Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,569
Nimejibu kwa mujibu wa Presidential order na fafanuzi zilizotolewa baadayeYani bila aibu unaandika kabisa eti Wabunge wanaruhusiwa ....bla bla bla? Hivi hiyo ni sheria ya mwaka gani na ni kifungu kipi? Kwahiyo vyama visivyokuwa na wabunge au chama kitakachosajiliwa leo au kesho kitapataje wafuasi na wanachama kama mikutano ya kisiasa ni ruksa kwa wabunge na madiwani tu?
Ndiyo hayo aliyoyasema Halima Mdee....kuwa sasa ni rasmi kuwa kauli ya Rais ndiyo sheria...hakuna cha katiba wala nini. Na ndio maana akasema hata akisema kesho watu wote mtembee watupu mtatii tu. Kisa? Rais kasema.
Pathetic!