Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

vilevile, kuwa na ubalozo na marekani ni kubariki ushoga, na yale yanayofanywa na marekani kusapoti vita vya syria?iraq? afghanistan?....yale yaliyofanywa na kagame, yanayofanywa na kabila etc kuwa nao ubalozi ni kuyasapoti? hivi kwa akili yenu mnafikiri watu wote tunaichukia israel?
wewe unamsukumo wa kidini badala ya siasa, shame to you
 
Kuna maswali mengi nimejiuliza, Zitto bungeni ameongea kulaumu kwanini Tz imefungua ubalozi Israel, lakini hajauliza maswali yafuatayo:-
1. Kwanini Watanzania wengi kila mwaka huwa wanatembelea Israel (kama vipi aiombe serikali ipige marufuku watz kuitembelea israel).

2. Hajajua kama karibia 50% ya watz wanaipenda na kuisapoti Israel hivyo wangependa kuwa na ubalozi. hiki kimekuwa kilio cha wakristo miaka mingi sana, na ni haki yao wakristo kuwa na uhusiano na Israel.

3. Hajajiuliza kama anatakiwa kuwa na balance kwenye dini, kama upo ubalozi wa saudia wanakoenda wao kuhiji maca, kwanini kwetu sisi wakristo hakuna ubalozi wa israel tunakoenda kuhiji. nchi hii si ya kwetu wote, wakristo wanaoisapoti israel na wengine kina zito wasioisapoti.

4.Nimeshindwa kuelewa na kuamini kama hajawa religious motivated, ikizingatia dini yake.

5. Kuna siku maneno hayo aliyoyasema yatamhukumu kama yalivyomhukumu Membe akakosa urais baada ya kujifanya anaiponda israel ili kuwafurahisha baadhi ya watu. Siku ukija kuhitaji kura za ubunge au urais etc toka kwa watu wanaoupenda uhusiano wa kibalozi na israel, utapata jibu tu.

6. Tanzania tumefungua ubalozi, lakini hatujafungulia Jerusalem panapogombaniwa, tumefungulia mji mwingine kabisa.

7. Nchi karibia zote duniani zina uhusiano wa kibalozi, sisi tz sio kisiwa kwamba tujifanye tunapigania maslahi ya wapalestina leo, haitaleta effect yeyote, ni bora tu kushirikiana ili kuchuma matunda toka kwao kuliko kuyakosa kabisa.

nimetoa yangu ya moyoni dhidi yako wewe zitto.
Sio kweli asilimia 50 wanaipenda Israel, tupe ushahidi! Halafu suala Israel sio la udini ni suala la haki, Israel inakanda miza wanyonge kama Palestina, ina pora ardhi, hivyo ichi isio heshimu haki za binadamu haifai kuungwa mkono, kwa Israel imelaaniwa kwa Mungu na dunia nzima, soma Bible na Qur’an
 
Hajiulizi kwa nini Serekali ya kiislamu ya Iran ina balozi Vatican.Zito ana siasa za kidini za kjahidina za kizamani.2020 atapata jibu lake
Vatican haijapora ardhi kuunda taifa. Pia haijafanya mauwaji ya halaiki kama Israel, dini sio uadui,
 
Kuna maswali mengi nimejiuliza, Zitto bungeni ameongea kulaumu kwanini Tz imefungua ubalozi Israel, lakini hajauliza maswali yafuatayo:-
1. Kwanini Watanzania wengi kila mwaka huwa wanatembelea Israel (kama vipi aiombe serikali ipige marufuku watz kuitembelea israel).

2. Hajajua kama karibia 50% ya watz wanaipenda na kuisapoti Israel hivyo wangependa kuwa na ubalozi. hiki kimekuwa kilio cha wakristo miaka mingi sana, na ni haki yao wakristo kuwa na uhusiano na Israel.

3. Hajajiuliza kama anatakiwa kuwa na balance kwenye dini, kama upo ubalozi wa saudia wanakoenda wao kuhiji maca, kwanini kwetu sisi wakristo hakuna ubalozi wa israel tunakoenda kuhiji. nchi hii si ya kwetu wote, wakristo wanaoisapoti israel na wengine kina zito wasioisapoti.

4.Nimeshindwa kuelewa na kuamini kama hajawa religious motivated, ikizingatia dini yake.

5. Kuna siku maneno hayo aliyoyasema yatamhukumu kama yalivyomhukumu Membe akakosa urais baada ya kujifanya anaiponda israel ili kuwafurahisha baadhi ya watu. Siku ukija kuhitaji kura za ubunge au urais etc toka kwa watu wanaoupenda uhusiano wa kibalozi na israel, utapata jibu tu.

