Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

Anatangaza nani ? Sababu akitangaza hata dakika moja kabla kuapishwa hatangazi kama Raisi sababu anakuwa hajaapishwa
Alichosema Zitto mjinga kuwa atangaze kifo akishaapishwa Ujinga wake ndio upo hapo .Raisi mpya hawezi apishwa kabla tangazo kwanza kutoka la kufariki aliyepo kutoka.kwanza .Nchi zote dumiani huwa hivyo labda atueleze nchi gani raisi akifa mpya hutangazwa kwanza ndipo atangaze kifo cha aliyemtangulia
Hakuna kitu kama hicho
Mazito sijui amepatwa na nini?
 
Nilihisi tu mimi ndo nimeelewa kama ulivoelewa wewe au pia mleta uzi kachukuwa tu clip. Yaana Samia aapishwe kwanza ndo akatangaze kifo cha Rais, huu uwapisho unafanyika wapi chumbani au? make ukifanyika hadharani tutahisi Nchi imepinduliwa kwa kuwa hatujui rais yuko wapi kwa muda huo
Yaani mkuu nimecheka sn
 
Taahira kweli huyo!

Sasa watu wanashuhudia Samia anaapishwa kuwa Rais huku hawajui rais aliyopo kapatwa na nini?

Hela za Samia zimemtoa akili huyu ayatola
tena mwambie zitto asituvuruge! katiba inasema makamu anachukua urais hivyo hakukuwa na sababu ya kuwahisha
 
Naamini ana hoja yake mpaka akasema hivi,hii kauli kwa nje inaonekana ya kiouuzi sana
 
Hamuwezi elewa,Amiri jeshi mkuu ni Raisi.Spika wa Bunge alipaswa kuitisha bunge kwa dharula na kutoa taarifa ya Rais kuumwa kiasi kwamba hawezi kuongoza nchi.

Hivyo Kwa mujibu wa katiba Makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais muda mchache ujao.

Akishaapishwa Rais, ndipo atatangaza kifo cha Rais aliyepita
Utaratibu wa nyumbani kwenu huu
 
Kajamaa kajinga sana haka.

Na eti kana utaka Urais.

Yaani tuongozwe na zwazwa kama hili.
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
kwahiyo wakati anaapishwa ndipo atangaze kifo watu wamefungwa akili kwanza wasihoji kulikoni anaapishwa huyu raisi yuko wapi,kweli za kuambiwa changaya na z...
 
Back
Top Bottom