Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

Asante kwa kumtetea kwa juhudi kubwa kiongozi wako..ingawa nina shaka pengine ni zito ndio kanijibu hapo juu.Sasa nakushauri mr.zito achana na mambo ya israel..huyawezi.ule ugomvi wa maelfu ya miaka mtu kama zito hutauweza.ule ni mgogoro wa kidini na si wa ardhi.Ninachoshangaa kuna matatizo kibao ya wakulima tanzania unayaruka na sasa eti unataka kutatua shida za yerusalem.

Ugomvi wa kidini kati ya dini ipi na ipi?
 
Asante kwa kumtetea kwa juhudi kubwa kiongozi wako..ingawa nina shaka pengine ni zito ndio kanijibu hapo juu.Sasa nakushauri mr.zito achana na mambo ya israel..huyawezi.ule ugomvi wa maelfu ya miaka mtu kama zito hutauweza.ule ni mgogoro wa kidini na si wa ardhi.Ninachoshangaa kuna matatizo kibao ya wakulima tanzania unayaruka na sasa eti unataka kutatua shida za yerusalem.
Nonsense...
 
Hizo sehemu za kihistoria za wakristo zipo Maeneo ya wapelistine. Yanayokaliwa na warabu mpaka leo.
Na kama sio warabu kuyahifadhi hao mayahudi wange shayavunja.
Wao hawamtambui yesu .
Wanaokwenda Israel huomba tu visa ya Huko lakini maeneo hayo yapo makazi ya warabu.
Hakafu tukija kwenye siasa... Zitto hupo right , kufungua ubalozi kusiwe na masharti ya kubadili misimamo na siasa zetu.
Adui wa Israel sio adui wetu...na rafiki wetu sio rafiki wetu. Heshima ya kila taifa ndio muhimu
 
kwani wapalestina wanafanyiwa nini mkuuu? hivi mtu akirusha rocket kwenye shule na mahospitalini na wewe una bunduki, hautamshoot?

Mkuu wewe mtu akija kukuondoa nyumba unayoishi sasa kwa mtutu wa bunduki akitoa sababu kwamba anakitabu chake cha dini kimemuelekeza kwamba hiyo nyumba ni yake .. utafanya nini? Utamuachia tu na kuwa mtumwa kwenye nyumba yako?
 
Hizo sehemu za kihistoria za wakristo zipo Maeneo ya wapelistine. Yanayokaliwa na warabu mpaka leo.
Na kama sio warabu kuyahifadhi hao mayahudi wange shayavunja.
Wao hawamtambui yesu .
Wanaokwenda Israel huomba tu visa ya Huko lakini maeneo hayo yapo makazi ya warabu.
Hakafu tukija kwenye siasa... Zitto hupo right , kufungua ubalozi kusiwe na masharti ya kubadili misimamo na siasa zetu.
Adui wa Israel sio adui wetu...na rafiki wetu sio rafiki wetu. Heshima ya kila taifa ndio muhimu

Well said, Mji wa Bethlehemu upo katika mamlaka ya Wapalestina ( West bank).

Waisrael wanacontrol anga la mipaka yote ya ardhi yao plus ile ya Wapalestina Kwa hiyo ili kuingia kwenye Maeneo ya Wapalestina kama Bethlehemu lazima Uingie kwa Viza ya Israel.

Sasa Mahujaji/Watalii wa Kikristo wakiwa Bethlehem hudhani wako Israel kumbe wako Palestina.

Israel ikishakusanya mapato kutokana na utalii na kodi mbalimbali, huwa inawamegea Wapalestina portion yao, na wao huchukua portion yao!

Ila Wayahudi weusi wa bongo hudhani kuwa waingiapo Maeneo yote ya hija basi wapo israel kumbe siyo kweli!

Ngoja nikutajie Maeneo yanayotawaliwa na Wapalestina ( Yaliyoko West bank)

1. Bethlehemu

2. Hebron
3. Nablus

4. Ramallah
5. East Jerusalem: ( Japo Trump anadhani kwa kupeleka ubalozi kule basi kawagea Wayahudi Jerusalem nzima kumbe ngoma bado mbichi sana).

