Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

Duh si mchezo, binafsi nilihisi toka zamani kuwa Kuibuliwa na kufanikiwa kwa Maazimio ya bunge dhidi ya ESCROW kuna brainpower kubwa sana nyuma yake.

Viva Kafulila
Viva Zitto
Viva Marehemu Deo
Viva Kigwangwallah
Viva Mpina
Viva Lissu
Viva Mbowe
Viva Lugula
Viva Makinda
Viva Anna Kilango Malecela
 
Mkuu tumia tu akili ya kawaida,,inakuwaje unaiquote thread ndefu namna hiyo? Mnatuchosha wenzenu tunapotaka kuona michango ya watu humu
Hili la Uvivu wa kusoma andiko lefu ndilo lilitufikisha hapa kwa kushindwa kusoma Mikataba na kuipa baraka bila hata kujua nini kimeandikwa. Watanzania tuache Uvivu tuwe detailed?
 
ZITTO, YOU ARE HERO.
Ni ngumi kwa mtu wa kawaida kujitoa kafara as what you and your team did.

Kungekuwa kuna kampuni mbili zinashindana, obviously watu wangesema umepokea pesa pande pinzani.

BIG UP ZITTO AND YOUR TEAM.
Magufuli anameza kile mlichotafuna nyinyi.
Najua umesoma uzi wote na umeuelewa.
Ninauhakika hujaona jambo hili:-

Zitto ana leak information ili kujaribu kum convince magufail ampe uwaziri (ile nafasi iliyo wazi)

Lakini ni mwendelezo wa tabia ya ujivuni, makidai na madharau.

Amekumbuka jambo moja tu! Kumficha "dau" kwenye andiko lake.
 
wivuuuuu....inaumaaaaa

pole

hakuna uwezekano huo, katiba hairuhusu wala magu hawezi

pole yako kwa kuwa fictioner
 
To be Honestly, Nimejifunza kitu kupitia hili andiko la Ndugu Yangu Zitto na kupitia hoja za Wadau humu Ndani. Kusema Ukweli Watanzania karibia asilimia 75% ni waavivu wa Usomaji na hii imepelekea hata wale tunaowachagua kutuwakilisha kwenye Makubaliano ya Kimataifa wanatoka kwenye hili kundi la uvivu wa kusoma mwisho wa siku kwa kuwa ni wavivu hawajua ni vipengele gani kwenye makubaliano vya kimataifa vina umuhimu na huwa vinawekwa ukurasa wa ngapi kwenye Mikataba.

Nimeshiriki kwenye uchanganuzi wa Mikataba fulani fulani nikiwa Mtwara hasa ya wadau wa gas, Aisee Wanzania ni Wavivu...

Mfano Humu kuna wanaolaumu kuwa Huu Uzi ni Mrefu sana Maana yake kuna mtu hakufika hata katikati ila amependa kukimbilia kuangalia michango ya watu ili ajua kwenye huo Uzi kulikuwa kunaongelewa nini?

Wito, Tuache kuwa wavivu , Tupunguze short Kati, Tujaribu kupenda detailed Informations. Kwa Trend hii na aina ya Watu kama hawa ambao wamediriki hata kutukana humu tusitegemee kusonga Mbele.

TUBADIRIKE.
 
Ni nani aliyempangia safari ya Paris Job Ndugai??????Tuanzie hapo!!!
NB;Kwa wale waliosoma na kuelewa!
 
Sasa shangaa mizuzu ilivyohamishwa kutoka makinikia mpaka sethi na ruge ambao ni private citizens na hawakuwa kwenye chain ya decision making process, hawa walikuwa njia tu au km ile kesi ya maigizo ya mahalu na mkapa na sasa kikwete na hawa wazee.

mkuu hiyo chain itasemwa mahakamani, hiyo ni starting point.....vitu haviendi hivyo

unaruhusiwa kuwa na chuki...ila usiweke chuki mpaka upumbavu wako ukaonekana
 
To be Honestly, Nimejifunza kitu kupitia hili andiko la Ndugu Yangu Zitto na kupitia hoja za Wadau humu Ndani. Kusema Ukweli Watanzania karibia asilimia 75% ni waavivu wa Usomaji na hii imepelekea hata wale tunaowachagua kutuwakilisha kwenye Makubaliano ya Kimataifa wanatoka kwenye hili kundi la uvivu wa kusoma mwisho wa siku kwa kuwa ni wavivu hawajua ni vipengele gani kwenye makubaliano vya kimataifa vina umuhimu na huwa vinawekwa ukurasa wa ngapi kwenye Mikataba.

Nimeshiriki kwenye uchanganuzi wa Mikataba fulani fulani nikiwa Mtwara hasa ya wadau wa gas, Aisee Wanzania ni Wavivu...

Mfano Humu kuna wanaolaumu kuwa Huu Uzi ni Mrefu sana Maana yake kuna mtu hakufika hata katikati ila amependa kukimbilia kuangalia michango ya watu ili ajua kwenye huo Uzi kulikuwa kunaongelewa nini?

