Zitto Kabwe na Wenzako tafadhali tafuta wenza!

Status
Not open for further replies.

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Pengine mnaweza kuona ni issue ya kijinga lakini hakika nawaeleza kitendo cha watu kama Zitto kabwe,Halima mdee,Magige,bulaya na wengine wengi ambao ni wabunge vijana above 35 kutokuwa na wake/waume pengine hata watoto ni kielelezo tosha kwamba kwa njia moja au nyine ni mapungufu makubwa.

kama wako hivyo huduma za kimahusiano(ambazo mtu kamili kiafya ) lazima azipitiwe wanapata wapi? nje ya utaratibu hapo ni uzinzi na kama wanatafuta ni kwa ajili ya nani?

Unaweza kuwa mwanasiasa mzuri lakini kama hujashiriki 'serikali ya familia' kuna mambo mengi huji na milele hutakuwa 'mtoto' kwa kila kitu.

Ujumbe huu uwafikie na wengine nje ya niliowataja!
 
Vivaaaaa Mkuu matamanio Yao wanamalizio wapi Zito anakula anashiba pesa anayao Amazonian nini
 
Udaku pembeni. Pima utendaji wao na hao unaowafahamu waliooa au kuolewa utupatie majibu.
 
Ndoa za jinsia moja zikiruhusiwa basi wale wabunge wawili wapenzi wa siku nyingi, watafunga ndoa tu. Naomba hao watoe kwenye listi hiyo maana bado sheria inawabana kuoana.
 
Binadamu hayuko duniani kwa ajili ya utendaji tu,kwa hiyo wakae hivyo hivyo kisa ni utendaji? kwa ajili ya nani? faida kwa nani? .We kumbe na wewe ni yale yale,sisi tunaongelea 'serikali ya mambo ya ndani' ambayo kiukweli ni ngumu na inatoa mwanga wa kuendesha hii ya kidola.
 
ndo maana yake,
mtu yuko above 35 anakula kwa changu?
nenda basi ukamtimizie haja ya moyo wake, mpaka kuwaanzishia uzi?, kwani uliambiwa hakuna watu wanaoishi maisha ya useja?? Au unadhani kila mtu anazo kama zako! Hebu jiheshimu ndugu!
 
Ndoa za jinsia moja zikiruhusiwa basi wale wabunge wawili wapenzi wa siku nyingi, watafunga ndoa tu. Naomba hao watoe kwenye listi hiyo maana bado sheria inawabana kuoana.

wala siwajui,nani hao? tutajie
 
Kuoa au kuolewa its too personal, in other words ni uamuzi wa mtu, as long as anatimiza wajibu wake kwa wananchi waliomchagua basi hamna gogoro mkuu.

ila naogopa maana tusije tukapata Rais 2020 bila first Lady - ha ha ha
 
Binadamu hayuko duniani kwa ajili ya utendaji tu,kwa hiyo wakae hivyo hivyo kisa ni utendaji? kwa ajili ya nani? faida kwa nani? .We kumbe na wewe ni yale yale,sisi tunaongelea 'serikali ya mambo ya ndani' ambayo kiukweli ni ngumu na inatoa mwanga wa kuendesha hii ya kidola.
Samahani mkuu sikulifahamu hilo. Najitoa kwa kuwa serikali ya ndani kwa Zitto au yeyote mwingine is of no interest to me.
 
Ndoa za jinsia moja zikiruhusiwa basi wale wabunge wawili wapenzi wa siku nyingi, watafunga ndoa tu. Naomba hao watoe kwenye listi hiyo maana bado sheria inawabana kuoana.

Ni kigezo gani anacjotumia mtu kusema marafiki wawili ni mashoga au wasagaji kama wao wenyewe hawajajitangaza? Ina maana watu wa jinsi moja wasikae pamoja kujadili mambo yao kwa kuwa kuna watu wajinga watawaona ni mashoga au wasagagi? Little education is a really problem.
 
Kuoa au kuolewa its too personal, in other words ni uamuzi wa mtu, as long as anatimiza wajibu wake kwa wananchi waliomchagua basi hamna gogoro mkuu.

ila naogopa maana tusije tukapata Rais 2020 bila first Lady - ha ha ha

pia sijui kama na Makamba january kama ana mwenza au na yeye anapiga punyeto
 
Pengine mnaweza kuona ni issue ya kijinga lakini hakika nawaeleza kitendo cha watu kama Zitto kabwe,Halima mdee,Magige,bulaya na wengine wengi ambao ni wabunge vijana above 35 kutokuwa na wake/waume pengine hata watoto ni kielelezo tosha kwamba kwa njia moja au nyine ni mapungufu makubwa.

kama wako hivyo huduma za kimahusiano(ambazo mtu kamili kiafya ) lazima azipitiwe wanapata wapi? nje ya utaratibu hapo ni uzinzi na kama wanatafuta ni kwa ajili ya nani?

Unaweza kuwa mwanasiasa mzuri lakini kama hujashiriki 'serikali ya familia' kuna mambo mengi huji na milele hutakuwa 'mtoto' kwa kila kitu.

Ujumbe huu uwafikie na wengine nje ya niliowataja!

SLAA ana mwenzi wake, manake kama ni suala kuwa tu na mwenzi hata hao uliowataja wanao.
 
Wanasiasa wanaogopa wakishakuwa na wanawake huenda wakawa vikwazo katika kazi zao.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom