Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025

Maoni yako kaa nayo mpaka 2025. Kwa sasa tunaye rais anayetufaa na ikibidi tutabadilisha katiba ili awe wa maisha.
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
anayemjua rais ni Mungu tu. macho ya watu hawawezi kuona. sisi hapa tulimshabikia sana lowasa tukijua atakuwa bora kuliko magufuli, lakini ajabu yake, alipoingia tu, anaonekana kufanya kazi bora kuliko ile ambayo lowasa angefanya. lowasa mwe
 
Baada ya JPM au 2025?
Umeongelea kama ni kitu kimoja.
Tangu Zitto aingie kwenye mgogoro na CHADEMA alionyesha rangi zake ambazo hatukutakiwa kuzijua, kwa kifupi nafasi aliyonayo ndio inamfaa zaidi na si juu ya hapo.

Huyu anayejiona yupo 'level' moja na Rais? Hapana
 
Sawa ila ningependa kujua ilikuwaje akawa katibu mkuu wa chama kikubwa sana cha siasa cha CHADEMA akiwa na sifa zote hizo ulizozitaja...how did they manage to live with him kwa muda wote huo mpaka alipoondoka ndipo tukaanza kuambiwa hayo uliyoyaandika...
Sio katibu bali makamu katibu
 
Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu

Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.

Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.

Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.

Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM, pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.

Zitto Kabwe is my president in 2025
huu ndio ukweli uliojificha wanaoweza kuuona ni wachache hongera kwa kuzungumzia ukweli,

nchi itakuwa imempata kijana mahiri na kiongozi mwenye uwezo mkubwa wa uongozi wa nchi hivyo watanzania hawatajuta kumkabidhi nchi mzalendo zito.
 
Mwaka 2025? Mbona mbali hata kesho tu chama chake kikiamua awe rais au ikitokea akapata kampuni akaamua awe rais anaweza. Pia anaweza kuwa rais wa familia yako. Yako na mumeo na watoto wako. Hilo linawezekana kabisa na halihitaj mpaka mwaka2025 kwa nini unasubiria mpaka mbali hivyo? Kwa nini usimpe huo urais hata leo? Mpe tu mama.
Nimecheka sana mkuu
 
Back
Top Bottom