Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

Safi sana, Rumble in the Jungle!
Piga uppercut, mawashi geli, round kick, jabs ilimradi Udikteta wa Jiwe uwe neutralized!

Jiwe kaikuta Tanzania ikijaribu kujenga demokrasia yake na tutamkatalia kutaka kuifanya nchi yetu iwe ya kidikteta!

Ni Jukumu la kila mtanzania kupinga udikteta popte pale alipo katika dunia hii!

Safi sana Zitto, very good interview
 
Hivi ni nani anayetoa vibali vya kwenda nje ya nchi kiholela? nafikiri kuna sehemu masharti yamelegezwa ndio maana watu wanakwenda nje hovyo bila shuguli maalumu zaidi ya kwenda kuichafua nchi nje kwa mabeberu
 
Hapo Zitto na TL wanapiga mbwa rangi tu wazungu si wajinga kihivyo. Watahangaika sana lkn watambulia patupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…