Wito, Tuache kuwa wavivu , Tupunguze short Kati, Tujaribu kupenda detailed Informations. Kwa Trend hii na aina ya Watu kama hawa ambao wamediriki hata kutukana humu tusitegemee kusonga Mbele.

TUBADIRIKE.
Ondoa fikra kichwani mwako kuwa wenzio ni bogus, narudia tena Ondoa!
Dharau inalitafuna taifa hili kuliko simba anavyotafuna minofu huko Tarangire.

Umedokeza kuwahi kupitia mikataba ya gesi, sasa mikataba yenyewe inalalamikiwa kila kona!? Wewe unayejisifu kusoma nini kilikushinda usiifanye iwe na manufaa kwa ndugu zako japo wavivu kusoma! Au ndio umewakomoa kwa kuwauza?

Ukipata wazo la uhitaji wa mabadiliko unachopaswa kufanya unaanza kubadilika.

Mwenzako asiposoma wewe ukisoma usianze kuhisi umeonnewa au kuachiwa mzigo peke yako.
 
Mkuu Mfano wangu umelenga hasa kwenye hili Andiko la Ndugu yangu Zitto ambalo hata page mbili halina inakuwaje mtu alalamike kuwa ni lefu?

Nuilichokiongelea ni Mikataba inayonihusu mimi kwenye wadau wa Gas siyo Mikataba inayohusu Taifa kwenye Gas. Kwa hiyo unatakiwa ujue touchup zangu zinalenga nini..

Mfano ukifuatilia comment zangu humu kuna mtu amekuja na kunitukana kisa tu nimesema nimesoma yote na kuquote hii thread, Ebu Muulize kilichomfanya aje na matusi kama ulivyokuja wewe nini kama siyo Uvivu?

Tubadilike .... Na ukikosolewa kubali kukosoleka.
 
mkuu hiyo chain itasemwa mahakamani, hiyo ni starting point.....vitu haviendi hivyo

unaruhusiwa kuwa na chuki...ila usiweke chuki mpaka upumbavu wako ukaonekana

Asante na I wishi wote tungekuwa na uelewa unao fanana na wa Kwako.. Ni Kweli huwezi kwenda beba watu wote waliohusika kwenye issue nzima at once........... Sijui why tunakuwa wepesi wakuhukumu hivyo...

Thanks Brother
 
mkuu hiyo chain itasemwa mahakamani, hiyo ni starting point.....vitu haviendi hivyo

unaruhusiwa kuwa na chuki...ila usiweke chuki mpaka upumbavu wako ukaonekana
Ukishtakiwa kwa Murder, kesi itasikilizwa kwa makini kutafuta kuuona ushahidi wa murder, Ikibainika kupitia ushahidi kuwa ni kweli uliua lakini sio kwa kukusudia mahakama haikubadilishii shitaka bali inatoa hukumu kwa shitaka ulilofikishwa nalo mahakamani.

Utaachiwa huru kwa kuwa wewe hukuua kwa kukusudia kama wanavyokushitaki.

Washitaki wako wataambiwa "hii ni manslaughter"

Wala mahakama haiongezi mshitakiwa maana yenyewe haishitaki.

Wenye mamlaka ya kuzuia na kulinda hela zetu zisiibiwe ndio wamewapa Sethi na Ruge hizo hela!!

Ruge hakwenda na bunduki kuchukua hela bank. Wakati anachukua hela takukuru ilikuwepo wala isizuie.

Sheria za usimamizi wa fedha ndio zinaweza kutupatia wahalifu wetu.
Kina Habinda ni makuli tu!!

Wangekuwa sii makuli mbona hawajagawa tena hela kama wakati ule!! Aliyewatuma kubeba hela hajawatuma tena.
 
Nimemuelewa wajinga watabisha hasa ccm
Mnaharibu majadiliano kwa kuwa provoke watu!!!

Yes umemuelewa magnify ulichokielewa ili hata wenye uelewa wa polepole waweze kufaidika na jambo zuri linalohitaji ubora fulani wa akili/uelewa kama unapendekeza kwenye jibu lako la msingi.
 
huwa nampinga Zitto ila katika hili nampa big up ,ameandika maandiko vzr saaaaaana,Z big up sana bro,wema wako ,ushujaa wako ipo siku utaonekana na dunia itakuelewa japo una matatizo yako ila 70% uko vzr tuache 30%
 
Duh si mchezo, binafsi nilihisi toka zamani kuwa Kuibuliwa na kufanikiwa kwa Maazimio ya bunge dhidi ya ESCROW kuna brainpower kubwa sana nyuma yake.

Viva Kafulila
Viva Zitto
Viva Marehemu Deo
Viva Kigwangwallah
Viva Mpina
Viva Lissu
Viva Mbowe
Viva Lugula
Viva Makinda
umesahau the citzen mkuu pia mtanzania,Hosea na yule jamaa wa TRA
 
Back
Top Bottom