Ni hivi, Wakiristo wengi wakienda Hija kimsingi sehemu kubwa ya hija yao ni Palestina na kidogo sana ni ndani ya Taifa la Israel!

Elimu , Elimu, Elimu
 
Tatizo letu sisi wakristo tunajua kwamba waisraeli ni wakristo, na kwamba yesu nae alikua ni mkiristo , na sijui kwa nini atuambiwi ukweli
Ungejitofautisha na viumbe wengine wasio binadamu duniani km ungeacha upuuzi wa kujiita mkristu. Ili nini sasa?Nani kakuambia unaweza anza kudanganya ili uongee kweli na ukabaki na kweli?Waliokuambia Mungu karuhusu uongo ktk mazingira magumu, hakutaka tuu kukuambia unaabudu shetani ndie unamwita Mungu. Mungu haihitaj uongo kuonyesha usahihi wake. Na hii ndio imefanya watu fulani na mataifa yao kuwa watu wa hovyo wakati wenzao na mataifa yao wakawa na mafanikio yanayojisema na sio ya kuigiza.

- Sio kila myahudi ni Kristu ila wapo wayahudi Wakristu, na wapo wayahudi wanafanya vyote(Messianic Jews), na wapo wayahudi wanaoamini dini ya Yudah.

-PIA UJUE YESU NDIE KRISTU/MASIH, WAKRISTU NI WAFUASI WA KRISTU. UMASIHI/UKRISTU WAKE NI KWA JILI YETU SISI TUNAOHITAJI UKOMBOZI NA SIO YEYE. Kwa hiyo kuwa mwangalifu na elimu za shetani ambazo zimeficha uongo wa kutosha danganya waliokana Rehema ya Mungu.Ni km wale wanaodhani mstari km huu "WAYAHUDI WANASEMA HAWAKUMUUA YESU" ndio ushahidi kuwa Yesu hakufa. Wayahudi wanaweza kuwa sahihi kuwa hawajamuua na isitoshe kumaanisha kuwa hakufa. Waliopaswa kuendesha zoezi la hukumu ya serikali(Mahakama) ni watendaji wa serikali(Askari wa taifa lililotawala enzi zile la Rumi ambao walikuwa warumi).

VItabu vya Biblia viliandikwa kwa namna ambayo, waandishi wengine wa dini nyingine, hawatakaa waje na jibu. Wataishia kuibaiba vionjo na kuvisema ktk namna ya upotoshaji sana. Km wale mashetani wanaosikiliza habari za Mbingu kwa mbali kisha wanawahi kuja waambia wanadamu kwa style km wao ndio walikuwa na original idea. Wana wa shetani mpo wengi sana.Ndio nyie mnaiba idea za watu na kwenda kufanya na wasio km nyie mwishowe mnashindwa.Bora mngerudi kwa wenye mawazo na kufanya nao kazi.

Rudini ktk Ukristu unaondwa kwa habari Nyema na sio dini. Hivzo dini ambazo wenyewe wameandikiwa kuwa maelezo zaidi wawaone wakristu hazina haja ya kuzifuata. Ni km kununua vocha ya voda maxi malipo wakati una Mpesa.
 
Mkuu wewe mtu akija kukuondoa nyumba unayoishi sasa kwa mtutu wa bunduki akitoa sababu kwamba anakitabu chake cha dini kimemuelekeza kwamba hiyo nyumba ni yake .. utafanya nini? Utamuachia tu na kuwa mtumwa kwenye nyumba yako?
Tatizo Wapalestina sio waarabu ingawa wengi ni waislam kwa sasa. Waarabu wenyewe wanawaita WAFILISTINE, historia iliyoandikwa kabla ya mataifa km uingereza,marekani,saudi arabia na mengine mengi kuwepo duniani.Inawasema wafilistine walivyokuwa.Sio watu ambao hata waarabu wanawapenda kihivyo.Walikuwa ni watu pori washari na maadui wa Israel .Ndio maana hata sasa Saudi Arabia kaachana na huo upuuzi sasa hivi ni rafiki wa Israel. Historia yote ipo upande wa Israel.Ila UN yenye ushabiki ndio inaendekeza ujinga dhidi ya Israel.
 
Ungejitofautisha na viumbe wengine wasio binadamu duniani km ungeacha upuuzi wa kujiita mkristu. Ili nini sasa?Nani kakuambia unaweza anza kudanganya ili uongee kweli na ukabaki na kweli?Waliokuambia Mungu karuhusu uongo ktk mazingira magumu, hakutaka tuu kukuambia unaabudu shetani ndie unamwita Mungu. Mungu haihitaj uongo kuonyesha usahihi wake. Na hii ndio imefanya watu fulani na mataifa yao kuwa watu wa hovyo wakati wenzao na mataifa yao wakawa na mafanikio yanayojisema na sio ya kuigiza.

- Sio kila myahudi ni Kristu ila wapo wayahudi Wakristu, na wapo wayahudi wanafanya vyote(Messianic Jews), na wapo wayahudi wanaoamini dini ya Yudah.

-PIA UJUE YESU NDIE KRISTU/MASIH, WAKRISTU NI WAFUASI WA KRISTU. UMASIHI/UKRISTU WAKE NI KWA JILI YETU SISI TUNAOHITAJI UKOMBOZI NA SIO YEYE. Kwa hiyo kuwa mwangalifu na elimu za shetani ambazo zimeficha uongo wa kutosha danganya waliokana Rehema ya Mungu.Ni km wale wanaodhani mstari km huu "WAYAHUDI WANASEMA HAWAKUMUUA YESU" ndio ushahidi kuwa Yesu hakufa. Wayahudi wanaweza kuwa sahihi kuwa hawajamuua na isitoshe kumaanisha kuwa hakufa. Waliopaswa kuendesha zoezi la hukumu ya serikali(Mahakama) ni watendaji wa serikali(Askari wa taifa lililotawala enzi zile la Rumi ambao walikuwa warumi).

VItabu vya Biblia viliandikwa kwa namna ambayo, waandishi wengine wa dini nyingine, hawatakaa waje na jibu. Wataishia kuibaiba vionjo na kuvisema ktk namna ya upotoshaji sana. Km wale mashetani wanaosikiliza habari za Mbingu kwa mbali kisha wanawahi kuja waambia wanadamu kwa style km wao ndio walikuwa na original idea. Wana wa shetani mpo wengi sana.Ndio nyie mnaiba idea za watu na kwenda kufanya na wasio km nyie mwishowe mnashindwa.Bora mngerudi kwa wenye mawazo na kufanya nao kazi.

Rudini ktk Ukristu unaondwa kwa habari Nyema na sio dini. Hivzo dini ambazo wenyewe wameandikiwa kuwa maelezo zaidi wawaone wakristu hazina haja ya kuzifuata. Ni km kununua vocha ya voda maxi malipo wakati una Mpesa.

Messianic Jews hawatambuliwi na Mamlaka za Israel kuwa ni Jews!. Na hawana haki ya kurejea Israel kwa mujibu wa sheria ya Law of return mpaka kwanza Waachane na Imani yao ya kumuamini Yesu na Wanatakiwa kuconvert tena wawe Wayahudi pure ndo wanaruhusiwa kurejea na kuishi Israel
 
