Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

KWA MWENDO HUU ZITO ANAKUJA KWA KASI SNA KUIJENGA CHAMA CHAKE YUPO KAMA MALEMA.CHADEMA IMESINZIA SNA TENA KWENYE ISHU NZITO KM HII WAPO KMYA.NAKOSA IMANI NAO
Chadema ni majizi.
 
Yule nafsini mwake amekataa kuwa ndondocha la magu.
 
Ni kweli.

Ubabe wao wakupoteza wanahoji ukweli unakweta mwisho.
 
Hivi mnakumbuka tukio lililomkuta Mudhihir Mudhihir na Agnes Mbatia? ZZK ni Mwami...sio mtoto mdogo vile vidoti usoni ukiweza kuvihesabu viko vingapi ndio unaweza kummliza huyu bwana...otherwise sahau.
 
Huyu si anawazilinzi hata wa kuua sisimizi ya nini preemptive measures? "Amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa."
 
Tunahitaji walinzi wa bunge kama hawa,mbunge akileta uzushi wanang'ang'ania kor*dani mpaka zinavimba,kama Malema alipoleta uzushi.
 
Cag kaweka cd afu kabonyeza play tunaokata mauno ni sisi
 
Zito ajilinde Mwenyewe,kama kuna mtu aliyedhoofisha upinzani nchi hii basi ni Zito,na lazima alipe gharama ya usaliti wake,mpaka awamu hii ya jiwe iishe Zito atakua ashalipa gharama za usaliti aloifanya kipindi cha JK.
Well said
Yaani nashangaa mpaka sasa hivi watu wengine hawajamuelewa Zitto!
Na hiyo ni tabia yake si rahisi kuicha walahi nakwambia!
 
D
Duh, Mkuu na wewe ni mmoja wa malaika?
 
nimesikia mnuarwanda kesharatibu tayari
Mungu mlinde mtetezi wa kodi zetu, ZITTO RUYANGWA KABWE.
 
Atalindwa na nani?
 
Alshababy mje umtusaidie uonezi umezidi huku tumepata viongozi wehu matahaira ambao wanadhani kuuua ndo njia pekee ya kuumaliza upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…