Zitto Kabwe: Njama za kuivuruga CHADEMA kamwe hazitafanikiwa...

Safi Sana..... Kauli nzito sana.

Kulingana na kukubalika kwa chadema nchi nzima, Chadema ushindi 100%

Wabunge wa ccm msiotaka ufisadi, hamieni chadema tuwasaidie watanzania,

Viva ZITTO, VIVA MBOWE, VIVA DK SLAA.

Aluta Continue
 
Ofcourse I'm the loser but you won nothing, eti umecheka kicheko cha kinafiki tupu.

Yes mimi bonge la mnafiki , hakuna kama mimi infact kwenye fani ya unafiki no one like me!, wewe nani? Zito bado yumo chadema! unasemaje?? na katoa hiyo statement, umekubali na unamtafuta waberoya! Juzi Zito si ndiye aliyesema Mbowe aache makundi atakiua chama? naye ni mnafiki? Speak truth always stand in your beliefs, Tangu mlipoanza kumchukia Zito kapigania misimamo yake..leo hii kimya!!!

Haujui siasa sina muda wa kujibishana na wewe , count me off in this thread! kama kila kitu kikisemwa unamkumbuka waberoya, then you are somebody in nobody ...kwetu kusini wanasema una Gubu! Umeandika yote kuhusu mimi? funny!

In short Zito hatoki chadema, yanawashuka, hater!

Hujaona nimeshinda nini!!
 
daaah leo mdgo wangu zitto umeonea maneno ya ukomavu sana...See you at double tree nkupe japo wine...ushanifahamu ivoo
 
Yes mimi bonge la mnafiki , hakuna kama mimi infact kwenye fani ya unafiki no one like me!, wewe nani? Zito bado yumo chadema! unasemaje?? na katoa hiyo statement, umekubali na unamtafuta waberoya! Juzi Zito si ndiye aliyesema Mbowe aache makundi atakiua chama? naye ni mnafiki? Speak truth always stand in your beliefs, Tangu mlipoanza kumchukia Zito kapigania misimamo yake..leo hii kimya!!!

Haujui siasa sina muda wa kujibishana na wewe , count me off in this thread! kama kila kitu kikisemwa unamkumbuka waberoya, then you are somebody in nobody ...kwetu kusini wanasema una Gubu! Umeandika yote kuhusu mimi? funny!

In short Zito hatoki chadema, yanawashuka, hater!

Hujaona nimeshinda nini!!
Ha ha haaa Waberoya unafurahisha jamvi tu hebu jisome mwenyewe kwenye RED halafu tuambie who is the loser.
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC

Mimi personally nimekuwa muwazi sana na mkweli katika kila kitu kinacholigusa taifa hili na hasa uhuru wa mawazo na maoni ambao umedhihirika kuwa watanzania wengi sio kuwa hawana, bali huwa wepesi sana kuamini mambo na ni waoga kuonekana wanapingana na hali iliyopo.

Mtazamo huu umenifanya nimpende Zitto na JF members wowote wale ambo huwa wanapenda kufikiria nje ya box, au another direction/angle. Zitto amekuwa akinifurahisha kwa kuleta changamoto za kuleta mawazo tofauti na kile ambacho wengi huwa wanafikiria.

Zitto ni kweli anapenda sifa, kama binadamu mwingine yeyote yule, ila unapotaka sifa kwa kusimamia haki na ukweli na hasa unapopigania haki basi sifa hii ni sifa timilifu na inapendeza. Omar Ilyas naye alikuwa mmoja wao wa wanaopenda sifa ila kwa sasa naona amekua kidogo, nadhani Salim A Salim amemkuza.

Si nia yangu niwaharibie hawa jamaa , ila ni hali yangu kueleza ninachowaza baada ya kuwafuatilia hawa watu tangu enzi hizo. Sijajua status ya Omar Ilyas kwenye issue nzima za udini, siwezi kumtuhumu, personally nimemuona ni mtu mzuri tu na anayependa wote pasi kujali udini ila bado ni rafiki wa Zitto!

Tuendelee: Role model wa Zitto ni Salim A. Salim, rais bora kwake yeye ni Kikwete, MD bora aliyewahi kumsema yeye ni Rashid Idrisa yule wa TANESCO.

Tie, cord, umoja, Urafiki wa Zitto, Ridhwan, Omar Ilyas ni mkubwa sana kuliko maelezo, hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana. Ridhwan amekuwa akijitetea sana yeye anataka ku-practise sheria hili hali kutaka uongozi amekuwa akitamani tangu siku nyingi sana.

Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.

Si ajabu Zitto kuwa alikuwa mmoja wa wanakamati ya bunge ya kuchunguza madini, maana JK anampenda Zitto, ambaye ni rafiki wa Ridhwan!

Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.

Kilichonifanya nijiulize je what makes Zitto na JK kuwa marafiki? Je Zitto na JK walikuwa wanajuana kabla ya JK kuwa rais? Definitely Yes!

Je swali gumu na baya ambalo halina ushahidi ni je Zitto kuwa inclined kwa JK, Salim na kuwapenda baadhi ya viongozi wa kiislam je ni mdini?..........I mean chunguzeni hili. May be not! Kindly don't conclude! What Salim teaches Zito?? Salim is CCM, is Salim and JK close friends? Cause Ommy and Zitto are close friends, Ooh! Ommy ni personal assistant wa Salim, Nauliza Kama Ridh, Zitto, Ommy ni marafiki then Salim and JK ni maadui? Find out please. However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?

Au ni kuwa ni great thinker ambaye anaishi kwa falsafa zake ambazo hatuzijui! Je mnafikiri Zitto kuwaambia waandishi wa habari yaliyojiri ndani ya chadema alikuwa hajui watu watamrudi? Who is greater to him? JK, wananchi wake Kigoma, mali au?

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence. But we should examine him carefully and not judge him. Nimegusia tu swala la uislam maana mpaka leo kuna baadhi ya waislamu wanaofikiri kuwa wanaiweza kuigawa nchi hii kidini, na kuna wakristo wanaofikiri wanaweza kuigawa nchi hii kidini.

That's bringing another bitter question how far do we believe these opposition leaders? I mean all!

That said, I am just thinking
 
Yes mimi bonge la mnafiki , hakuna kama mimi infact kwenye fani ya unafiki no one like me!, wewe nani? Zito bado yumo chadema! unasemaje?? na katoa hiyo statement, umekubali na unamtafuta waberoya! Juzi Zito si ndiye aliyesema Mbowe aache makundi atakiua chama? naye ni mnafiki? Speak truth always stand in your beliefs, Tangu mlipoanza kumchukia Zito kapigania misimamo yake..leo hii kimya!!!

Haujui siasa sina muda wa kujibishana na wewe , count me off in this thread! kama kila kitu kikisemwa unamkumbuka waberoya, then you are somebody in nobody ...kwetu kusini wanasema una Gubu! Umeandika yote kuhusu mimi? funny!

In short Zito hatoki chadema, yanawashuka, hater!

Hujaona nimeshinda nini!!

Mkuu unapenda sana ligi na majungu.
Kuna siku "Ulimtukana" Regia Mtema hapa jamvini, alipokwambia kuwa anakujua ukadai hawezi kukujua, yeye akakusisitizia kuwa anakujua na akakupa circumstances hapo ukanywea na ukamwomba yaishe. Leo naona umeanza tena, be careful.

Mbaya zaidi unajichanganya kuwa wewe ni cdm. That is childish! Huwezi kumdanganya mtu. Ninyi ndo aina ya watu ambao mnapandikiza chuki ili watu wagombane mkijifanya kila upande mpo, mkifanikiwa ktk misheni yenu mnakaa pembeni huku mkigongeana glasi za mvinyo na kujipongeza.

Kama mnadhani mnaweza kupandikiza chuki ndani ya chadema ili kuleta mtafaruku nawahakikishia mmeshindwa na kamwe hamtaweza. Mbinu zote mmejaribu kuanzia udini, ukabila, undugu, sijui uhaini, sijui vurugu, ukanda........zooote zimefeli, mnayofanya sasa ni marudia. Cha maana kwetu chadema hizo speculation na spinning zenu ndo zinaipandisha chadema chati.
Note: Wenye akili tunajua kuwa wewe si mchadema bali uko kazini kuivuruga chadema. Pole sana ndugu.
 
asante sana zito your moves recently zimekurudisha kwenye kiwango 100% ...imerudisha imani yetu kwako sisi mashabiki wako..
 
safari ya magogoni sasa wapo pale mataa ya faya wakitokea mbali kutukomboa bravo cdm......ppzzzzzzzzz.
Haya sasa mwenyewe kasema ukweli juu ya uongo uliokuwa umeenezwa,wenye wivu na wajinyonge
 
Ha ha haaa Waberoya unafurahisha jamvi tu hebu jisome mwenyewe kwenye RED halafu tuambie who is the loser.

Mkuu soma comment yangu kabla ya hii. Huyu jamaa anafanya watu wajinga sana. Na akiendelea na upumbavu wake nitamtaja kwa jina kamili. I'm gonna Identify him. I mean it.
 
Hongera sana Zitto...
itakapofika zamu ya maandano huku kanda ya kazikazini usikose mkuu.................
 
...i should agree, kwamba zitto au yeyote aliyemshauri ni mtu smart. ameweza kuona mapema upepo unaelekea wapi. kama yuko sincere na maneno yake he will turn out to be very instrumental in the march towards 2015.

...but one should be very careful with this development.

Why one should be careful? who is that one? Diversity is important and healthy in politics. It enables citizens to have well cooked food for their developmental nutrition. Do not cherish so much to be surrounded by yes women and men around you. Opposing and contradictory views are instruments of change.

The differing views between Mbowe and Zitto if at all they were there may have helped both of them. They are both no longer the same. Each one has moved a little distance from his former stance and that may be healthy for the part, its followers and therefore the country as well.

Conflicts are not that all bad they are constructive means to bring radical change! Which would not happen if same things were done in the same way all the time. and to change things one has to prick the status quo and at times things aren't that palatable to those involved but we must forge our way forward anyhow. We should not fear conflicts, they are healthy, they are good for development to happen. The important thing is to manage the conflicts but not to shun them away.

Even in our ruling party (CCM) we are nurturing conflicts slowly, soon you will notice what is going to happen!
 
ooh zitto kanyimwa uenyekti, oooh ananyanyaswa , ooh udini etc etc walisema sana watu wa chama mfu, sasa yamewafika. Nasubiri kuona kijithread mbuzi chochote kikimsakama Zitto na mbowe, patachimbika sasa. Mh.Zitto kasema mkisikia mtu anamsema aliyemlea kisiasa tangu akiwa chuo,yani Mbowe, mjue ni mchonganishi,atakuwa hakitaki chama tawala kijacho.
 
Yes mimi bonge la mnafiki , hakuna kama mimi infact kwenye fani ya unafiki no one like me!, wewe nani? Zito bado yumo chadema! unasemaje?? na katoa hiyo statement, umekubali na unamtafuta waberoya! Juzi Zito si ndiye aliyesema Mbowe aache makundi atakiua chama? naye ni mnafiki? Speak truth always stand in your beliefs, Tangu mlipoanza kumchukia Zito kapigania misimamo yake..leo hii kimya!!!

Haujui siasa sina muda wa kujibishana na wewe , count me off in this thread! kama kila kitu kikisemwa unamkumbuka waberoya, then you are somebody in nobody ...kwetu kusini wanasema una Gubu! Umeandika yote kuhusu mimi? funny!

In short Zito hatoki chadema, yanawashuka, hater!

Hujaona nimeshinda nini!!

Mkuu mbona unashambulia kama asenali!!

Kama unavyosema mwenyewe hii ni politiki, sasa mbona umehamaki? Kimsingi Zitto hajatakiwa kuondoka ama kutoka chadema isipokuwa ametakiwa kubadilika, arudi kwenye njia yake ya zamani, iliyomfanya akubalike na wanachadema. Kwahiyo anapoonekana kuanza kuelewa matamanio ya wanachadema wenzake na wanamageuzi wenzake, hana budi kupongezwa, sasa hapo wewe umekereka na nini??

After all hakuna mtu anayemchukia zitto, watu wanachukizwa na baadhi ya nyendo zake ambazo ni hatari kwa ustawi wa chadema na demokrasia ya mageuzi. Usitafute ushindi mapema kiasi hiki ndugu yangu, twende taratibu hakuna haters hapa labda kama wewe ndiye utuambie.
 
Zitto, natumai imekutoka moyoni, umefanya vema sana. Hii ndio CHADEMA ambayo tumekuwa tukiitamani. Tulia, jijenge zaidi, shirikiana vizuri na wenzako wote kujenga chama, rudisha imani ya wananchi kwako ambayo ilianza kupotea. Si muda mrefu sana mtapata mafanikio makubwa, na ukweli ni kwamba, kwa timu mliyonayo na kwa jinsi mnavyochanga karata hakuna sababu ya kushindwa mbele ya safari. Mungu awatangulie katika yote mfanyayo.
 
