pia sijui kama na Makamba january kama ana mwenza au na yeye anapiga punyeto
wakishaoa/olewa swali litakalofuata ni kwanini hawazai? wakizaa ni kwanini wamezaa kwa karibu hivyo au kwakuachanishwa sana? baada ya hapo ni shule gani wanasoma........
ulichokipost ni kweli lakini kumbuka inawezekana Zitto anaogopa kisije kikamtokea kama cha katibu wake mkuu Dr na Jose, pili Ester bulaya mbona aliishaolewa na akaachika, na anawatoto wa kutosha, sio kijana huyoni huluka zake hawezi olewa, tatu Halima mdee yeye ni mnaniii, kama mwanaume unafikili atakubali kuolewa?Pengine mnaweza kuona ni issue ya kijinga lakini hakika nawaeleza kitendo cha watu kama Zitto kabwe,Halima mdee,Magige,bulaya na wengine wengi ambao ni wabunge vijana above 35 kutokuwa na wake/waume pengine hata watoto ni kielelezo tosha kwamba kwa njia moja au nyine ni mapungufu makubwa. kama wako hivyo huduma za kimahusiano(ambazo mtu kamili kiafya ) lazima azipitiwe wanapata wapi? nje ya utaratibu hapo ni uzinzi na kama wanatafuta ni kwa ajili ya nani? Unaweza kuwa mwanasiasa mzuri lakini kama hujashiriki 'serikali ya familia' kuna mambo mengi huji na milele hutakuwa 'mtoto' kwa kila kitu. Ujumbe huu uwafikie na wengine nje ya niliowataja!
Msaidieni Dr. Slaa kwanza anatia aibu.Huu mjadala ukijadiliwa kwa nidhamu tutawasaidia hawa vijana makini maana pamoja na umakini na uongozi wao bora lakini huwezi kuwa bora kwenye kila kitu!!
MODS MNASUBIRI NINI? must be banned
tatu Halima mdee yeye ni mnaniii,