Hahahaha hautaki damu ya kikongo wakati mnda damu ya kirundi - kihutu mkuu punguzaga unafikiBashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani
Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja
Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Eti CCM Chama dume wakati kinaogopa Vyama Vingine ukweli ni kwamba CCM ni Chama Shoga.kama wao ni wanaume waruhusu Mikutano halafu waone CHADEMA itakavyowanyoosha watu wana hamu kubwa nchi nzima,Buyungu tu Uharo ulikuwa unagonga chupi
Walati yule dogo wala hajulikani kitaifa lakini wananchi walijaa mikutano ya CHADEMA ilikua AIBU kuu kwa Chama Shoga.
Nilikuwepo na Polisi
Act wazalendo Chama cha kijamaa kinachoongozwa Na bepari Zitto Kabwe!!!!Sera za Ujamaaa!!!!!!??,,Zitto umewapa za uso lakini usturudishe kwenye laana ya Ujamaa na Kuzulumiana.
Jamaa haoni hata chembe ya aibu. Sasa hivi anataka watu wamwone kuwa mpinzani mwenye msimamo makini. Hili ni kundi la watu ambalo linawakilishwa na Jiwe mwenyewe. Kumbuka wakati Jiwe alipokuwa waziri, na alivyo sasa.Aisee hii u turn yako bado naitafakari ,Jiwe kakugusa wapi ?
((Makofi mengi kwako!))Jamaa haoni hata chembe ya aibu. Sasa hivi anataka watu wamwone kuwa mpinzani mwenye msimamo makini. Hili ni kundi la watu ambalo linawakilishwa na Jiwe mwenyewe. Kumbuka wakati Jiwe alipokuwa waziri, na alivyo sasa.
Huyo uliyemjibu hapo ni sampuli moja na Jiwe.
hii inaitwa nje ya boxCCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!
Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?
Mbona mnaongozwa na damu ya Kirundi?Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani
Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja
Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Hahahaaa ameandika ulichokionaSasa umeandika Nini?
kwani wewe unaona kumeandikwa nini broo?Sasa umeandika Nini?
kabisaaa ama hajui kusoma Kiswahili hahahahaaaaHahahaaa ameandika ulichokiona
Hahahaha!!!Hahahaaa ameandika ulichokiona
hahahaaaaZitto akihamia CCM huu uzi utamsuta!
Nahisi alikua anamsanifu tuBashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani
Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja
Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Zitto Kabwe afunguka kutimkia CCM
Zitto ametoa kauli hiyo baada ya kukaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM kujiunga na chama hicho, ambapo alimpongeza kwa kuibua mijadala yenye maslahi ya kiuchumi.
"Mimi kujiunga CCM sio jawabu la shida za Watanzania na changamoto zinazoikabili nchi kama vile watu kukosa Uhuru wa mawazo, kukosoa, kupashana Habari na ukandamizwaji mkubwa wa vyama vya upinzani, Wananchi wanyonge kama Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na uporaji wa Mali za watu wakiwemo Wafanyabiashara", amesema Zitto.
Zitto ameongeza kuwa, "Namwomba Bashiru CCM ni kundi la wasaka vyeo na walinda vyeo. Chama pekee cha Kijamaa nchini ni ACT Wazalendo kupitia Azimio la Tabora. Namtaka Mjamaa Bashiru Ally aachane na CCM iliyofilisika kiitikadi na ajiunge na ACT Wazalendo, Chama pekee cha Kijamaa Nchini na Afrika Mashariki".
Mapema leo akizungumza na wanachama wa CCM mkoani Iringa, Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally ikiwa ni ziara yake ya kikazi mkoani humo amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujiunga na chama hicho, kwani busara zake zinafaa kukitumikia chama hicho chenye Itikadi ya Kijamaa.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuwa kuhamia kwake CCM hakutomaliza changamoto za Watanzania.
SOURCE: Zitto Kabwe afunguka kutimkia CCM | East Africa Television
CCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!
Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?