Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

Zito nae bana 🐒

kwahiyo hafahamu kama Jambo hili liko kisheria,
Na labda liliwahi kutokea humu nchini ili tuone kama sheria zilikiukwa na sasa turekebishe 🐒
afadhali amemwachia chama yule mama,jamaa ciku hizi hazmtoshi tangu aanze kula bila kunawa mikono
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Si sawa,umma unaambiwa aliyeko madarakani ameacha ofisi kwa namna yoyote Ile Kisha wakuchukua madaraka anaapishwa(mchakato)
 
Zito nae bana

kwahiyo hafahamu kama Jambo hili liko kisheria,
Na labda liliwahi kutokea humu nchini ili tuone kama sheria zilikiukwa na sasa turekebishe
Tunarukia kulahumu vitu tusivyovijuwa. Kwani katiba inasemaje? Zitto hauyuko sahihi lakini Mabeyo na yeye hakuwa sahihi. Kulikuwa na tatizo la kutokuelewana kwenye mlolongo mzima wa uongozi wa kitaifa.

AG alipaswa kuulizwa katiba inasemaje badala ya kutafuta tafasili Baraza la kuswahili. Na alitakiwa kujua maendeleo ya afya ya Rais na kuratibu matibabu ni makomo akisaidiana na PM. Katika hali ya kawaida wakuu wa vyombo wangepokea taarifa kwa ajili ya usalama wa nchi na siyo kinyume chake. Kuna kitu hakikuwa sawa.
 
Nilihisi tu mimi ndo nimeelewa kama ulivoelewa wewe au pia mleta uzi kachukuwa tu clip. Yaana Samia aapishwe kwanza ndo akatangaze kifo cha Rais, huu uwapisho unafanyika wapi chumbani au? make ukifanyika hadharani tutahisi Nchi imepinduliwa kwa kuwa hatujui rais yuko wapi kwa muda huo
Mkuu, hizi lugha zinavyokuja kiaina huenda ukawa uko sawa na mtazamo wako, khasa sentensi yako ya mwisho.

Wameamua kuleta hizo kauli za rejareja ili kutaka kuzuga tu na pia kuwakejeli watanzania.

Mtu mwenye "calibre" ya Zitto hawezi kuongea maneno hayo hadharani.

Lakini kuna watu wakati mwingine hujichanganya na kucheza na "calibre" yao wenyewe.
 
Binafsi Mimi sishangai kauli za zitto maana namjuwa vizuri NI mtu anayetumika na serikali siku zote tangu akiwa chuo ,akiwa CHADEMA hadi Sasa, mjuwe kuwa huyo amebimbewa na asali anayolamba Kila siku.
Mkuu umepiga nae kitabu DSM?

Ule mgomo wa wanafunzi waloutengeneza wakati ule na wenzie kuna watu walikula kisago na FFU lakini yeye alipotea kusikojulikana na kuibuka baadae vumbi limetulia.

Tangia wakati ule Zitto, Mbatia na yule jamaa yao mwingine siwaamini kwenye siasa zetu hizi.
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Taahira jingine hili hapa
Anaapishwaje bila kusema kwanini anaapishwa?
 
Tunarukia kulahumu vitu tusivyovijuwa. Kwani katiba inasemaje? Zitto hauyuko sahihi lakini Mabeyo na yeye hakuwa sahihi. Kulikuwa na tatizo la kutokuelewana kwenye mlolongo mzima wa uongozi wa kitaifa.

AG alipaswa kuulizwa katiba inasemaje badala ya kutafuta tafasili Baraza la kuswahili. Na alitakiwa kujua maendeleo ya afya ya Rais na kuratibu matibabu ni makomo akisaidiana na PM. Katika hali ya kawaida wakuu wa vyombo wangepokea taarifa kwa ajili ya usalama wa nchi na siyo kinyume chake. Kuna kitu hakikuwa sawa.
Ipo picha imefichwa.

Picha itatoka tu ikifika wakati wake.
 
Hamuwezi elewa,Amiri jeshi mkuu ni Raisi.Spika wa Bunge alipaswa kuitisha bunge kwa dharula na kutoa taarifa ya Rais kuumwa kiasi kwamba hawezi kuongoza nchi.

