Elections 2010 Zitto Kabwe amemaliza kazi Musoma mjini.

Mikomangwa

Senior Member
Sep 30, 2010
100
3
Jamani kazi aliyoifanya kijana Zitto pale mjini Musoma inaumbua kura za maoni za REDET na Synovate. Wana wa Musoma walisahau kama kuna kampeni za mgombea urais wa CUF na kutembea kilomita mbili nje kidogo ya mji kwenda kuwaona makamanda Zitto na Vicent wakilishambulia jukwaa kwa matumaini ya ushindi. Tumshauri Zitto aende pia jijini Mwanza akakate mzizi wa fitna.
 
Wale REDET chai tu, wanajikosha kwa JK, hawana lolote kabisa
Halafu kwa nini walitokea wote wapinzani kwa wakati mmoja? Ilipaswa CCM ndo iwe kule
 
jamani kazi aliyoifanya kijana zitto pale mjini musoma inaumbua kura za maoni za redet na synovate. Wana wa musoma walisahau kama kuna kampeni za mgombea urais wa cuf na kutembea kilomita mbili nje kidogo ya mji kwenda kuwaona makamanda zitto na vicent wakilishambulia jukwaa kwa matumaini ya ushindi. Tumshauri zitto aende pia jijini mwanza akakate mzizi wa fitna.

wako wapi akina tandale one na malaria sugu ambao walikuwa kila siku wakiuliza zitto yuko wapi. Mbona tandale one kapotea sana. Strtegy ya zitto nimeipenda sana ya kutafuta wabunge ili wakaendelee kuchapa kazi bungeni. Big upp zitto!!!!
 
zitto is doing a good job,ni kijana anakubalika ni mtaalam wa kuunda hoja ikakubalika.
 
wako wapi akina tandale one na malaria sugu ambao walikuwa kila siku wakiuliza zitto yuko wapi. Mbona tandale one kapotea sana. Strtegy ya zitto nimeipenda sana ya kutafuta wabunge ili wakaendelee kuchapa kazi bungeni. Big upp zitto!!!!

Waache wajipe matumaini mpaka siku ya mwisho. Hawajui nini kilitokea Zambia kwa Kaunda, mambo yalikuwa hivyo hivyo, mkuu alikuwa anaambiwa mambo yapo shwari kumbe ngoma mdundo. Sasa akina MS na TO ndiyo wanamfanyia hivyo mkulu!!!
 
Back
Top Bottom