Yangu machoo,mabadiliko ya mtazamo wa ccm ya kutaka kuendelea kutawala nchi kifisadi yaweza tokea saa yoyote Mungu akitaka hata kama katiba ya nchi atatunga jk mwenyewe.Si dhani kama ccm ndio wananguvu zaidi ya Ghaddafi lakin aliishia kufa kifo cha mbwa mwizi.Mungu tazama watu wako TZ tunakulilia.