Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa chadema kwa pamoja
 
kusema zitto alikuwa gugu ni kukosea sana. hata kama humpendi zitto kiasi hicho sio vizuri kusema uongo. mie navyojua zitto alikuwa malaika wa Nuru na akijikweza sana hata kiasi cha kutamani kiti cha enzi kwa njia haramu! no nadhani ilikuwa mbegu njema iliyoota katika udongo mzuri nailipokomaa tayari kuzaa matunda kwa msimu wake likaja buu usiku mmoja likaitafuna mizizi ya mbegu zitto na taratibu ikaanza kunyauka
 

hivi kwanini chadema mifano yenu yote ni ya kunukuu biblia tu..au chadema ni kanisa?
 
Hoja imepita na kuungwa mkono. Sasa nitawahoji; wanaoafiki waseme ndiooo... na wasioafiki waseme sio. Waliosema ndio wameshinda. Mjadala umefungwa.

Kuhusu taarifa mh spika..mh spika naomba muongozo kuna mtu kaniita tumbili
 
Zitto ni mchawi wa harakati za ukombozi namfananisha na lyatonga mlema. Kwa chadema haya ni mapito tu na lazma tupitie.
 
-huo ni ukweli mkuu pia niongeze kuwa hawa wasaliti wamo na wasiri wetu ambao mwisho wa siku act+ccm watajajua kwanini tunasema chadema ni mpango wa mungu.
-nimekuja kigoma juzi,nilicho kiona ni kuhama kwa wasaliti wao kama wao bila chembe ya wafuasi wa cdm.
-cha kufurahsha misingi inaendelea kwekwa kila pembe ya kigoma na wilaya zake.
 
Hoja imepita na kuungwa mkono. Sasa nitawahoji; wanaoafiki waseme ndiooo... na wasioafiki waseme sio. Waliosema ndio wameshinda. Mjadala umefungwa.


Nikweli hoja imepita lile lilikuwa gugu tena kule unyamwezini-Tabora wanasema Lugowi nimoja ya gugu baya sana.

Lugowi ni gugu hatari likimea likajizatiti kuliangamiza kunahitaji nguvu za ziada na agharabu hutambaa huku likiweka mizizi kila liendako.
 

-hakika zzito ni mithili ya mtoto aliye mwuliza baba yake atakufa lini ili yeye apate kurithi mali za babaye.
-na nikweli hili lilikuwa gugu lililomea kama mdhabibu kumbe ni gugu maji,
hii dhambi ya ubinafsi na umimi itamtafuna hadi kifo!
 

haliwezi kamwe kumea katika maji maana sisi wa kulikata tupo tena tumejiandaa ipasavyo kulidhibiti,ni suala la muda tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…