Hizo sehemu za kihistoria za wakristo zipo Maeneo ya wapelistine. Yanayokaliwa na warabu mpaka leo.
Na kama sio warabu kuyahifadhi hao mayahudi wange shayavunja.
Wao hawamtambui yesu .
Wanaokwenda Israel huomba tu visa ya Huko lakini maeneo hayo yapo makazi ya warabu.
Hakafu tukija kwenye siasa... Zitto hupo right , kufungua ubalozi kusiwe na masharti ya kubadili misimamo na siasa zetu.
Adui wa Israel sio adui wetu...na rafiki wetu sio rafiki wetu. Heshima ya kila taifa ndio muhimu
Ningependa sana km ungeweza ukasema pia kuwa wanaochimba gas,Tanzanite leo wawashukuru watz kwa kuwatunzia. Waarabu wameshindwa kutunza sehemu zao takatifu, wanalipua kila kukicha ndio wakalinde za wakristu wanazotaka zifuta? Tabia za Muarabu zimamfanya ajikute anakalia sehemu za kikristu akidhani zitamsaidia kuiambia dunia kuwa yeye ndie ana imani ya kweli yenye misingi na urithi ktk Historia za Uyahudi na Ukristu. Muarabu siku zote ana ubabe wa hadharani ila rohoni na utamaduni wake umekosa sana kujimaini. Kwa taarifa yako, very soon biashara ya palestina imeisha.

Israel ndie kafanya pawe huru kwa watu kutembelea,bila hivyo vikundi vya wapalestina vinavyogombania mapato na harakatiz akigaidi wangekuwa wakiteka watu na kuwaua bila break.

Kuna uwezekano hata Tz inaweka ubalozi Jerusalemu very soon. Kwa hili Magufuli kakafanya kitu kizuri ingawa kutakuwa na fujo na kelele fulani fulani za kipuuzi.
 
Kha! We jamaa mpumbavu kweli, halafu umekurupuka, Zitto ni mfuasi wa siasa za kijamaa za Nyerere, na Nyerere ndie wa kwanza alieopinga Israeli na kuvunja uhusiano. Je Nyerere hakuwa Mkiristo? Acha kutuletea udini mavi hapa! Aliekwambia ukiwa Mkristo lazima uisapoti Israeli ni nani? Ni Wakristo msiojatambua tu ndio mnajipakatisha na Israeli, Acha udini we Pimbi.
Ujamaa + Imani ya Zitto na watu wanaomzunguka. Ni watu akili zao zimeganda ktk chuki dhidi ya Israel.Nchi za kiarabu Tayari zimeshaingia makubaliano mazuri na Israel sisi tunasubiri tumfurahishe nani? Cha kutia huruma ni kwamba Katibu mkuu wa CCM na mtirirko wa wengine waliojificha ktk ujamaa ili kufikisha malengo ya kidini watakuwa na wakati mgumu.Sijui km BUSHIRU atakwendaje na Boss wake aliyevunja ukimya.Wote wana misimamo tofauti dhidi ya Israeli. Sijui itakuweje ktk issue zingine?

Wachambuzi wengi wa UDSM wenye misimamo mikali ya kidini walijificha sana ktk ujamaa kuburuza wengine.Walifanikiwa sana kwa kujipa sifa za Unguli,na kuwa na wafuasi wa kutosha kufanya wengine wafuate mkumbo dhidi ya Israel na US. Ila dunia imewapita haraka sana. Na haya makundi ndio yamefanya UDSM kuwa chuo cha hovyo sana ktk siasa za nchi na Africa kwa ujumla.
 
Tatizo Wapalestina sio waarabu ingawa wengi ni waislam kwa sasa. Waarabu wenyewe wanawaita WAFILISTINE, historia iliyoandikwa kabla ya mataifa km uingereza,marekani,saudi arabia na mengine mengi kuwepo duniani.Inawasema wafilistine walivyokuwa.Sio watu ambao hata waarabu wanawapenda kihivyo.Walikuwa ni watu pori washari na maadui wa Israel .Ndio maana hata sasa Saudi Arabia kaachana na huo upuuzi sasa hivi ni rafiki wa Israel. Historia yote ipo upande wa Israel.Ila UN yenye ushabiki ndio inaendekeza ujinga dhidi ya Israel.

Wengi hamuijui Demographic ya Jamii ya Israel.

