KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Umekuja na thread ili utuchonganishe Kati ya CDM na zitto huwezi Pambaf!!!!!!! Ni makini ndio maana yupo CDM Chama makini kwi kwi! Kwi! Kwi! KwiMbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, ni kama vile ndiye ‘nyota' wa mkutano uliopita wa Bunge na hasa baada ya kuwataka wabunge kutia saini zao kwa lengo la kutaka kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutokana na ripoti za CAG kuonyesha ufisadi unaojirudia kila mwaka miongoni mwa taasisi za umma.
Zitto ambaye ameshikilia rekodi yake ya kuwa kinara wa mikutano miwili mfululizo ya Bunge, akiibuka na pingamizi la posho kwa wabunge katika mkutano Februari, mwaka huu na sasa, akiibuka na ajenda ya ‘kumng'oa' Waziri Mkuu, hoja zote zikipata ushabiki ndani na nje ya Bunge, amelifanya Bunge kuwa na rekodi ya kipekee lakini pia, hatua yake ya kutaka Waziri Mkuu ang'olewe inampa nguvu zaidi CAG tofauti na wengi wanavyotafsiri.
Zitto mwenyewe ameeleza: "Vyovyote itakavyokuwa, kufanikiwa au kutofanikiwa kumng'oa Waziri Mkuu, ripoti za CAG zitaheshimiwa kwa kufanyiwa kazi ili makosa ya ufisadi yasiwe yanajirudia na yakijirudia basi, siku nyingine Waziri Mkuu atang'oka, rekodi zimeshajiandika."
Zitto alifanikiwa kukusanya saini za wabunge 73, ambao ni kutoka vyama karibu vyote vyenye wabunge bungeni, isipokuwa UDP tu.
Joh Cheyo hajitambui na hatambui nafac yake.
Zitto alitumwa na JK na JK anajua kabisa uongozi wake unayumbishwa na Magamba ya CCM sasa anayatumia majembe kama wakina Zitto kutema cheche ile yeye aweze kufanya kazi. Unajua tena ule uenyekiti wa CCM na kuwa chama ndo kinaunda serikali wanambana asiende wanavyotaka wao.
Sasa amemwambia Lema azunguke Nchi nzima aiue CCM ili akija kutoka 2015 Chadema waingie ikulu halafu atawapa siri zote. na kuna kila dalili kuna agreement fulani na sisi wana Chadema kuja kumlinda.
Namnukuu Zitto kule Bungeni wakati anahitimisha ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''
Mwisho wa kunukuu. Hapa mpepata picha sasa kwamba JK amechoka na magamba sasa anawatumia chama makini kuiokoa nchi hii kutoka mikononi mwa wezi. JK na Zitto ni Dam Dam JK na Chadema ni Dama Dam.
Unajua JK na Zitto ninmarafiki??? Nahsi aliyumwa na. Rais ili iwe mbinu ya kubadili baraza!!!!!!!
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, ni kama vile ndiye ‘nyota' wa mkutano uliopita wa Bunge na hasa baada ya kuwataka wabunge kutia saini zao kwa lengo la kutaka kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutokana na ripoti za CAG kuonyesha ufisadi unaojirudia kila mwaka miongoni mwa taasisi za umma.
Zitto ambaye ameshikilia rekodi yake ya kuwa kinara wa mikutano miwili mfululizo ya Bunge, akiibuka na pingamizi la posho kwa wabunge katika mkutano Februari, mwaka huu na sasa, akiibuka na ajenda ya ‘kumng'oa' Waziri Mkuu, hoja zote zikipata ushabiki ndani na nje ya Bunge, amelifanya Bunge kuwa na rekodi ya kipekee lakini pia, hatua yake ya kutaka Waziri Mkuu ang'olewe inampa nguvu zaidi CAG tofauti na wengi wanavyotafsiri.
Zitto mwenyewe ameeleza: "Vyovyote itakavyokuwa, kufanikiwa au kutofanikiwa kumng'oa Waziri Mkuu, ripoti za CAG zitaheshimiwa kwa kufanyiwa kazi ili makosa ya ufisadi yasiwe yanajirudia na yakijirudia basi, siku nyingine Waziri Mkuu atang'oka, rekodi zimeshajiandika."
Zitto alifanikiwa kukusanya saini za wabunge 73, ambao ni kutoka vyama karibu vyote vyenye wabunge bungeni, isipokuwa UDP tu.
John Mnyika ni makini kuliko huyo gamba zitto, vp Lissu aliyeanzisha hoja ya kumng,oa waziri mkuu halafu Zitto akaidandia..acha kuleta mambo ya Bongofleva kwenye mustakabali wa nchi...
Joh Cheyo hajitambui na hatambui nafac yake.
Joh Cheyo hajitambui na hatambui nafac yake.
Joh Cheyo hajitambui na hatambui nafac yake.
John Mnyika ni makini kuliko huyo gamba zitto, vp Lissu aliyeanzisha hoja ya kumng,oa waziri mkuu halafu Zitto akaidandia..acha kuleta mambo ya Bongofleva kwenye mustakabali wa nchi...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, ni kama vile ndiye nyota wa mkutano uliopita wa Bunge na hasa baada ya kuwataka wabunge kutia saini zao kwa lengo la kutaka kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutokana na ripoti za CAG kuonyesha ufisadi unaojirudia kila mwaka miongoni mwa taasisi za umma.
Zitto ambaye ameshikilia rekodi yake ya kuwa kinara wa mikutano miwili mfululizo ya Bunge, akiibuka na pingamizi la posho kwa wabunge katika mkutano Februari, mwaka huu na sasa, akiibuka na ajenda ya kumngoa Waziri Mkuu, hoja zote zikipata ushabiki ndani na nje ya Bunge, amelifanya Bunge kuwa na rekodi ya kipekee lakini pia, hatua yake ya kutaka Waziri Mkuu angolewe inampa nguvu zaidi CAG tofauti na wengi wanavyotafsiri.
Zitto mwenyewe ameeleza: Vyovyote itakavyokuwa, kufanikiwa au kutofanikiwa kumngoa Waziri Mkuu, ripoti za CAG zitaheshimiwa kwa kufanyiwa kazi ili makosa ya ufisadi yasiwe yanajirudia na yakijirudia basi, siku nyingine Waziri Mkuu atangoka, rekodi zimeshajiandika.
Zitto alifanikiwa kukusanya saini za wabunge 73, ambao ni kutoka vyama karibu vyote vyenye wabunge bungeni, isipokuwa UDP tu.