Zitto Kabwe Akipiga Jaramba

Zitto Kabwe Akipiga Jaramba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
10410421_819996634753505_1165552504391400246_n.jpg
 
Zitto ni Pandikizi. Kamuulize Nape na Mwigulu kilichowaliza ni nini baada ya Zitto kufukuzwa?
 
Wamepamba rangi za wafadhili wake halafu vitambaa chokest kabisa. Ukipanda mtama utavuna mtama na mwishowe utapepeta makapi utabaki mtama safi. Odoka kapi Zitto peperushwa na upepo kabisa.
 
Wamepamba rangi za wafadhili wake halafu vitambaa chokest kabisa. Ukipanda mtama utavuna mtama na mwishowe utapepeta makapi utabaki mtama safi. Odoka kapi Zitto peperushwa na upepo kabisa.
leo limekuwa kapi? ataletA MTAFARUKU chadema
 
Aisee nilikuwa sijasoma hizo rangi, hahaha, sa ndo nini!
 
Hapo kakosea nn? picha hiyo ni wakat rais alipo tembelea kijiji cha nyarubanda ktk ufunguzi wa highschool, hapo zzk alipewa nafasi ya kumkaribisha rais na ikumbukwe nijimboni kwake.
 
Hapo kakosea nn? picha hiyo ni wakat rais alipo tembelea kijiji cha nyarubanda ktk ufunguzi wa highschool, hapo zzk alipewa nafasi ya kumkaribisha rais na ikumbukwe nijimboni kwake.

Kama hivyo sawa, mi nilidhani jana, hapo hana kosa... ni sawa tu aendelee kuhutubia
 
Hizo ni rangi za bendera ya taifa wakuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom