KISAKA MORIS
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 372
- 33
Hayo huwa hayakosekani, Zitto kaza buti.
acheni ushabiki.zitto ni mbinafsi mbona hakushirikisha viongozi wenzake.
mlidhani jk atakurupuka amewapotezea mazima
Norway wameshajitoa kusaidia miradi kama mitano tz sababu ya misuse of fund. Aibui wish norway could see how their their aids to tz is mishandled.
waache kusaidia budget hakuna maendeleo
others donors also should withdraw from aiding tz
kama walimtuma zito poa tu kwani hakuna transparency serikalini na wizi umekithiri
JK kaipotezea na familia yako sio sisi tu kama wewe tu umepona wewe tu kutuletea habariacheni ushabiki.zitto ni mbinafsi mbona hakushirikisha viongozi wenzake.
mlidhani jk atakurupuka amewapotezea mazima
Acha umbea Zitto mwenyewe kakiri ni pressure
Zito ni kilaza tu pe pe pe peeee nyiiiingiiii kumbe doch!!
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.
"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, I acted alone I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway.
Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?
Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)
Acha umbea Zitto mwenyewe kakiri ni pressure
acheni ushabiki.zitto ni mbinafsi mbona hakushirikisha viongozi wenzake.
mlidhani jk atakurupuka amewapotezea mazima