Zitto Kabwe: How we lost USD 308m as Tax Revenue from sale of Zain Africa Assets in TZ to Airtel

Who cares? Watanzania wanajua juu ya serikali waliyoichagua; sijui kama kuna mtu kweli anashtushwa na taarifa kama hii. Sheria imepitishwa na wabunge wa chama tunachokijua na kulalamikiwa juu ya loophole haikuanza leo na Zitto mwenyewe hakuanza kuinyoshea kidole sheria hii mwaka huu! Kama watu walichagua serikali hii iweje washtuke na matokeo yake. Yaani walikuwa wanapanda kwa furaha miiba ambayo ilikwishawachoma leo wanageuka kuuliza "uliko ompunga"?
 
Where is Kikwete??

rais4.png
 
Wote mliochangia hii hoja,naomba niwaulize.Hata Zain wangelipa hiyo kodi ingefanyiwa nini?Mi kila mwezi nalambwa hela nyingi kwemye mshahara wangu,kampuni yetu inalipa billions of taxes kila mwezi,ila kila kukicha heri ya jana.Je Zain wangelipa hiyo capita gain tax kungekua na mabadiliko gani tofauti na hivyo sasa?
 
masikini tanzania, sijui hali hii itakoma lini/ na wasomi tunaona kila siku kwenda semina ulaya, lakini watu wanatuibia kwa njia za mikataba na kukwepa kodi kila siku

Sera mbovu, maslahi binafsi ya viongozi wasiojali uzalendo ndo chanzo cha yote! Watalaam wanaowekwa wapo ki maslahi na influence ya kisiasa! Bado hatujapata Serikali inayowatumia watalam wake ipasavyo! Tax-holday imekuwa mwanya tosha wa kukwepa kodi!
 
Who cares? Watanzania wanajua juu ya serikali waliyoichagua; sijui kama kuna mtu kweli anashtushwa na taarifa kama hii. Sheria imepitishwa na wabunge wa chama tunachokijua na kulalamikiwa juu ya loophole haikuanza leo na Zitto mwenyewe hakuanza kuinyoshea kidole sheria hii mwaka huu! Kama watu walichagua serikali hii iweje washtuke na matokeo yake. Yaani walikuwa wanapanda kwa furaha miiba ambayo ilikwishawachoma leo wanageuka kuuliza "uliko ompunga"?

Haya mambo hayafanyiwi kazi kwa sababu Zitto anatumika, anakuwa fed na huu upuuzi wanaoufanya, wakijua kwamba atauelezea katika namna isiyokuwa na impact yoyote ile.

Zitto anatakiwa kuchunguzwa.
 
Back
Top Bottom