Daaaah naona uzito wa hoja si mchezo! Kumbe nyie ni wapishi wa habari namna hii.
Sasa mbona umekwenda off-point
Tatizonyie watu mnaoendekeza njaa mnaropoka ili mlipwe mpate choo...fanya kazi..hatred and religious dimension will never help you...padri ndio nani?? udini tu unawasumbua nyie malofa
Atafanyaje mkuu ,muonee huruma unafiki ndio kula yake mjini !
Halafu sijui wanapiga viroba na mavitu gani kabla ya kuja hapa?Maana si kawaida hata mabandiko yao inakuwa kama kuna mihadharati wametumia.Wanakuwa full of energy lakini wanachoandika inakuwa kama wako under influence,sasa sijui ni alcohol ama ni combination?Definetly not normal,na inakuwa shida hata kujadili chochote.Tatizonyie watu mnaoendekeza njaa mnaropoka ili mlipwe mpate choo...fanya kazi..hatred and religious dimension will never help you...padri ndio nani?? udini tu unawasumbua nyie malofa
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji[/Blue] Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ?? Mbona nyie chadema niwajinga sana ????
u-common wetu upon hapa..kwenye kupinga ukabila na udini ndani ya chadema..pia u-common wetu upo kwenye kufichua wizi na ufisadiwa mbowe na dr.slaahawa ni makuwadi wa zitto au ni zitto mwenyewe anakuwa na id nyingi. Nawafuatilia sana nagundua something common in them.
Duu rais zitto ni noma kaamua kumfuata slaa mpaka kwao.kweli kamanda yuko kazini sasa hio ni M4C au leka dutigite?
Hakuna haja ya kuweka picha ambayo siyo ya tukio lenyewe eti unaweka "NB",what for?si usubiri hadi wakati ama baada ya mkutano ndo utuwekee hizo picha?
Pia unaweza kutuambia kuwa ni nani anagharamia mikutano yake hiyo?Kwasababu kama ni chama chake,basi sioni shida yoyote,ila kama siyo chama chake kinagharamia,then kuna watakaokuwa na maswali ya ziada...
Je ameandamana na kiongozi mwenzake yoyote yule?
Halafu sijui wanapiga viroba na mavitu gani kabla ya kuja hapa?Maana si kawaida hata mabandiko yao inakuwa kama kuna mihadharati wametumia.Wanakuwa full of energy lakini wanachoandika inakuwa kama wako under influence,sasa sijui ni alcohol ama ni combination?Definetly not normal,na inakuwa shida hata kujadili chochote.
Hawa ni makuwadi wa zitto au ni zitto mwenyewe anakuwa na ID nyingi. Nawafuatilia sana nagundua something common in them.
yaani wewe umekaa na bibi hapo unadhani ukombzi unapatikana kwa kupiga hadithi???njaa ni mbaya sana hawa wote ni njaa tu..wanadhani urais ni mchezo mchezo tu..tumeshaonja joto hii miaka 10 sasa hatutafaya makosa tena
Rais wa Chadema Zitto Kabwe kwa kweli anakubalika.
Halafu mkuu kama hawa ndiyo wanaomsapoti Mh,basi anajidharaulisha yeye mwenyewe kusema ukweli.Mkuu jmushi1, hii picha nasikia tetesi imeamuliwa itumike katika kikao maalum katika harakati za kuisambaratisha Chadema na jeshi maalum limeundwa kutekeleza kazi hiyo. Ukienda Michuzi blogs hii picha ndiyo hiyo imetumika hata huko ikiambatana na Zitto kutangaza nia yake ya kugombea Uraisi 2015.
Kwangu mimi hiyo nia yake sina tatizo nalo, ni haki yake kikatiba ndani ya nchi ingawa siku haki yake kikanuni ndani ya chama, kila chama kina kanuni zake. Tatizo ni lengo la huu mpango unaosimamiwa na mahasimu wanaojulikana ndani na nje ya chama, kuwagawa wanachama wa Chadema.
Ukweli ni kwamba picha za aina hii zimetayarishwa na ziko nyingi na zote zilipigwa kwenye matukio tofauti lakini ya kweli tangu mwaka 2010 hadi 2012. Ajabu ni kwamba zilizochaguliwa ni zile tu zinazomwonesha Zitto, lengo likiwa ni kujenga taswira kwamba Chadema bila Zitto si lolote si chochote.
Mimi binafsi ninavyoamini, Chadema imevuka inayoitwa "threshhold" ya kuweza kusambaratishwa kwa mbinu za kipuuzi kama hizi. Hebu waangalie wote wanaotokwa mapovu kumtetea Zitto humu ndani, ni wale wale na bado wataongezeka. Wanachosahau ni kuwa Chadema ni zaidi ya Mbowe, Zitto na Dr. Slaa.
Dai la ukabila lilishindwa, dai la ukanda lilishindwa, dai la udini lilishindwa na sasa turufu iliyobaki ni hiyo moja...fitina na uchonganishi. Nashindwa kuamini mtu kama Zitto kukubali kutumika kwa namna hii...wenzio wahangaike juani kuitangaza na kuijenga chama, wewe unakesha kivulini kusubiri mavuno! La hapana, si Zitto!
u-common wetu upon hapa..kwenye kupinga ukabila na udini ndani ya chadema..pia u-common wetu upo kwenye kufichua wizi na ufisadiwa mbowe na dr.slaa
ummoja wetu upo kwenye kumsapoti zitto kijana msafi,,,leo amemfuata dr.slaa kulekule aliko karatu.
Tunajua wewe ni kijakazi wa mbowe huwezi kukaa na sisi tukala sahani moja
Again,kama nilivyomweleza mwenzako,jadili kwa hoja,nitawareport kwa matusi hayo.Maneno hayo ni uchafu usiostahili kuwepo humu jukwaa la siasa kwenye mijadala.Nakutahadharisha tu,maana sidhani kama ulikuwa unaifahamu JF.Inaonyesha umeletwa hapa kuharibu jukwaa hili.hata wewe tunawasiwasi sijui unaandika hapa huku unafanya ile kitu ya cameroon au la?kwa sababu maneno yako yanautelezi utelezi hivi hayakamatiki,hayaeleweki..wala husomeki.
Pole sana kamanda wangu,,chadema huru inapatikana very soooon