6. Tanzania tumefungua ubalozi, lakini hatujafungulia Jerusalem panapogombaniwa, tumefungulia mji mwingine kabisa.

7. Nchi karibia zote duniani zina uhusiano wa kibalozi, sisi tz sio kisiwa kwamba tujifanye tunapigania maslahi ya wapalestina leo, haitaleta effect yeyote, ni bora tu kushirikiana ili kuchuma matunda toka kwao kuliko kuyakosa kabisa.

nimetoa yangu ya moyoni dhidi yako wewe zitto.
Ngoja

Kuna vingine umeandika vizuri na kuna vingine umekosea,ngoja nikujibu kimoja baada ya kingine

1.Watanzania wengi kwenda israeli- nadhani inaweza kuwa ni hoja ya Tanzania kuweka ubalozi wetu kule na wao kuweka wao kwetu hapa ni kama vile watanzania wengi wanavyokwenda China kibiashara au Saudi Arabia kidini so kuweka ubalozi ni kurahisisha movement za watu tu na sio sababu za kidini!

2.Hajajua kama karibia 50% ya watz wanaipenda na kuisapoti Israel- Hapana hii si kweli kabisa mkubwa hii nadhani umeweka tu kijumla jumla na nadhan umedhani kila mkristo anaipenda na kuisapoti israel jambo ambalo sio kweli watu wengi wameanza kuujua uhalisia wa hili taifa fake la israeli matendo yao ya mauwaji kwa wapalestina na waarabu sio ya kuwapa sapoti na kwann tuwape sapoti watu wasiotupa sapoti sisi kwanini tusiwape sapoti nduguzetu wa jirani hapa kama congo drc,burundi nk tukimbilie mashariki ya kati eti na sisi tunawasapoti israeli!!! wewe umewahi wasikia israeli wanatusapoti sisi?? it should be "MUTUAL" na sio kujipendekeza

3.Balance kwenye dini- Hii naweza kukubaliana na wewe ila lisiwe kisiasa sana ingefaa ungesema kuwa tunatakiwa tuwe na misimamo ya kutokufungamana na upande wowote na nadhani hii ndio ilikuwa hoja ya Mwalimu Nyerere kwa miaka mingi

4.Religious Motivated-Si-kweli kwamba kachochewa na imani yake ya kidini ni sawa leo hii wabunge wa dini ya kiislam wasichangie kuhusu ule waraka wa maaskofu kisa tu ni wa dini nyingine!,zzk kaongea kama mtanzania mwingine na hakuna swala la dini hapo na wala sijawahi kumsikia akisema anaipenda na kuiunga mkono Saudi Arabia eti kisa tu kule ndiko uislam ulikoanzia! si ajabu akienda huko akabaguliwa tu kama mtu mweusi kama vile waisraeli (wayahudi) wanavyobagua watu weusi kwenye inchi yao!!

5....Yatamhukumu...-Kwahiyo kusema mtazamo wako dhidi ya israel unahukumiwa na watu wanaoipenda israeli??? kwahiyo sisi au wanao chagua mgombea wa ccm wanaangalia kigezo cha kuipenda israel pia katika kuchagua?? hii point yako ya 5 ndio iliyonifanya nikujibu hoja zako zoote! hii si kweli kabisa na "it's not a big deal kwetu sisi kuipenda au kutokuipenda israel" ni watu tu waliokuwa brainwashed to the maximum ndio wanaweza kufikiria kama wewe hivyo

6....Ubalozi mji mwingine...-Hii ina ukweli kwamba Tanzania imefungua ubalozi israel mji ambao hauna mtafaruku wa kimataifa kwa lengo la kuwasaidia watanzania wanaoishi au kwenda kule thats fine na pia tunatakiwa kujua kwanini mataifa mengi hayakuwa yanaweka ubalozi mji wa Yerusalemu??,nikwakuwa ule mji unahesabiwa kuwa wa wapalestina na wayahudi at the same time so ukienda kufungua pale Yerusalemu unamaanisha kuwa unaitambua Yerusalemu kama mji wa israeli pekee na sio shared na wapalestina wakati sheria za kimataifa zinasema hivyo

7.Nchi karibia zote duniani zina uhusiano wa kibalozi- Hii nikweli ila isiwe sababu pia ya kuwatenga wapalestina tunatakiwa tuwe nauhusiano wa kibalozi na israeli kwa uhusiano unaojali haki za binadamu kama vile tulivyo na uhusiano wa kibalozi na mataifa mengine na sio kushabikia kile israeli inachokifanya kinyume na haki za binadamu,tutakuwa mazuzu kushabikia kila lifanywalo nao iwe baya au zuri

