia mkazi wa mwanza au Mbeya kwenda tafuta ajira Mtwara, Kisha fursa zilizopo ni kwa watu wote. Unaweza ufungue duka la kusambaza na kuuza gas huko Mbeya (kwenye soko kubwa wakati unaishi Songea, Aidha ukanunua Truck la kubeba Gas ili usafirishe kwenda Kongo ambako umepata soko. Kwa hiyo hakuna mtu anayesema zitungwe sheria kuwanufaisha wakazi wa Mtwara tu ama anayezungumzia wananchi kungine sio ruksa kuchangamkia fursa hizi.

Royalty:- Royalty is a share of the product (royalty-in-kind) or profit reserved by the owner for permitting another to use the property. It is a percentage interest in the value of production from a lease that is retained and paid to the mineral rights owner.

 
Bavicha, CDM fans and members your leaders ( mbowe, lisu, Mnyika and Dr slaa) might be wrong learn to think for yourself.
 
Mkuu Mkandara

Mapato ya serikari ni mapato aijalishi yanatoka mbinguni au vyanzo vyake ni nini what counts is the total accumulation of available sources. Depending on the favoured mode of economic production kwenye taifa husika vyanzo vinaweza kuwa taxes or internal sources available zinaweza kuwa biashara za serikari, faida ya huduma inazotoa au natural resources inazomiliki much will be determined na involvement ya serikari kwenye uzalishaji wa uchumi wa nchi husika ndio kinacho amua source zake kubwa zinatokea wapi.

How much the government decide to allocate those sums subject to party views in tackling national and social challenges unaweza jenga nyumba Mtwara laki moja kwa kuuza kwa millioni 20 tu na usiuze nusu zake au unaweza jenga hospitali kubwa size ya muhimbili na ikabaki empty wodi zingine.

Kwa hivyo serikari zina angalia challeges husika na kujaribu ku-balance leo msongamano wa wagonjwa muhimbili Dar-es-salaam, serikari inaweza ona inahitaji ku-investment hospitali kubwa nyingine dar zaidi ya mtwara na ikijengwa sio kwa sababu ya upendeleo kwa sababu tu za demographic density. Provided base line services pia zinapatikana Mtwara.

You cant use how much the government spends in one areas as a means of justifying unfair income distribution watu wanaangalia challenges possessed by an area.

Mahala popote penye better Health care kunatokana na matumizi bora za fedha za Umma, na lazima igharimu zaidi, kinachopishana ni aidha gharama hizo zichukuliwe na serikali ama na wananchi wenyewe na siri kubwa iliyopo ni uwezo wa kugharamia aidha wananchi maskini huwezi kutegemea wataweza kukabiri gharama kwa sababu Utajiri wa nchi sio lazima uwafikie wananchi walio wengi. Nigeria ni tajiri pengine nchi tajiri kuliko zote Afrika lakini standard ya maisha ya watu wake inaweza kuwa chini ya nchi kama Mauritius ambao hawana mafuta. Kwa hiyo siuo tu swala la health kuwa right au privilege inategemea na uwezo wa watu na mazingira yake kiuchumi.
Nadhani somewhere kwenye thread I mentioned value ambazo taifa inasimamia na vitu gani inavipa kipaumbele hata UK could have opted for people to pay for hospital insurance ili wapate matibabu; lakini kuna swala la ambao hawana kazi wakiumwa je awana haki ya kupewa huduma za afya zenye kiwango? kwa hivyo inatafutwa mbinu nyingine ya ku-fund those services ili huduma hiyo itolewe kwa wote bila ya kubagua.

Kwa hivyo value principles (utu) kama jamii inavyo ona unachangia ni wapi serikari inaweka nguvu kwenye jamii husika na siasa zinatoa vipaumbele huko, sasa sio lazima kila jamii ione utu kwa jicho moja kuna elements nyingi sana hapa kama culture ya sehemu husika na mambo mengine (they could be shaped to through propaganda).

Hila zitto kwa culture aliyokulia nayo inaonekana kuna ka u selfish ndio sababu pekee za mtu kuweza kutaka kuona utajiri wa taifa unanufaisha zaidi kundi linaloishi huko badala ya kufikiria changamoto za tiafa zima. Hata huko wanapotoa social welfare kama demand ikizidi hili kundelea kutoa some people have to give more na mara nyingi matajiri through higher taxes au makampuni makubwa. Hiyo ndiyo dhana ya social democracy, sasa wewe unasema wazi sisi tutapendelea nyie kwa sababu mnatoa mafuta sijui gesi ndio maana nikakwambia unipe mfano wa nchi inayofanya hivyo kisera duniani; watu kama hao sio wajenzi wa taifa sana sana wanachofanya ni kujenga siasa za kibaguzi tu.

Kumbuka hata serikari zinazotoa huduma hizi zinaweza sema hii kodi tulipane mishahara minono viongozi na tuwekeane budget ya tafrija kama sisi, sijui tuchukuane kwenda kujifunza wapi badala ya kukaa na kusoma au kutuma mtaalamu mmoja arudi atoe somo kwa wote; tofauti na wenzetu ni utu wao wanaona huduma za jamii ni muhimu kuliko malimbikizo na anasa za serikari kwa hivyo swala la moral values kwa viongozi wa serikari wa Tanzania ni la mashaka na hili aliwaathiri wana Mtwara bali watanzania wote walio kwenye disadvantage kwa jinsi mapato yanavyotumiwa kwa sasa.

Ukienda Libya, Norway, Amerika au Canada swala la Mafuta na Gas hutungiwa sheria na Federal Government haijalishi kuwa serikali hiyo ni Unitary au Federal kwa sababu tofauti baina yao ni mgawanyo wa majukumu (power) katika majimbo na utekelezaji wa shughuli wa serikali hizo. Kwa hiyo sheria ya mapato ya gas na mafuta inaweza kuwa sawa katika aina serikali yoyote. Kwa hiyo Federal Government inapotunga sheria ya mapato inahusu nchi nzima, Leo Alberta wana mafuta, kesho yakivumbuliwa Quebec au Nova Scotia sheria itakayo tumika ni ile ile inayotumika Alberta.
Thanks for clarifications isipokuwa hoja ilikuwa hizo sheria zinasema sehemu husika zipendelewe kwenye makusanyo ama vipi? kama Zitto anavyo pendekeza.

Nimekusoma vizuri na ulichoashiria ni kwamba Zitto analeta siasa za Ubaguzi na ukaandika haya:- U
nitary states do not discriminate all they do is foster regional advantages gesi inakuja wananchi wa sehemu hizo automatic wana fursa za kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazo compliment uzalishaji wa gesi na huduma zake.
Wasn't it obvious jinsi gani anavyo himiza Mtwara wawachiwe sehemu ya mapato kwa sababu ya gesi kutoka huko; you know what na watu wa Dar waseme asilimia kadhaa ya kodi ibakie kwanza Dar wajiamulie kama wajengewe barabara na vitu vingine maana mapato ya kodi pia ni income ya serikari kwa mtaji huo si Dar saa hivi ingekuwa kama Jo'berg tu.

Ulichoshindwa kuelewa ni kwamba kuwezeshwa wananchi wa Mtwara haina maana pato lote la Gas na mafuta litapewa Mtwara isipokuwa Mtwara kama mkoa unapewa (ruzuku) juu ya pato la kodi katika matumizi ya serikali na halmashauri zake wakati huo huo Kitaifa mikoa yote ikifaidika Corporate tax za shirika hilo, kodi na ushuru wa jumla katika matumizi ya shrika hilo, mishahara nakadhalika.
Ukishakuwa na akili za kibaguzi inakuwa ngumu kuona unachokisema ni kiasi gani cha asilimia ya sh100 ya kodi ya watu dar kwenye ongezeko la mafuta itachangia kwenye miradi ya umeme vijijini? Sasa unataka kusema wakazi wapo happy wao kupewa umeme wa kusuasua, hospitali zisizoridhisha, maji si ya uhakika, shule si bora, ajira bado tatizo, makazi ya kuishi na huduma zingine bado ni tatizo; loe kwanini wachangie sh 100 huko sijui vijijini Mtwara kupewa huo umeme wao unawuhusu nini.

You serious need to see what your defending, mi kwakweli sina la ziada naona tutaishia kurudi pale pale tu.



 
Hivi, ukimwondoa zito ndani ya ACT mwongeaji mwingine ni nani?
 
Zitto hawachekeshi...wenyewe wazanzibari taabani...mafuta wayataka na ubunge nao wanautaka ...nao unaamuliwa Dodoma ..sasa wafanye nini.....choka
 

Attachments

  • 1436386130294.jpg
    1436386130294.jpg
    28.4 KB · Views: 166
Back
Top Bottom