Zitto Kabwe kufanya Mkutano wa siasa Kigoma

Mkuu endelea kutofautisha kati ya mikutano ya ndani na mikutano ya adhara .Mbunge anaruhusiwa kufanya mikutano ya wazi, ila chama hakiruhusiwi mikutano ya wazi ila wanaruhusiwa mikutano ya ndani.
Kwa chadema hata wakifanya hivyo polisiccm watawatafutia kisingizio feki wavunje mkutano na kwenda kuwapima mkojo
 
Mtukufu malaika wa chato hataki mikutano ya chadema kabsa polisiccm wote wamepewa Amri toka juu wawapime mikojo pindi wakifanya mikutano yao.
 
Vijana WA cdm wamekua kama vile wanyama waporini. Wao wamefundishwa kufa Na Zito tu kila alifanyalo Zito kwao in nongwa. Wanataka Zito ndio kama walivyo wakina mbatia

Zito anachama chake kina falsafa tofauti Na yenu pumbavu zenu
 
Vijana wa ccm wamefundishwa utaahira kukenua kenua basi.
 
Ahsante!

Ujinga ni pale unaposhindwa kuelewa kitu.

Hakuna sehemu niliposema Mikutano ndani ya jimbo kwa Mbunge husika imezuwiwa, hiyo maana ni yako.

Unaposoma kumbuka kubaini aina ya sentensi kwani sentensi zingine huwa ni tungo tata.
Umeshangaa Zitto kufanya mkutano jimboni kwake.Nini kilichokufanya useme why Zitto afanye mkutano Kigoma,wakati mikutano imekatazwa?
 
Vijana WA cdm wamekua kama vile wanyama waporini. Wao wamefundishwa kufa Na Zito tu kila alifanyalo Zito kwao in nongwa. Wanataka Zito ndio kama walivyo wakina mbatia

Zito anachama chake kina falsafa tofauti Na yenu pumbavu zenu
wewe ndiyo pumbavu mkubwa zito ana chama gani cha Upinzani? ACT ni tawi la CCM zito ni CCM hana lolote ni mnafiki mkubwa anajua akiwa mpinzani atapimwa mkojo ndiyo maana kakomaa CCM huko huko.
 
Umeshangaa Zitto kufanya mkutano jimboni kwake.Nini kilichokufanya useme why Zitto afanye mkutano Kigoma,wakati mikutano imekatazwa?
Kumbe wewe siasa inakuchanganya, hujui hii ni njia moja wapo ya kuutangaza huo Mkutano?

Na kupiti hii, kuna watu hapa sasa wamefahamu kuwa kesho Zitto atafanya Mkutano na waliopo karibu wataenda.
 
Umeshangaa Zitto kufanya mkutano jimboni kwake.Nini kilichokufanya useme why Zitto afanye mkutano Kigoma,wakati mikutano imekatazwa?
Zito ni kama Lipumba wote ni vibaraka wa CCM hawafai hata kidogo
 
Kuna sheria ya kumzuia kufanya siasa kwenye majimbo tofauti na la kwake!!
Sheria haipo kwenye katiba isipokuwa kuna Sheria binafsi ya kidikteta iliyotolewa na Mtukufu malaika wa chato ndiyo polisiccm wanaitumia sasa kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi na uonevu wote.
 
acha aongee na wananchi wake
Zito ni mnafiki sana ujue hata nyumba anazoishi ni za CCM akiwa Dsm anaishi Masaki kwenye nyumba aliyopewa na Dau wa NSSF ikiwa ni Rushwa amtetee dhidi ya ufisadi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni pia akiwa Dodoma anaishi kwenye nyumba ya Hemlod mkono wa CCM pima hapo utajua Zito ni mtu wa Aina gani?
 
kwani wewe unahitaji misaada,mbona mfalme wako magufuli alisema hataki misaada,pia uache kupotosha Lissu alisema tusipewe misaada inayotumika kukandamiza demokrasia
Unaweza ukanitajia baadhi ya misaada inayotumika kukandamiza demokrasia?????
 
Unaweza ukanitajia baadhi ya misaada inayotumika kukandamiza demokrasia?????
Pesa zote zikija Tanzania magufuli anazichukua na kumpatia Lipumba na Madalali wa siasa huko CCM kudhoofisha upinzani pia zingine anawapa polisi na majani wawakomoe Wapinzani mahakamani na huko rumande.
 
Zitto Kabwe kupitia Akaunti yake ya Twitter amewatangazia Watanzania na Wananchi wote waliopo Kigoma kuhudhuria Mkutano ambao utafanyika kesho siku ya Jumaanne Kigoma Mjijini.

Kufuatia Tangazo hilo la Mkutano, baadhi ya watu wamejiuliza bila kupata majibu kama; Mhe. Zitto ameruhusiwa kufanya Mkutano huo?

Ikumbukwe kwamba Mikutano hii ya siasa iliziwiwa.
Haijakatazwa kufanya mikutano. Kama wewe ni Mbunge wa Kinondoni fanya mkutano kinondoni. Kama ni Same fanya Same. Mnapotosha sana watu nyie. Mbunge, diwani wanafanya mikutano kwenye majimbo na kata zao. Hawakatazwi.

Havome
 
mbunge anaruhusiwa kufanya mkutano kwenye jimbo lake ndo maana juzi Tundu Lissu alifanya jimboni kwake akaomba dunia iungane kuinyima misaada ya kibanadamu Tanzania
Mkiambiwa na TWAWEZA kuwa ni wajinga mnabisha!
 
Back
Top Bottom