Nimalizie kwa kukupa link hii hapa

Uhalisia wa taifa la Israeli

niliwahi andika kuhusu uhalisia wa taifa la israel hapa ambalo wewe unalishabikia pasipo kulijua,chukua muda wako soma kwa makini bila ya kuwa na Fikra mgando ambayo ukashindwa hata kuchambua nilichoandika ukabaki na ushabiki wa kidini usio na tija kama wale Mafarisayo wa kile kipindi cha Yesu.
-
 
mdini sana huyu apotelee mbali
Eti ana ndoto kuwa rais labda rais wa mwandiga siyo Tanzania
Tafuta kazi nyingine siasa za ujanja janja si kwa Magufuli
 
zitto aombe radhi, aepuke agenda za kidini, awe makini wakristo na marekani wanasupport Israel achange vema karata zake za siasa
Mimi ni Mkristo lakini usiniingize kwenye upumbavu wa Netanyau na Trump tafadhali sana speak for urself. Huna kibali cha kutuongelea Wakristo wala hata Askofu wangu wa jimbo la Dar Policaply Kardinali Pengo hana kibali hicho pia.
 
Tatizo letu sisi wakristo tunajua kwamba waisraeli ni wakristo, na kwamba yesu nae alikua ni mkiristo , na sijui kwa nini atuambiwi ukweli
Unataka uambiwe ukweli upi wakati vyote vipo kwenye maandiko na vitabu vya kuaminika vya kihistoria? Soma, soma, soma.
 
Kwani kuna tofauti ya myahudi na mkristo anaeishi israel kiimani?
Uyahudi ni dini na Ukristo ni dini.

Kama una akili timamu utajuwa hawa ni watu wana imani mbili tofauti kabisa.

Mikristo njaa ya huku Afrika ndio inajipendekeza kwa hawa Mayahudi, lakini vijana wengi wa ulaya walishashtuka na hawaendi tena makanisani.
 
Tatizo letu sisi wakristo tunajua kwamba waisraeli ni wakristo, na kwamba yesu nae alikua ni mkiristo , na sijui kwa nini atuambiwi ukweli
Labda ni wewe tu unajua wayahudi ni wakristo (japo asilimia ndogo ni wakristo) Biblia ipo clear kabisa wayahudi hawakumwamini Yesu na hata kutomwamini kwao hiyo haitushangazi kwa maana iliitabiriwa. Kasome Biblia na usije tena kuleta hoja nyepesinyepesi humu
 
Ndio kristo mwenyewe huyo.....sisi "wa" ndio tunafuata mafundisho yake haijalishi alikuwa kabila gani.

Kama Yesu ni Kristo basi hakuwa Myahudi, maana kwenye Uyahudi Kristo hajawahi kuja duniani!

Na kanuni ya Wayahudi ni moja, Ni bora uwe huamini Mungu wataendelea kukuona na kukuhesabu kuwa ni Myahudi mwenzao ( kwa nasaba), lakini ukishawaletea habari za Ukiristo au Uislamu au dini nyingine yoyote tofauti na Uyahudi , basi Uyahudi wako unaishia palepale, hata kama unaweza kuprove kuwa wewe ni mtoto wa Yuda mwenyewe mwana wa Yakobo!
 
1. Yesu alikuwa myahudi hilo halibishaniwi sehemu yoyote labda uniambie huyo " ISSA BIN MARIAM" wenu alikuwa mwarabu.

2. Kuna tofauti kubwa kati ya yahudi kama kabila na yahudi kama dini sio kila myahudi anafuata dini ya uyahudi

3. Yesu alizaliwa miongoni mwa wayahudi kama kabila na alikuwa anawerekebisha baadhi ya mafundisho yao (si yote) na hawakupendezwa naye kwa sababu mafundisho yao yaliambatana na mila na desturi zao na alikuwa anatenganisha kati ya mambo ya kimila ya kiyahudi na mambo ya kiimani jambo ambalo mpaka leo dini za asili ya midle east zimeshindwa kutenganisha na watu wanafuata mamila ya kiarabu ama kiyahudi wakidhani ndio wanamfuata Mungu

4. Yesu hakusema amekuja kuanzisha dini wala hakujenga kanisa (phisical zaidi alitengeneza kanisa spiritual kupitia kwa Petro) , wala hekalu wala msikiti ila alitumia zilizokuwepo na kuwapa mafundisho safi ambao sisi tuliyoyakubali mafundisho yake ndio wake Kristo
 
Labda hujui Tafsiri ya Mtu kuwa Myahudi kwa mujibu wa sheria za nchi ya Israel!