Ndani ya Israel ukisikia kuna Waislamu basi ni Arab Israelis

Pia Ukisikia kuna Wakiristo basi nao hao pia ni Arab Israelis.

Myahudi kamwe hawi Muislamu au Mkiristo, Iwapo akiconvert na kuzifuata hizo dini mbili basi Huhesabika siyo Jew tena!.

Kwa hiyo tambua kuna tofauti kati ya kuwa MWANA WA ISRAEL ( kiubini) na kuwa MYAHUDI.

Unaweza kuwa Myahudi kwa kuconvert ktk dini hiyo , kwa mfano Ivanka Trump alivyoconvert, Ivanka ni Myahudi lakini siyo Mwana wa Israel.

Unaweza kuwa Mwana wa Israel na usiwe Myahudi bali ukawa Mkiristo, Muislamu, Mbudha, Mshinto etc. So long as unaweza kutrace uzao wako hadi kwa Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahim.

Sasa wapo Wapalestina kibao ni Wana wa Israel pia ila Siyo Wayahudi, hii ni kwa sababu Waisrael walipopelekwa utumwani babiloni, na baada ya kibano cha Warumi siyo wote walioondoka, wapo waliokuwa vijijini huko milimani waliendelea kubaki. Sasa baadae miongoni mwao waliconvert na kuwa Wakiristo, na centuries nyingi baadae baada ya conquests za waarabu kutoka arabia miongoni mwao waliconvert na kuwa waislamu. Hawa waliendelea na kufuata uislamu hapo Palestine mpaka Wayahudi waliporejea hapo Palestine na kuwafurumusha wenyeji!

Kwa hiyo fahamu leo kuwa Miongoni mwa wapalestina wamo wana wa Israel hslisi kabisi wanaonewa na waisrael wa leo
 
Nyerere alikuwa Muislamu alipovunja uhusiano na Israel?
Nauliza tuu, au alikuwa na sababu nyingine?

Ni mtu mshamba tuu anahusisha kila jambo na udini?
Nani amepinga ubalozi wetu Vatican?
Mwisho mtoa post aelewe Wayahudi sio Wakristo na sehemu kubwa ya historia ya Bwana Yesu Kristu ipi Palestine sio Israel.
Fafanua mzee baba, Yesu yupi huyo!?
 
Nyerere alikuwa Muislamu alipovunja uhusiano na Israel?
Nauliza tuu, au alikuwa na sababu nyingine?

Ni mtu mshamba tuu anahusisha kila jambo na udini?
Nani amepinga ubalozi wetu Vatican?
Mwisho mtoa post aelewe Wayahudi sio Wakristo na sehemu kubwa ya historia ya Bwana Yesu Kristu ipi Palestine sio Israel.

Hawatokuelewa juu ya hili mkuu...jaribu kuwaambia waingie youtube kisha watafute jinsi gani wayahudi wanavouchukulia ukristo pamoja na yesu kisha wajipime akili zao
 
PILATO : Niwapeni Baraba nimwachie mtu huyu?

WAYAHUDI: Hatutaki, tunataka umsulubishe huyo huyo

PILATO: [mshangao/asijue cha kufanya]

WAYAHUDI: Msulubishe tu, damu yake iwe juu yetu na vizazi vyetu!!!!

PILATO : Akanawa mikono!

Hivi kwa kauli za namna hii, utajipendekezaje kwa watu wa aina hii kwa mfano!
 
Nyerere alikuwa Muislamu alipovunja uhusiano na Israel?
Nauliza tuu, au alikuwa na sababu nyingine?

Ni mtu mshamba tuu anahusisha kila jambo na udini?
Nani amepinga ubalozi wetu Vatican?
Mwisho mtoa post aelewe Wayahudi sio Wakristo na sehemu kubwa ya historia ya Bwana Yesu Kristu ipi Palestine sio Israel.
Sasa sisi tunataka Israel msitupangie cha kufanya nchi ngapi za kiislamu zina balozi hapa tz fungeni mabakuli ayenu
 
Back
Top Bottom