Yes mimi bonge la mnafiki , hakuna kama mimi infact kwenye fani ya unafiki no one like me!, wewe nani? Zito bado yumo chadema! unasemaje?? na katoa hiyo statement, umekubali na unamtafuta waberoya! Juzi Zito si ndiye aliyesema Mbowe aache makundi atakiua chama? naye ni mnafiki? Speak truth always stand in your beliefs, Tangu mlipoanza kumchukia Zito kapigania misimamo yake..leo hii kimya!!!

Haujui siasa sina muda wa kujibishana na wewe , count me off in this thread! kama kila kitu kikisemwa unamkumbuka waberoya, then you are somebody in nobody ...kwetu kusini wanasema una Gubu! Umeandika yote kuhusu mimi? funny!

In short Zito hatoki chadema, yanawashuka, hater!

Hujaona nimeshinda nini!!
your support is much appreciated. No winner, no looser! truth always stands. wala asisakamwe mtu
 
zitto nI moja kati ya nguzo tulizonazo Chadema.Na ujanja wa CCM KUTAKA KIVURUGA CDM KAMA ILIVYOYOKEA KWA NCCR CHAMA KIKUU CHA UPINZANI WKT HUO HAIWEZEKANI TENA.WA-TZ TUMEAMKA TUNAJUA KUCHANGANUA MAMBO.

KAULI YA ZITTO NI SALAM TOSHA KWA WASIOITAKIA MEMA DEMOKRASIA.

CDM IMETOKEA KUWA TUMAINI JIPYA LA NCHI YETU KWANI VIONGOZI WAKE WAMEKUWA WAKIONYESHA UZALENDO WA KWELI KWA NCHI YAO TAJIRI LKN YENYE WATU MASKINI SANA
 
safi sana CDM,kweli wazee wa CDM ni tofauti na bourgeois Kingunge na wenzake wa magamba,hongera Zitto kwa kujitambua na kutambua wajibu wako kwenye ukombozi wa taifa letu,yani kama ndio safari ya magogoni tume
hafika mnazi mmoja,naona kuna kila sababu yakufika mapema kabla ya 2015 kwani tupo mbele sana ya muda.
Pipozzzzzzzzz...powerrrrrrrrrrrrrrrr
Hakunakulalaaaaa....mpaka kielewekeeeeeeeee
Chadema vemaaaaaaaaaaaas
 
your support is much appreciated. No winner, no looser! truth always stands. wala asisakamwe mtu

Zitto lakini huyu jamaa hajamaanisha hicho alichokisema. Ni mnafki sana huyu tunamjua jamvini. Bahati nzuri mimi nakufahamu wewe vizuri hata kabla hung'ara katika medani za siasa za nchi yetu, halikadhalika namfahamu vizuri sana Waberoya. Alishawahi kukutuhumu humu jamvini mara kibao kuwa anakuchukia kwa sababu ulitaka kupindua serikali yake ya daruso mwaka 2004/5 (Nadhani umeshamjua ni nani huyu).
Rai yangu kwako Zitto: Be careful with this guy.
 
Hatimaye Zitto Zuberi Kabwe amenena.Amesema kuna mbinu nyingi zinafanywa na maadui wa chadema kumgombanisha na mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Katika hilo ametupia lawama baadhi ya vyombo vya habari vinavyomilikiwa na maadui wa Chadema vinavyojaribu kuandika uongo kwamba anampiga vita mwenyekiti wake.Zitto amesema kwa mdomo wake kwamba mbinu za maadui hao kamwe hazitafanikiwa na kufanikiwa kwao ni kama mbingu na Ardhi.Amesema maadui hao wamekosa pa kushika baada ya kuona chadema iko kileleni kuingia ikulu.
Zitto Kabwe amewaambia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Iringa kwamba aliyemkuza kisiasa na kufika hapo alipo ni Freeman Mbowe....Amedai Mbowe alianza kumkuza,kumjenga na kumsaidia tangu akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Amesema sasa ni nani mwenye ubavu wa kumgombanisha na mlezi wake?
Amewataka maadui wake kisiasa kutafuta mbinu nyingine kwani hiyo imeshindwa na kuzikwa.......

Nawasilisha!!

Thank you Zitto, you have made my, and today i will open a brand new bottle of johnnie walker for this news

Lovely
 
Back
Top Bottom