Myahudi ni yule aliyezaliwa na mama wa Kiyahudi, AU mfuasi wa Dini ya Kiyahudi LAKINI Ikitokea mtu akawa amezaliwa na mama wa Kiyahudi lakini akabadiri dini na kufuata dini nyingine tofauti na Uyahudi huyo mtu huhesabika kuwa si Myahudi!.

Sasa tukirudi kwa Yesu, ni kweli alizaliwa na mama wa Kiyahudi lakini JE ALIKUWA MUUMINI WA DINI YA KIYAHUDI?, Kama alikuwa si Muumini wa Dini ya Kiyahudi basi kwa definition ya leo huko Israel inayohusu kwamba Myahudi ni mtu wa namna gani, basi Yesu siyo Myahudi!.

Maandiko ya Kitalmud ya Wayahudi yanadai Yesu ni Messiah wa Uwongo na mtu mmoja aliyekuja na Doctrine zake kuwapoteza Wayahudi!. Kwa hiyo hata Kidini mamlaka za KiRabbi hazimtambui Yesu kuwa muumini wa Dini yao ya Kiyahudi!!.

Marekani kuna watu wanajiita "Messianic Jews". Hawa ni watu wenye asili ya Uyahudi lakini wanamtambua Yesu kama Messiah. Guess what!!!. Mamlaka za Israel haziwatambui watu hawa kama ni Wayahudi!!. Watu hawa kwa mujibu wa sheria hawana haki ya kurejea Israel kuishi kwa mujibu wa ile sheria ya ( law of return)!!

Hivi Mpaka hapo hujaona bado kuwa Yesu hakuwa Myahudi?.
 
Wewe ndie unachanganya mambo kwa sababu mosi, hufahamu msingi hoja ya Zitto Kabwe ni nini na pili, inaelekea wewe ndie unaesumbuliwa zaidi na gonjwa la udini!!!

Lau kama hoja hii hii ya Zitto ingeletwa, for instance, na John Mnyika, wala msingeleta simulizi za udini kwenye huu mjadala!!

Unyonge anauzungumzia Zitto Kabwe ni unyonge wa taifa moja dhidi ya taifa lingine... kwamba, taifa moja kulikalia taifa lingine kimabavu!!! Na ndio maana, ilipofika suala la Morocco, Zitto huyo huyo alisema: Suala la upingaji huo pia liliripotiwa na gazeti la The Citizen:
View attachment 791239

Hapo juu ni habari ya October 2016!!

Lakini hata ukisoma gazeti la Mwananchi la May 24, 2018; utakuta Mwananchi limenukuu msimamo ule ule wa Zitto Kabwe kuipinga Morocco!

Now tell me... Israel anaipinga kwa sababu yeye ni Mwislamu na Israel ni taifa la Kiyahudi na pia ndiko alikozaliwa Yesu na kwa maana hiyo ana chuki na Wakristo!! Je, anavyopinga ukandamizaji wa Morocco ambayo ni nchi ya Kiislamu ni kwa sababu ya nini?!

Narudia... hapa tunazungumzia unyonge kati ya taifa moja dhidi ya taifa lingine!

Mwalimu Nyerere na viongozi kadhaa duniani walivunja uhusiano na Israel kwa sababu Israel ilikuwa inaikalia Palestina lakini hawakuvunja uhusiano na mataifa kadhaa ambayo yalikuwa yanakandamiza raia wake!!

Mwalimu Nyerere na viongozi kadhaa wa Afrika walivunja uhusiano na Morocco kwa sababu Morocco ilikuwa inaikalia West Sahara kwa mabavu lakini hawakuvunja uhusiano na tawala kadhaa za kijeshi barani Afrika zilizokuwa zinakandamiza watu wake!

Hapa tunazungumzia UHUSIANO WA KIMATAIFA... Uhusiano kati ya taifa na taifa!! Kinachotokea Burundi ni migogoro ya ndani ambayo ina namna yake ya ku-handle kulingana na sera ya nchi husika and of course, kutegemeana na makubaliano ya jumuiya mbalimbali kama vile UN, AU, SADC n.k!
Asante kwa kumtetea kwa juhudi kubwa kiongozi wako..ingawa nina shaka pengine ni zito ndio kanijibu hapo juu.Sasa nakushauri mr.zito achana na mambo ya israel..huyawezi.ule ugomvi wa maelfu ya miaka mtu kama zito hutauweza.ule ni mgogoro wa kidini na si wa ardhi.Ninachoshangaa kuna matatizo kibao ya wakulima tanzania unayaruka na sasa eti unataka kutatua shida za yerusalem.
 
Back
Top Bottom