Hivyo Kwa mujibu wa katiba Makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais muda mchache ujao.

Akishaapishwa Rais, ndipo atatangaza kifo cha Rais aliyepita
Ndivyo katiba inavyosema au ni maoni yako? Kwamba spika aitishe bunge kwa dharura kuwadanganya wananchi, kama walivyofanya baadhi ya viongozi kuwa JPM yuko fiti na anachapa kazi? Katiba ipi inasema Rais akiwa mgojwa mahututi makamo wake anaapishwa?
 
Taahira kweli huyo!

Sasa watu wanashuhudia Samia anaapishwa kuwa Rais huku hawajui rais aliyopo kapatwa na nini?

Hela za Samia zimemtoa akili huyu ayatola
ndani ya masaa 48 nchi yetu haikuwa na Rais hii ni kwa mujibu wa alie kuwa mkuu wa Majeshi...!

nadhani Zitto alikuwa sahihi kwa nchi yenye watu wa ajabu kama hii nafasi ya Rais kama mtendaji mkuu haipaswi kuwa wazi muda mrefu hivyo​
 
Mkuu umepiga nae kitabu DSM?

Ule mgomo wa wanafunzi waloutengeneza wakati ule na wenzie kuna watu walikula kisago na FFU lakini yeye alipotea kusikojulikana na kuibuka baadae vumbi limetulia.

Tangia wakati ule Zitto, Mbatia na yule jamaa yao mwingine siwaamini kwenye siasa zetu hizi.
Hiyo siku tulikuwa tunakula "mkuu wa meza" Sisimizi Bar.
 
afadhali amemwachia chama yule mama,jamaa ciku hizi hazmtoshi tangu aanze kula bila kunawa mikono
Kwa hili la kuacha uongozi wote wa chama cha ACT Wazalendo baada ya kujiona kuwa akili zake kawa Punguani nampongeza kabisa kwa hilo .Punguani hakutakiwa kuendelea kuongoza chama

Kafanya jambi jema baada ya kujigundua kuwa punguani wa akili

Walau alijitambua kwa hilo

Na sasa atulie ona sasa upunguani wake wa akili kauanika wazi
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Hili si wazo sahihi. Tutajue kwamba alikuwa amekufa? Yaani, tusimuone Rais Samia hadharani kwa siku kadhaa halafu Mpango atangaze kuwa yeye ndiyo Rais akiyeapishwa sirini...akidaiwa kummaliza Rais wake....ili yeye awe Rais?
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Huyu naye amejichanganya maana VP angeapishwa baada ya kutangaza kifo kwanza ili kujenga uhalali wa kuwa anaapishwa kwa vile nafasi ya u rais iko wazi.
 
Anatangaza nani ? Sababu akitangaza hata dakika moja kabla kuapishwa hatangazi kama Raisi sababu anakuwa hajaapishwa
Alichosema Zitto mjinga kuwa atangaze kifo akishaapishwa Ujinga wake ndio upo hapo .Raisi mpya hawezi apishwa kabla tangazo kwanza kutoka la kufariki aliyepo kutoka.kwanza .Nchi zote dumiani huwa hivyo labda atueleze nchi gani raisi akifa mpya hutangazwa kwanza ndipo atangaze kifo cha aliyemtangulia
Hakuna kitu kama hicho
Kuwa muelewa, soma vizuri katiba. Kuna rais kufariki, rais kushindwa kutimiza wajibu wake kutokana na Ugonjwa! Au wewe unaisomaje katiba
 
Kwaiyo anatutafsiria kana kwamba wote atujasikia.

Ubaya wa Mabeyo huko wapi? Kama alitaka kufanya ubaya angeshindwa?
 
Hamuwezi elewa,Amiri jeshi mkuu ni Raisi.Spika wa Bunge alipaswa kuitisha bunge kwa dharula na kutoa taarifa ya Rais kuumwa kiasi kwamba hawezi kuongoza nchi.

Hivyo Kwa mujibu wa katiba Makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais muda mchache ujao.

Akishaapishwa Rais, ndipo atatangaza kifo cha Rais aliyepita
Una akili sana
 
Back
Top Bottom