Wat do u meanYesu akawaambia ' ambae anajua hana dhambi awe wa kwanza kumpiga huyu mama jiwe' wote waliondoka na kumwacha yule mama na Yesu bila kurusha jiwe hata jiwe moja kwani walitambua dhambi zao.
upinzani upo kimya kabisa kutokana na mauaji ya raia wasiokua na hatia huko kenya; kwa kuwa tu Serikali iliyopo madarakani wanaiunga mkono.
Ingekuwa wanao uwawa na kubakwa ni wakatoliki tungekuwa wa mwanzo kupiga kura ya ndio.
Ni sawa zitto kuhusu Myanmar ...vp kuhusu Syria ...VP kuhusu Iraq ...central Africa ???
Swal kwann Tanzania haijapiga ile kura n simple
Wale n waislam wanaouwawa kule ila ingekuwa upande wa pili mngeona ...
Angalia hta vyombo vya habar hapa tz wanatoa uzigo kwa mamia ya RAIA wa Syria ..Iraq au Myanmar wanavouwawa na magaid wakirus ..kimarekan na mabudha ....ila wakiuwawa ndugu zao america au uingereza watu watano huku utaona mijadala mingi sana coz n wenzao ktk iman .......
Magazet yanayojiita ya kiislamu n upuuz mtupu yanayoandikwa ...na wameshindwa kuitumia nafas yao kuueleza dunia ukwel ukoje
Yan watu wanadhulumiwa na kuuwawa wew unapiga kura ya kutokubaliana na upande wowote ????....huyo kibaraka kwelii hajui asemacho kwani abstain sio kura??hiyo ni kura ya kutofungamana na upande wowote,aache kuwarubuni watu labda wa huko kwao Kigoma. nchi 26 imepiga kura ya kutofungamana na jambo hilo 10 wamekataa,mwambieni aache kukurupuka na ajue hata kuabstain nayo ni kura.
kuna tofauti kubwa kati ya kutokupiga kura na abstention.
nani anajali comment toka kwa msukuma feki??Wewe ushazoeleka hujui kusoma au ubongo umejaa nnya maana kinachozungumzwa kingine wewe umerukia kingine !
Hawauwan ...isipokuwa mabudha ndio wanaowaua waislam wa rohingya sabb ya iman yaoHata tukilaani haitasaidia wasiendelee kuuwana ni unafiki tu ndiyo unasumbua hawa wanaojifanya kulaani bila hatua sitahiki hawa jamaa hawajaanza leo kuuwana ila hatujaona hatua stahiki zikichukuliwa na mataifa makubwa si wapeleke walinzi wa umoja wa mataifa
Kabisa .....Ingekuwa wanao uwawa na kubakwa ni wakatoliki tungekuwa wa mwanzo kupiga kura ya ndio.
Yeye aliwahi kukemea yaliyotokea Kenya hii juzi?Mbunge wa Kigoma Mjini, (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ameshangazwa na nchi ya Tanzania kutopiga kura kulaani vitendo vya unyama na ukatili unaofanywa na Serikali ya Myanmar.
"Juzi Umoja wa Mataifa kulikuwa na kura ya Azimio la kulaani vitendo vya unyama dhidi ya watu wa kabila la Rohingya huko Myanmar. Nchi yetu ya haikupiga kura (abstained).
Kitendo cha aibu sana Tanzania kushindwa kulaani vitendo vya namna hii. Sera yetu ya Mambo ya Nje imebadilika mno tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.
Kule Rakhine State Myanmar watu wanauawa, watoto wa kike wanabakwa (sijui makamu wa rais Samia Suluhu Hassan anajisikiaje kuona wizara yake ya mambo ya nje inaona aibu kukemea ubakaji wa watoto wa kike).
Che Guevara alipata kusema kuwa rafiki yangu ni yule ambaye anatetemeka akisikia tu kuna mtu anaonewa popote pale duniani. Tanzania ya leo sio tu haitetemeki, inaona aibu kukemea uvunjifu wa haki za binadamu ". Amemaliza kwa kuandika hivyo kwenye ukurasa wake wa Twitter, Zitto Kabwe
Na ni upumbavu wa hali ya juuKuwa neutral kwenye uonevu ni umechagua upande wa anayeonea
Kushikwa akili ni tatizo kubwa sana!!!!Katika hilli Mr.mahinga hatumii ubobezi wake has a katika awamu hii viongozi wrote wanafanya lile ambalo mamlaka ya juu inataka.
Yan watu wanadhulumiwa na kuuwawa wew unapiga kura ya kutokubaliana na upande wowote ????....
Mbna mlipolazmishwa kusain sheria ya ugaid ....na ilhal mkijua hao wanaowalazmisha kusain ndio magaid wakubwa .....mbna hamkujizuia kutokufungamana na upande wowote ...
Huu n zaidi ya unafik
We kweli ni `member' hapa jf hadi ktk namna ya kufikiri. hiv kwa nini nyie huwa mpo senstive sana na jina `dini'Ni sawa zitto kuhusu Myanmar ...vp kuhusu Syria ...VP kuhusu Iraq ...central Africa ???
Swal kwann Tanzania haijapiga ile kura n simple
Wale n waislam wanaouwawa kule ila ingekuwa upande wa pili mngeona ...
Angalia hta vyombo vya habar hapa tz wanatoa uzigo kwa mamia ya RAIA wa Syria ..Iraq au Myanmar wanavouwawa na magaid wakirus ..kimarekan na mabudha ....ila wakiuwawa ndugu zao america au uingereza watu watano huku utaona mijadala mingi sana coz n wenzao ktk iman .......
Magazet yanayojiita ya kiislamu n upuuz mtupu yanayoandikwa ...na wameshindwa kuitumia nafas yao kuueleza dunia ukwel ukoje
Kwakuwa kazungumzia watu wanaokandamizwa ??Yule zitto wa zamani, mwenye kuleta changamoto za kimaendeleo ktk taifa letu leo yuko wapi?
Ujinga upi ..au sikweli hicho nlichokisema au umekurupuka tuNakushauri kaisome dini na uielewe ili uache kutetea ujinga na upumbavu